BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

BIG BROTHER AFRICA II October, 15, 2007

Filed under: Television — bongocelebrity @ 12:17 PM
Tags: ,

 

Pichani ni Richard Bezuidenhout ambaye ndio mwakilishi wa Tanzania katika jumba/shindano la Big Brother Africa II linaloendelea nchini Afrika Kusini. Richard mwenye umri wa miaka 25 ni mzaliwa wa Ilala jijini Dar-es-salaam.

Baadhi yenu mmetuandikia mkitaka kujua zaidi kuhusu shindano hili la Big Brother Africa. Ili kupata majibu kamili mnaweza kutembelea ukurasa wa maswali na majibu kuhusu Big Brother Africa. Pia kupitia ukurasa wa “video gallery” mtaweza kuona video clips mbalimbali za kinachoendelea ndani ya jumba la Big Brother Africa II. Unaweza kuona picha zaidi za Richard,mke wake,ndugu,jamaa na marafiki zake kwa kutembelea ukurasa wa hi5 wa dada yake aitwaye Linda kwa kubonyeza hapa.

Advertisements
 

70 Responses to “BIG BROTHER AFRICA II”

 1. Kenny Says:

  Huyu nae atoke tuu mle ndani, anatuaibisha, hana haja ya kukaa uchi na kufanya vitu anavyofanya na yule mwenzake kushinda. mbona Mwisho alikaa mpaka karibu na mwsho bila kufanya vituko anavyofanya huyu jamaa… aibu tupu.

 2. TanzanianDream Says:

  Ebana not being a racist ila huyu jamaa ni Msouth kwa kiasi kikubwa kuanzia sura hadi jina….

 3. waz up, waz up.hundsome!! kwanza thanx to the owner of this site you did a good job thanks a lot,never knew about your site a friend of mine called Sabaha told me about it,and you shocked me the way you conected my hi5,its all cool any thing for my brother,i dont mind at all,good job.and he is very pure, typical Richard, care free never gives a damn,and i think the resone why he showed his dick was becaues he had instincs about people hating him,so he showed his dick to tell them “shut up or i will…” welldone Ricardo,Hundsome ,Richo ,Richard.I love you!!!! AND YOUR DOING SO GREAT,BB has made your wildest dreams come true.INSHA-ALLAH YOU WILL WIN. thanx to his supporters and funs to fight for him to stay in da house,LOVE LINDA BEZUIDENHOUT ISHTIYAQ.

 4. Mwali Says:

  No offence but linda slowdown, utamuharibia mdogo wako na mahovyo hovyo ulikiwsha andika tangu mwanzo na sasa unarudia tena.Ukiwa kama dada uliyewalea kina richard umeolewa na unawatoto unapaswakujiheshimu haswa mbele ya public hutakiwi kutoa nafasi kwa watu wakujudge vinginevyo other than that you have 85% signs za ulimbukeni

 5. Minu Says:

  Sijaona dada ambae anasuport ujinga.. hii kali, inabidi uwe makini kushangilia vitu visivyojenga jamii na familia yako, Unatufanya tufikirie kama familia yote haina adabu. be careful people money isn’t everything…. Mtaishia pabaya.. ooh.

 6. Terry Says:

  Duu Linda, mtu mzima ovyooooo!!!!!!

 7. kinono Says:

  Dah Linda, unasapoti upumbavu wewe kama dada hutakiwi kumsapoti mdogo kwa vitu kama hivi hujui nawewe pia una jiabisha yani ina sikitisha sana jamani duuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

 8. lee Says:

  Hivi Tanzania ni jalala? Kila wafanyacho wengine nasi lazima tuwemo? Uchafu mtupu! Mara miss nani sijui, mara picha za uchi hapa na pale! Amkeni watanzania siyo kila kitu wafanyacho wazungu ni dili, tunayo yetu chungu nzima yakutushughulisha na bado tutakuwa watu bora tu. Tunayo mengi ya kuifundisha dunia hii kutoka kwenye mila zetu. Changanyeni akili, nao watakuja tu.

 9. Kiki Says:

  Huyu jamaa kweli anatutia aibu, na huyu dada yake nae anakuja hapa na kusaport upuuzi wake..

