BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

NEEMA October, 12, 2007

Filed under: Eid Mubarak,Muziki,Tanzania/Zanzibar,Zilipendwa — bongocelebrity @ 12:05 AM

Ni Ijumaa tena. Kama kawaida leo ni siku ya midundo kidogo. Leo si wengine bali Orchestra Mlimani Park na wimbo Neema ukiwa ni utunzi wake Cosmas Thobias Chidumule. BongoCelebrity inapenda kuchukua nafasi hii pia kuwatakia watanzania wote, popote walipo mwisho mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhan na hivyo EID MUBARAK!

Advertisements
 

4 Responses to “NEEMA”

 1. Samba Says:

  BC Ahsante sana kwa wimbo huu…you made my weekend.Safi sana wazee.

 2. Wow, guys you made my day! Over six years i haven’t heard of this song, my favorite one. Thanks jamaas.

 3. ann Says:

  safii sana

 4. Sigga Says:

  Kweli kibao hiki kimenikumbusha mbali sanapale Iringa,Mafinga nakua na ulikuwa ukinifikisha mbali sana.Ni miaka mingi sana sijausikia lakini leo nausikia nikiwa hapa Australia.Kweli umenirejesha mbali sana na kunikumbusha miaka mingi.
  You Guys, keep it up.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s