Zimetanda habari za kushtua kidogo.Habari zinapasha kwamba mtuhumiwa Amatus Liyumba(pichani) ametoweka,hajulikani aliko na heka heka za kumsaka kwa udi na uvumba ndio zimeshaanza? Waliomdhamini wameshaanza kukiona cha moto.Ilikuwaje?Kaenda wapi?Ni kweli?Bonyeza hapa kujua zaidi.




makubwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!madogo yana nafuu…huu ndo mchanga wa macho sasa, balali kafia ulaya na kazikwa huko,na huyu tutasikia tu kafia ulaya na kazikwa huko!!
Am not a lawyer like TOMMY lakini pls mnaojua sheria hebu tusaidieni ile dhamana tunaambiwa ilikuwa tata sasa aliachuiwaje huyu????
BC NIMETAFUTA SEHEMU YA KUBONYEZA NISOME ZAIDI ILA SIONI!PLS HELP!