BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

KARUBANDIKA October, 5, 2007

Filed under: Muziki,Utamaduni — bongocelebrity @ 12:13 AM

Ni ijumaa tena. Mwaka 2007 unazidi kuelekea ukingoni. Kwetu sisi ni wakati wa jadi mpya.Ni wakati wa kutuliza kichwa na kufanya tafakuri ya wiki. Leo tunao Maquis Original na wimbo wao maarufu Karubandika. Hivi kama unampenda kwanini usimueleze ukweli? Unaogopa nini? Atakukataa? Ijumaa Njema!

Advertisements
 

6 Responses to “KARUBANDIKA”

 1. Asante kwa wimbo huu!Umenikumbusha mbali!

 2. queen Says:

  umeniacha hoi, enzi zangu hizo.raha sana wakati ule.

 3. tosha Says:

  hao wazee wa marquise ni soo…lkn ni kweli jaman inabid tuwaambie mabinti ukweli sio kujikweza wkt uwezo wetu mdogo…mwsho wa siku twaja umbuka…

 4. zilipendwa Says:

  Duu, umenikumbusha mbali kweli, je nawezaje kuisave kwenye computer yangu??

 5. Mwana Says:

  Oh! Men now I have to get up and dance and find a bottle of something!!!!!!!!!!

 6. DUNDA GALDEN Says:

  UONGO UNAKUWEPO JAPO KIDOGO LAKINI TUU USIZID SANA IKAWA NOMA NA WEWE BINT ULIKUWA UNATAKAMWENYE NAZO HIYO NOMA KUWA NA MAPENZI YA DHATI NDIO MAANA UMEDANGANYWA HAHAHA HIZO ZA HOME SI MCHEZO BIG UP BIG UP BC SI MCHEZO ENZI HIZO KAZI HAMNA WACHUMBA WAZURI YAANI TAFLNI WEWE UNAONGEA NA MSICHANA HATA MWAKA MZIMA UNAMBULIA KUTUPU LAKINI SASA KILA KITU UBAONI WAW NEVER MIND I LIKE KIZAZI KIPYA
  CHAFOSA NDANI YA DARWIN


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s