BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

MwanaFA YU HAI(?) October, 5, 2007

Filed under: Bongo Flava,Muziki — bongocelebrity @ 11:57 AM

 

Habari zilizokuwa zimeenea katika mitaa ya jiji la Dar-es-salaam katikati ya wiki hii kwamba msanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya, Hamisi Mwinjuma a.k.a MwanaFA(pichani), amefariki dunia ziliwashtua wengi. Bahati nzuri ni kwamba MwanaFA hajafariki dunia,yupo hai, anadunda mitaani. Nini kilitokea? Unaweza kupata undani wa habari hii kwa kumtembelea Bob Sankofa kwa kubonyeza hapa.

Advertisements
 

9 Responses to “MwanaFA YU HAI(?)”

 1. mesa Says:

  jamani mbona unazeeka hivo maisha niaje tena, pole kwa yaliyo kukuta

 2. Dinah Says:

  Hizi Ajali sasa zimezidi kikomo, Wamekutakia maisha marefu ikiwa uko hai…Mungu akuepushe na mabalaa!

  Mesa kwani anaumri gani? Kama ni 30+ hajazeeka lakini kama ni 20+ hapo utata! Si unajua wale vijana wanaodai wana miaka 32 lakini sura zao zinaashiria uwepo wao wakati wa vita vya Amin.

  Ijumaa njema, fanyeni yote ila kumbukeni kuna kesho na keshokutw hivyo kuweni waangalifu.

 3. mesa Says:

  Dinah hata sijui ila kwa kweli anaonekana mzee na nasikia kuna jimama alikuwa atatembea nae pale ifm na huyo mama kavuta kwa ngoma na sina uhakika labda mlio bongo mtujulishe, sasa kama kweli yote kheri ila jamaa ameonekana kachoka, Dinah napenda sana blog yake keep it up girl

 4. DarRu Says:

  Mmmmm Mesa unamambo!!? Hongera sana kwa kufahamu undani wa mambo ya watu. Keep it up if it pay.

 5. mtaalam Says:

  duh sasa kama huyo mama kavuta kwa ngoma mbona balaa maana hata picha ya pili ya mwana fa yanitisha aisee mwana kachonga bin kuisha….

 6. XX Says:

  The nigga lookz bad! jambo gani limemsibu?he just lost his looks! GOD!

 7. kinono Says:

  Mmmmmmm Jamani huyu mbona ana zeeka haraka haraka sana kulikoni jamani anatisha hivi au ndio hizo pombe zao wanazo kunywa mwana fa afya yako hairidhishi yani umebadilika vibaya mno kijana yakupasa umrudie muumba wako haraka iwezekanavyo inatisha sana.

 8. Dinah Says:

  Jamani mnauhakika gani kama mnavyosema ndivyo? Huenda anatumia “unga” au anakunywa Gongo hivi vyote hubadilisha muonekano wa mtu.

  Usim-judge mtu kwa vile mpenzi wake alikufa kwa Ngoma, mwanaume kupata ngoma sio rahisi kama ambavyo wanawake wanaipata…….kuna uwezekano mkubwa kabisa akawa hana ila anamatatizo yake tu mengine ya kiafya kama vile kisukari, figo, moyo, n.k.

  Alafu lile swala la kuangalia ukondefu wa mtu kama dalili ya ngoma imepitwa na wakati kwani wenye ngoma wengi wako na afya zao kama kawaida kutokana na matumizi ya madawa ya kienyeji ya Kichina na yale ya Kisasa.

  Kuna Magonjwa mengi ambayo ni hatari na haya Dawa kama ilivyo Ngoma lakini watu mbona hamuwaandani waathirika wa magonjwa hayo?

  Nionavyo mimi 🙂

  Happy Eid!

 9. kijiwe Says:

  nyie watu wambeya sana ndiyo maana wabongo wanachukua muda sana kuwa civilized


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s