BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

DJ FETTY October, 7, 2007

Filed under: DJs,Muziki,Watangazaji — bongocelebrity @ 7:04 PM

 

Pichani ni DJ Fetty wa Clouds FM, mmojawapo wa DJs maarufu na wanaotamba nchini Tanzania.

Advertisements
 

PICHA YA WIKI # 4

Filed under: Photography/Picha,Urembo — bongocelebrity @ 12:03 AM

 

Urembo wa aina hii ni maarufu sana katika maeneo ya mwambao wa Afrika Mashariki. Kwa wengi inajulikana kama Hina. Huko katika nchi kama Singapore,Malaysia, Sri Lanka na nyinginezo inajulikana zaidi kama Marudhaani. Nchini India kwenye jimbo la Andra Pradesh inajulikana kama gorintaaku. Lakini unajua kwamba hina ina matumizi mengine zaidi ya urembo? Soma hapa.Hii ndiyo picha ya wiki hii. Imepigwa na Terrence Weston huko visiwani Zanzibar.