BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

WHEN CELEBRITIES MEET…. August, 30, 2007

Filed under: Sinema — bongocelebrity @ 10:50 PM

 

Kila mtu huwa na furaha ya kukutana na celebrity ampendaye. Wakutanapo celebrities,kama inavyoonekana pichani juu, kinachotawala ni vicheko! Pichani ni Raisi mstaafu wa Tanzania Mheshimiwa Benjamin William Mkapa na mshindi wa tuzo maarufu ya Oscar, Forest Whitaker. Picha hii walipigwa tarehe 17 Februari 2007 jijini Kampala, Uganda wakati wa maonyesho ya mwanzo ya sinema ya The Last King of Scotland ambayo ndiyo ilimfanya Forest Whitaker ashinde tuzo ya Oscar.

Advertisements
 

5 Responses to “WHEN CELEBRITIES MEET….”

 1. muddy Says:

  mzee Ben kwenye mambo ya kimataifa alikuwa si mchezo bwana si mnaona wenyewe!

 2. naomi Says:

  jamani miye hata sitaki kucheka hapa nilipo

 3. sanji Says:

  naona mkapa kapozi, ni vizuri kama ukiwashauri watu unaowafahamu, kutimiza maadili ya uongozi bora, chuki nyingi mno tanzania.

 4. sanji Says:

  lakini naona bora mzee wa macharanga, huyo kashiba sana lakini bado tu anataka madaraka, aisje akamuingilia mzee jk, maana ana watuw ake nae huyo, amabo wengine wako nchi za nje, wanaoendeleza udictator wao, mfwatilieni sana huyo pamoja na ndugu zake walio nchi za nje, kwani wana agenda zao za siri, ni hatari kwa taifa la tanzania, maana ndugu zake walio ulaya wana ujeui na tabia za udicator, kunyasasa watu bila hatia, bora ya jk,na jk asimpe huyo mzee chance.

 5. amina Says:

  mkapa kama kiboko


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s