BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

SEKI October, 4, 2007

 

Sekioni David maarufu kama Seki ni bongo celebrity ambaye kwa kutumia uzoefu na ubunifu wake katika sanaa ya uchekeshaji (comedy) au maigizo kwa ujumla, hivi sasa ameweza kuiteka Tanzania kwa kishindo kupitia kipindi cha Ze Comedy ambacho hurushwa kila siku ya Alhamisi kuanzia saa moja hadi saa mbili jioni kupitia East African Television (EATV). Wengine bado mtakuwa mkikumbuka visa vyake tangu alipokuwa na kundi la Mambo Hayo enzi zile na kina Bishanga Bashaija, Richie na wengineo.

Kwenye Ze Comedy, Seki sio tu mzalishaji (producer) wa kipindi bali pia huigiza kama mwandishi wa televisheni akitoa sauti mbalimbali katika visa vya kundi hilo. Yeye pia ni mtangazaji wa EATV katika kipindi cha City Beats.

Advertisements
 

9 Responses to “SEKI”

 1. Big Willy Says:

  Keep it up brother Seki! Endelea na mwendo huo huo kaka usipunguze spidi.
  BC kazi nzuri sana

 2. Dinah Says:

  Mjanja, mtundu, mbunifu,funny Unavutia, msafi, unasura nzuri na ya kiume, unapendeza ki-humble a.k.a simple na unajali. Nakumbuka kwa mara ya kwanza nilikuona kwenye Kundi la Mambo hayo ukicheza kama mwanafunzi na ukaigiza sauti ya Mwl Nyerere.

  Naheshimu na kuipenda kazi yako. Keep it up.

  BC tungepata full Interview ingekuwa bomba sana, mahojiano yake ya mwisho nilisomaga kwenye Uwazi (kabla halijaharibika).

  Kazi njema!

 3. TanzanianDream Says:

  Yeah leteni mahojiano hayo tuone wapi atakosea kujieleza n’ ol…Msimind ila napenda kukosoa ili kuweka sawa taswira za hawa jamaa kwa jamii …

 4. erwin Says:

  huyo jamaa namfahamu sana,ana uwezo mkubwa wa kuigiza the comedy” na huwa habahatishi,mi binafsi namkubali sana huyo jamaa..halafu yupo so serious kwenye fani..BIGUP SEKI KOMAA MZEE.

 5. NDAKI GOMBERA Says:

  Dina samahani nisaidie,UWAZI limeharibika tangu lini?maana wengi tupo mbali kidogo na home?

 6. Mpendakeroro Says:

  Nampenda Seki haswa anapomuiga yule Mtangazaji wa Radio One/ITV George Marato: “Mimi ni John mvaa viatu waze koooomediiiiiiii!!!!

 7. tony Says:

  mwana we mkali nakukubali kinoma ila naomba sikumoja ukawahoji mgambo wasite kwanini wana nyanyasa wauza bidhaa ndogondogo? wanachukua miwa mapapai mitumba hawarudishi je tutafikaa why kwaniniiiiiii

 8. GLORY MTUI Says:

  REAL NAKUPENDA SANA SEKI KILA SIFA UNAYO KIP IT UP

 9. Anna Says:

  Seki, Seki, seki seki !! sina lakusema


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s