BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

JAFFARAI NA SHYROSE BANJI September, 20, 2007

Filed under: Bongo Flava,Muziki,Siasa,Tanzania/Zanzibar — bongocelebrity @ 4:30 PM

 

Pichani ni mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya, Jaffarai akiwa na mpenzi wake Shyrose Banji. Shukrani za picha hii zimwendee Haki wa Food For Thought.

Advertisements
 

19 Responses to “JAFFARAI NA SHYROSE BANJI”

 1. cool Says:

  mmependeza sana yani jaffarai usiachie hiyo ATM mwanangu we peta tu, siunajua mama akikupenda we kandamiza yoteeeeeeeeeeeeeeeeeee

 2. mbantu Says:

  Du bongo BC makamuzi yenu nimeyakubali sanaa
  wazeee, hasa napoona ushirikiano wenu na BLOG NYINGINE
  KAMA MICHUZI NA HAKI NGOWI kwa kweli kazi nzuri mnafanyaa msivunjike moyoo..
  daima tupo nyuma yenuu

 3. Baraka Says:

  Wanapendeza sana

 4. Dinah Says:

  Heheheh mambo ya toy boy a.k.a kiserengeti ei? Banji umenenepa umependeza kuliko ulivyo kuwaga hapo awali. Nawatakia kila la kheri ktk maisha na shuguli zenu.

  Kazi nzuri BC….liendelezeni tu kama kawaida.
  Mnaweza mpata Q Chillah tafadhali? Asante.

 5. muddy Says:

  Jeff imetulia ila tuliza mzuka maisha na ukubwa ndio huo kazi kwako!

 6. Edwin Ndaki Says:

  samahani naomba kukuwauliza wewe Jaffarai na Rose najua mtasoma tu hayo maoni.

  Vip mlishafunga ndoa au mlihairisha?au mmecancel kabisa?

  Alafu tangu mwezi wa nne longo time niko bongo nilikusikia Jaffaria unaenda kula shule UK vip VISA imegoma nini m2 wangu.Au bado tight na mamaaa.Mwenye majibu tafadhali naomba anitonye.

  Kila la kheri J&R

 7. Ndaki Says:

  samahani bw Edwin Ndaki.

  Kuna wajina wangu anaitwa Ndaki aliwahi kusoma chuo Cha SAUT na Eckerfode Tanga.Sijui ndio wewe au majina yamefana?

  kama ni wewe tafadhali tuwasiliane kwa mail

  ndakij@yahoo.com

 8. kay Says:

  mmependeza saaana…..lakini tatizo lenu mnavuta saaana SIGARA na BANGI……sjui huyo mtoto mtakaezaa atalelewa ktk maadili gani……..LAKINI POOA KWANI NI MAISHA MLIYOJIAMULIA KUISHA…..TUNAJUA KUWA JAFARAY UPO HAPO KWA SABABU YA MKWANJA….NA HUYO BIBIE KASHINDIKANIKA……….!LIFE GOES ON

 9. Mbasha Says:

  Jamani acheni chuki.Age aint nothing but a number. Kama Shy alikuwa hajatulia ni kwa vile alikuwa hajampata lahuba wake. sasa kashampata sidhani kama mnamsikia sikia tena kwenye yale mambo ya zamani.
  Kila la kheri.

 10. kyekuu Says:

  JAFARAY ATM LA NGUVU HILO MWANANGU…KAMUA KAKA

 11. TanzanianDream Says:

  Wabongo bwana hawachelewi kusema huyo mama mzuri….nway

 12. Matilda Says:

  Kwa kweli mmependeza sana,Ila mbona ndoa sijasikia jamani au ndio kisirisiri? kama vp nawatakia maisha mema.

 13. Isaac Says:

  Mapenzi si kalenda ati mkaanza kuhisabiana tarehe…

  mmependeza sana, sikilizeni yote, mazuri myachukue, mabaya muwaachie wenyewe.

 14. Elly Mwambene Says:

  Kama vipi jeff muvuzisha huo mzigo jumlajumla,c unajua wamama wa hvyo hawakawii wakiona umepunguza unyago?

 15. Colin Says:

  Jef hapo fresh ,watu watachonga kwamba your after money ..sio ..
  ni chaguo lako ..mwambie apunguze kujipodoa ..kwenye hiyo picha she look ugly .bangi pia mpunguze.!

 16. ben coleone Says:

  Mko bomba fanyeni kweli jamaa muwaache hoi na vinywa vyao

 17. TanzanianDream Says:

  Eti “kwenye hiyo picha she look ugly” jamani tukubali duniani kuna wazuri na wabaya huwezi ukawa unabahatisha picha mbili unaonekana mzuri tano mbaya….

  Huyu mbaya mbaya tu hakuna uzuri hapo sema mnaochenguka na rangi mnaona tofauti…

 18. Nerra Says:

  Mmmh sina la kusema! Naona huyu kaka kaonewa na hajui atendalo maskini, mbona huyu mwanamke ni mbibi kwake jamani! hivi nyie mnaomfagilia Jeff mnamtakia mema kweli ebu mwambieni ukweli jamani! Kwenye ujana ata enjoy lakini namwambia Jeff hana future hapo!!

 19. mukrim Says:

  hehehe ful mzozo big up mjita wangu ni kwlei luv doesnt ask why so ful nako2nako kamanda


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s