BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

LADY JAYDEE & BANANA ZORRO September, 25, 2007

Filed under: Bongo Flava,Muziki,Tanzania/Zanzibar — bongocelebrity @ 11:42 PM
Tags: , ,

Pichani ni wasanii wa muziki wa kizazi kipya, Banana Zorro na Lady Jaydee. Wasanii hawa ni miongoni mwa wasanii wachache wa muziki wa kizazi kipya ambao wanamiliki bendi zao na hivyo kutoa burudani “live” katika maonyesho yao. Banana Zorro anamiliki B Band wakati Lady Jaydee anamiliki Machozi Band.

Mtizame Banana Zorro katika wimbo Pressure akishirikiana na Hafsa.

Mtizame Lady Jaydee katika wimbo Siku Hazigandi

Advertisements
 

11 Responses to “LADY JAYDEE & BANANA ZORRO”

 1. gabriel Says:

  hii ni kwa Jay dee ,dada kazi unayoifanya ni nzuri na ni wachache sana hapa nyumabani wa rika lako wenye mafanikio kama yako.hongera sana
  hata hivyo mimi kama mpenzi wako naomba nitoe comment kidogo tuu hasa kuhusiana na vocal performance yako
  Jide,sauti unayo,presence unayo,mvuto unao,kipaji halisi si cha kulazimisha kweli unacho
  mimi kwa maoni yangu upande wako wa vocal performance unahitaji uu-tyuni
  yaani nionavyo mimi unafuata na kucheza vipimo vya nota au uimbaji ambavyo ni simpo sana ! unapanda na kushuka tuu that’s it !nimefuatilia sana nyimbo zako na mpaka nikajiuliza au labda hiyo ndio staili yako
  kama ndio staili yako mimi kwa maoni yangu na utaalamu kidogo tuu wa muziki naomba niseme hainyeshi ukomavu!
  samahani sijui ukisikiliza uimbaji wa banana zoro unaonaje ! kama ungeliweza kutumia madaraja na vocal cords mabalimabali katika wimbo mmoja huo huo kama afanyavyo banana basi hapa dada yangu utakuwa sasa umekamilika . Jide jaribu koboresha eneo hilo litakusaidia sana kiufundi wa uimbabji
  Banana zoro! bwana wewe nasema ni bingwa wa vocal performance hapa tanzania hongera sana kazi nzuri sijui umejifunza wapi! kweli hua najiuliza mara kwa mara yaani jinzi unavyo weka madaraja na kutumia cords na nota tofauti ktk wimbo mmoja kwa kweli umekoma kwa maoni yangu hakuna mwana muziki hapa nyumbani anaye jua kuimba ki-professional kama unavyofanya kweli kabisa !
  banan kaza buti iko siku utalamba dume .yaani kw utaalamu wako wa kuimba hata mtu asiyefahamu kiswahili lakini anajua utaalamu wa kuimba akisikiliza tu mara moja ana-recognise mara moja kwamba unauwezo wa pekee ktk kuimbas hongera sana
  kwa maana nyingine nasema wewe huimbi kama kasuku kama wanavyofanya wanmuziki wengi tanzania panada shuka ,rudia beti hiyo hiyo mara kadhaa kwa kupanda na kushuka ! duh ! uimbaji simple sana huo lakini bwana nimeappreciate kazi yako

 2. Dinah Says:

  Naheshimu kazi zenu. Wimbo wa banana na Hafsa ni mzuri kama wimbo na maneno yamepangiliwa vema kabisa ila mimi binafsi nasikitika kusema kuwa ujumbe ktk wimbo huu unamkosea heshima mwanamke amabe ndio mke ktk kazi hii sio.

  Hakika wanaume wengi huwa na wapenzi nje ya mahusiano yao kutokana na sababu zao za msingi na wengine ni uzembe bin tamaa, lakini si vema mpaka mkeo/mpenzi wako anajua nakuwatambua kwa majina, unakuwa mjinga mpaka huyo wanje anakupigia simu usiku wa manane ukiwa na mkeo?

  Wimbo huu ni kind classic kwamba hautochosha kuusikiliza nandio inatakiwa.

  Kuhusu Siku hazigandi mmh well ni kazi nzuri lakini ipo
  kimipasho-mipasho…..nimependa mavazi, Vid imetengenezwa vema na beats ni catch vilevile.

  Mambo mazuri BC!

 3. Kinono Says:

  hongera sana Jay dee kazi yako nzuri sana hata mavazi umeweza kuya pangilia safi sana

 4. Furaha Says:

  JIDE kazi yako ni bomba yaani sijaona kama wewe bongo kwenye suala zima la muziki. Uko juu kiutunzi na sauti hasa kibwagizo chako cha hiiiiiiii kila wimbo kipo kinanikosha mno. Wimbo wa Nuru mimi hoi natamani nioe kesho upigwe arusini mwanawane. kaza buti uko viwango ile mbaya. Banana uko safi tena mno napenda Mmama Kumbena na Sinyorita ila kak punguza pozi kidogo yaani just be yourself mzee lakini uko mzuka kiuimbaji umaarufu usikudatishe. NAWAPENDA WOOOOTE

 5. CASHMONEYHOLLAND Says:

  mrembo unajitahidi…miziki yako inamaana…stay bless.

 6. UTAMU Says:

  Baba yako pungaaaaaaaaaaaa Banana angalia na wewe usijeingiamo

 7. Sifiso Says:

  I have recently watched a song by a certain artist from tanzania and I fell in love with it. The artist is Lady Jay dee and the song is “Dhiku hazingku”. I’d love to import the album into swaziland but i dont know the title. Any help?

 8. nusrat Says:

  HONGERA SANA BANANA, NAZIMIA SANA SAUTI YAKO, HASA KATIKA WIMBO WA ”MPENZI NAKUPENDA ULIOIMBA NA SAIDA” KWA KWELI WIMBO ULE UNANIMALIZA SANA. KEEP IT UP KAKA” MUNGU YUKO NAWE. LAKINI HAYO MACHO KAKA, MMHHHHH HATARI TUPU.lol.

 9. Priska Says:

  JAY-DE MMMMMMMMMMMMMMMH ME NAOMBA NIWE UR DESIGNER MAANA MAVAZI YAKO HUWA YA AJABU SANA…….MAKE UP NDO KABISA KIFOOOOOOOOOOOOOOOOOO

 10. Emmy Says:

  Prisca, we umedesign nini? We longa domo mali yako wala hulipii vati.

 11. galasha Says:

  keep it up jay dee, macho yako yana nyege sana sijui mumeo anakuruhusije kuonyesha nyeti. Hongera sana.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s