BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

PICHA YA WIKI # 4 October, 7, 2007

Filed under: Photography/Picha,Urembo — bongocelebrity @ 12:03 AM

 

Urembo wa aina hii ni maarufu sana katika maeneo ya mwambao wa Afrika Mashariki. Kwa wengi inajulikana kama Hina. Huko katika nchi kama Singapore,Malaysia, Sri Lanka na nyinginezo inajulikana zaidi kama Marudhaani. Nchini India kwenye jimbo la Andra Pradesh inajulikana kama gorintaaku. Lakini unajua kwamba hina ina matumizi mengine zaidi ya urembo? Soma hapa.Hii ndiyo picha ya wiki hii. Imepigwa na Terrence Weston huko visiwani Zanzibar.

Advertisements
 

8 Responses to “PICHA YA WIKI # 4”

 1. Binti Flani Says:

  Huo ni wanja sio hina.

 2. Dinah Says:

  Mh! Inaonekana zaidi kama “Piko” (au imechanganywa na substance hiyo), natambua hina ikikolea sana huwa nyeusi lakini kwenye kiganja au unyayoni sio ngozini.

  Kweli hina inamatumizi mengi zaidi ya Urembo, hutumika kupunguza symptoms za magonjwa mbalimbali kama vile “stress”, maumivu ya kichwa, kushusha mapigo ya moyo (high blood pressure)na kuondoa kichefuchefu.

  Vilevile hina ni bidhaa muhimu ktk utunzaji nywele na hutumiwa kama “conditioner” na husaidia sana ktk ukuaji mzuri wa nywele zako, vilevile inaweza kutumika kubadili rangi ya nywele zako kwamba hazitokuwa nyeusi tena.

  Pia hina huimarisha kucha zako , kwamba inazifanya ziwe ngumu na zenye afya, kwamna haitakuwa rahisi kupata maambukizo ambayo yanaweza kusababisha kucha kuharibika.

  Ni tiba nzuri ya asili kwa Wabongo wengi ambao tunapata taabu kupata bidhaa/dawa za kisasa.

  J’2 njema.

 3. TanzanianDream Says:

  Uchafu tu…Huwezi nipikia ukiwa na hayo madude ….

 4. Lotte Says:

  Huo ndiyo urembo wa visiwani na hata mwambao, kwanini tusikubali tu kwamba mwenzetu kapendeza! Unajua ni mpaka pale mtu unapoweza kuappreciate art (sanaa)ndipo unapoweza kuona tofauti ya kazi iliyofanywa kwa ufundi na zile za kulipua. Kwako Binti Flani, hiyo siyo wanja ni hina… pamoja na BC kukupa somo juu ya inavyotambulika katika nchi tofauti bado hujaelewa somo! Labda ungetumia muda kidogo kuvisit web na kuchambua hayo majina ungefaidika zaidi (do that please!)

 5. kinono Says:

  Nakuunga mkono wewe mtoa maoni wa Tanzania Dream urembo mwingine unakuwwa kero hadi kichefuchefu kwanza nikiona nasikia kusisimka tafadhali nakuomba punguze kidogo huo ni uchafu jamani hee hee

 6. keiko Says:

  ushamba tu! (kwa wasikiao kichefu chefu wakiona hina)

 7. kinono Says:

  Wewe Keiko yaonokana nawewe siyo mwelewa urembo ukizidi ni uchafu

 8. Matty Says:

  Mwanamke ina ati!hahahahaha na hilo papai basi nahisi kama litanuka hiyo hina lol! just kidding jamani!


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s