BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

NIMROD ELIREHEMA MKONO October, 2, 2007

Filed under: Bunge,Serikali/Uongozi,Siasa,Tanzania/Zanzibar — bongocelebrity @ 8:58 PM

 

Wakili maarufu na mbunge wa Musoma Vijijini (CCM) Mheshimiwa Nimrod Elirehema Mkono.

Advertisements
 

8 Responses to “NIMROD ELIREHEMA MKONO”

 1. mesa Says:

  sura mbaya kama remmy

 2. Dinah Says:

  Mimi hapa sina hata la kusema kwa vile simjui huyu bwana.

  Mtafuteni Mchezaji mpira wa yanga wa zamani Othman China, Golikipa fulani hivi wa Simba/yanga nilipokuwa darasa la 2-3 nakumbuka mchezo wa kuruka kamba huku tukiimba kama hivi ” usinichafue sitaki, sabuni yenyewe ya shida…….(nimesahau) wangu mwenyewe Zamoyoni Mogelah”

  Yeah alikuwa akiitwa Mogelah.

 3. Moses Jakanyangoe Says:

  Hiyo ngumi alikuwa anataka kumpiga nani jamani?…Anaonekana ni mkoloni sijui walio chini yake wanafanya kazi naye vipi!

 4. TanzanianDream Says:

  Hawa wazee hata wawe wamesoma vipi lkn bado wanajisahaulisha vitu muhimu wakihojiwa matokeo yake wanaongea vitu visivyoeleweka.

 5. Bob Sankofa Says:

  “Tukishindwa hoja, tunatumia maguvu, dola tunayo sisi!”

 6. besta oliver Says:

  Yeah ma men, am all giving you a hand of support for all you tirelesly work you guys have being doing. Bravo!!! Nnacho shauri jitaidini kuwa wabunifu na daima lenga maendeleo nanyi mpanuke kama yahoo au google. It’s possible faida mnayopata itumieni kupanua biashara na sio kujenga majumba ya kifahari. Kujenga mtajenga ila sio muda huu wa kujipanua na kijitangaza kibiashara.
  Big up wazee. Msisahau kuipaisha lugha yetu ya kiswahili plus wasanii wetu wote. aisee msisahau taifa stars nyie msimaind i wanavyokandamizwa maind uzalendo au vip. I WISH U ALL THE BEST.

 7. NDUJI504 Says:

  Jamani tuwe na heshima kwa mababu zetu. Mwenzenu kesha ishi tangu enzi za ukoloni ameona mengi na amekula chumvi kuliko sisi vijana. He has got a story to tell lets respect that!!

  RESPECT FOR THE ELDERS!!!

 8. Dallasfinesty Says:

  Tajiri mzima mikono imepauka hajui hata Lotion ni nini. Matajiri wa bongo bwana.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s