BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

BONGOLAND II September, 21, 2007

Filed under: Sinema,Tanzania/Zanzibar — bongocelebrity @ 8:56 AM

Anga la sinema za kitanzania linazidi kushamiri. Mtengeneza sinema mahiri wa kitanzania anayeishi nchini Marekani,Josiah Kibira wa Kibira Films International ametudokeza kwamba sinema ya BONGOLAND II ipo katika makamilisho ya mwisho mwisho kabisa kabla ya uzinduzi rasmi hivi karibuni. Tizama trailer ya BONGOLAND II hapa chini. Mahojiano kamili na Josiah Kibira na washiriki wengine wa sinema hii kama vile Da Chemi,Tecla Mjata na wengineo yatawajieni hivi karibuni.

Advertisements
 

3 Responses to “BONGOLAND II”

 1. gabriel Says:

  fantastic! breathtaking film work,waoh! i’m completely blown away!
  it’s another dynamite swahili blockbuster by kibira.
  jamani sijui kama watengenezaji wa sinema hapa nyumbani wanajifunza kutoka kwa huyu jamaa
  hiyo teaser kwa kweli ni kali yaani hapo tuu ninaweza kusema sinema za nigeria msenge!
  jamani tujifunze hapa
  hebu anagalia
  sound -pro
  cinematography-pro
  dialogue-pro

  pongezi kwa mpiga picha na kibira kazi mliifanya
  sioni tofauti yoyote na picha ya hollywood ukiachia mabali moja tuu amabayo ni format yaanai hii ni video lakani ya kwaliti
  great job!

 2. Mzee,

  Tunashukuru sana. Sisi kusema kweli tuna imani kuwa uwezo tunao vipawa tunavyo na utaalamu tunao. Na sasa tukiungwa mkono na watu kama nyie basi nadhani tunaweza kuhamisha hata milima.

  Watanzania lazima tujivunie vipawa tulivyonavyo na hii itathibitika katika sinema hii ya Bongoland na nyingine zinazokuja mbeleni.
  Tunashukuru sana tena sana kwa kutupigia debe!

 3. Man, this is the most satisfying African thriller of the year. Please let it be known, and who knows it might be voted for Oscar. I can’t wait to watch it. If Tsotsi did it, why not “Bongoland II” (“kwani wao wameweza wana nini, na sis tushindwe tuna nini”) All the best!!!!!


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s