BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

“MPAKANJIA SASA HOI”-Tanzania Daima August, 25, 2007

Filed under: Developing News,Mfanyabiashara — bongocelebrity @ 6:59 PM

Kwa mujibu wa gazeti la kila siku la Tanzania Daima, aliyewahi kuwa mume wa kuwa mume wa Mbunge wa Viti Maalumu, marehemu Amina Chifupa (UVCCM), Mohammed ‘Meddy’ Mpakanjia, ambaye habari zilizokwisha thibitishwa ni kwamba amelazwa katika Hospitali ya Jeshi ya Lugalo, Dar es Salaam, hali yake ni mbaya na sasa analishwa kwa kutumia mirija.

Habari zaidi za habari hii yenye kusikitisha unaweza kuipata kwa kubonyeza hapa.BongoCelebrity inaendelea kujitahidi kupata habari zaidi juu ya hali halisi ya Mpakanjia. Pindi zitakapopatikana tutawafahamisha.

Advertisements
 

15 Responses to ““MPAKANJIA SASA HOI”-Tanzania Daima”

 1. Salim (Toronto) Says:

  Mwenyezi mungu atamuepusha,inshallah!

 2. natty Says:

  malipo ni hapa hapa duniani. yeye alizani kuwa ataishi milele? alimfanyia amina vibaya sana!

 3. Mwali Says:

  Nampa pole kwa kuumwa lakini muosha huoshwa

 4. Bob Sankofa Says:

  Jana nimesikia uvumi kuwa ameshaiaga dunia tayari, ni kweli ama lah? Kama hapana tuzidi kumuombea heri.

 5. Max Says:

  Hivi ni nini?, uchawi, ukimwi au nini? sielewi!

 6. Inocent Peter Ras IPE Says:

  Tumesikia mengi lakini ukweli utabaki kuwa pale pale! otherwise pole sana MPAKANJIA yote ni kheri.

 7. naomi Says:

  mh jamani tuambiwe wenzetu anaumwa na nini?

 8. anny mwiya Says:

  INASIKITISHA SANA!!KWA KWELI INATIA UCHUNGU KWA MASWAIBU YALIMPATA!! INANIUMA SANA LAKINI TUENDELEE KUMUOBA MUNGU…..

 9. stambuli Says:

  Inshaalah Mungu atamjaalia atapona,tumuombee dua m.mungu amfanyie tahfifu katika maradhi yake,kama ni makosa anayeyajua ni mwenyezimungu,TUSIHUKUMU kwani hukumu zetu huwa zina udhaifu wa kibinaadamu,huwa hatuangalii upande mwingine wa shillingi.NDIO MAANA KUNA KAULI HUWA INASEMWA MTU AKIFA-AMETANGULIA MBELE YA HAKI KWA MAANA TUNAFAHAMU DUNIANI HAKUNA HAKI.

  By Stambuli(Jam Stam)

 10. Ally Says:

  Mungu atampa takhfif inshaallah yeye sio aliemuua amina kwani tunaamini tulikuja kwa udongo na tutarudi kwa udongo basi haina mjadala mungu atakuepusha na maradhi yote uliyokuwa nayo

 11. babyface Says:

  Jamani,msipende sana kuwahukumu wenzenu kwani hakuna aliyemkamilifu hata mmoja katika dunia hii,mkisema meddy kamuua amina si kweli muogopeni mungu jamani hakuna binadamu anaeweza kuua kirahisi hiyo ni kazi ya mungu pekee msipende kumkosea mungu jamani,kama mpakanjia anaumwa ni kawaida kwa kila kiumbe chenye damu kupatwa na maradhi kwa nini muone ajabu kwa yeye kuugua???na nyinyi mnaosema ukimwi kwani kuna cha ajabu gani kwa maradhi hayo nani anajijua kuwa ataishi milele au nani anauhakika kuwa kweli hatopata ukimwi?hili ni suala la kumuachia mungu akikunusuru na janga hilo unashukuru kwani hakuna hata mgonjwa mmoja wa ukimwi aliyependa na wala hakuna hata mmoja aliyeota kwamba iku moja nitakufa kwa ukimwi hicho ni kitendawili hivyo kama hayajakupata wewe wala ndugu yako kaa kumya endelea kumuomba na kumshukuru mungu,kitu ninachowaomba watanzania wenzangu tumuombee mwenzetu kaka medddy mungu ampe nafuu tusifurahie matatizo yake hatujui mwisho wetu utakuwa vipi

 12. Bernard Says:

  Ni vyema Watanzania wote tukawa na moyo wa huruma mara mwenzetu anapopatwa na matatizo,kama hili.
  TUMUOMBEE KWA MWENYENZI MUNGU amponyeshe.Na si kuhukumu, kazi ya kuhukumu ni yake mwenyezi mungu muumba wa nchi pekee na si ya binadamu yeyote yule chini ya jua hili.

 13. amina Says:

  we natty hebu sema alimfanyia nini amina?umbea huo

 14. superman Says:

  Jameni makubwa haya!!!!!!,
  Je, ni kweli alimuua yeye?

 15. helege Says:

  Participants,take care of your tongues. Any thing you speak is recorded by Allah. They will be reversed at your judgement day. Take care.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s