 10. Linda amerudia shut up or you stick in your mouth kwa kuwa mmerudia Richard kukaa uchi,isitoshe alikuwa anaoga mlitaka aoge na mashuka?mbona house mate wote wanaoga uchi,maziwa ya wanawake yanakaa waziwazi uchi uchi na Linda hata slow down mahaters ni wengi damu nzito kuliko maji.Iam her best friend,talk to me.

 11. Nino Says:

  kwani wale wanaume wenzake wanogaje??? Hata hao wanaonyesha maziwa sio kwamba wako right? Nobody has time to hate on him, we are just concern with this thing called “fame” you may sell your soul because of fame, and in my opinion I don’t think “fame” is worth enough to loose your own soul. Na kwa wanao support that is just too bad……..

 12. Wewe Kiki hujui kuwa damu ni nzito kuliko maji wewe huna chuki na Richard una chuki na Linda huoni haibu?,hukuona watoto wa Sadaam Hussein wanamlilia Baba yao kabla ya kunyongwa?kwa hiyo unachotaka kusema ni nini?Richard hata angekuwa Bin Laden,Linda angemtetea tuu sembuse hiyo Big Brother show? ACHA WIVU,hapa mefika.Richard amefanya BB show iwe HIT tijivune watanzania,wewe ya kwako yakujivunia iko wapi?

 13. Dinah Says:

  Hivi Tanzania kuwa na mwakilishi kwenye bb inafaidika nini? Acheni kuiga upumbavu wa watu waliofanya yote sasa wanatafuta naman ya kuburudisha viwers(BB/BBCerebrity ya Wazungu) na badala yake fanyani/andaeni vipindi vitakavyomsaidia mwafrika wa kawaida kujikomboa kutoka ktk umasikini.

  Kuna vitu vingi tu ambavyo vikianzishiwa vipindi watazamaji watapatikana na wataburudika nakujifunza pia.

  Ukichukulia nchi kama Tanzania sehemu kubwa ya wananchi hawajui haki zao….anzisheni vipindi kuwaelimisha basi, kuna watu kibao hawajui matumizi “basic” ya Computer kwanini masiweke vipindi ambavyo vitawatoa mavumbi?

  Kuna swala la Ukimwi, utoaji mimba, ubakaji, ngono na watoto wadogo, ushoga, rushwa, unyanyaswaji wa wazee na watoto, mambo kibao yaani.

  Tuinge maswala ya maendeleo sio ujinga kama BB, mnajitia aibu na mnatia aibu Nchi zenu.

  BC hapa dole chini 😦

 14. Wewe Nino sasa Richard amepick FAME,so what about that?you dont know what you are talking my Brother kama wewe ulipewa kipaji cha kuwa mwizi yeye alipewa kipaji cha kuwa acter,he ia a great acter and also he is Comedian watanzania always hawapendi maendeleo ya mtu.Hivi unaelewa maana ya Big Brother show? it’s a reality show,kama huelewi kaa chonjo tuachie sisi funs wa Big Brother show tu enjoy

 15. Kamdada Says:

  This is what i will say jamani…I think it’s about time Watanzania we need to change.My question is why do we have this roho ya kwa nini?…I dont see a point of arguing about Richard and his sister Linda in here….the fact is we need to support richar at this time then when he get out all who knows him need to talk to him give him advice.We all human people and we make mistake…

  At this time Richard is on his own world and you all here are dramatize with his status….ama kweli watanzania never cease to amaze me for shoo.

  And once he wins the benjamins you will hear those who been against him be his clos friend..the good example is when you are alive people will talk negative stuff about you…and as soon as you die oloo utapata sifa za ajabu everybody will be your friend but at the time of uhai heck no…

  What i have learned from we human being especially Tanzania is that we don’t like each other not only that the fact is we don’t like to see other people moving up…we need to be happy to each other hebu angalia watu wa nchi za Arabs walivyo na maendeleo and you know why is because they don’t mumbly like we do they work hard…there millions fo things to think about than chuki…keep in mind chuki ni mbaya sana.

  Just peace of advice!..

 16. Wewe Dinah sisi hatujaandaa hii show,wala watanzania hawajaandaa hii show kwa taarifa yako zaidi ya vijana wanawake na wanaume wa kitanzania zaidi ya maelfu walipeleka forms zao lakini Richard tuu ndiye aliye bahatika isitoshe pengine hata mdogo wako alipeleka lakini yeye hakubahatika katika hiyo nafasi,pia wazazi wa maelfu ya watu ambao hawakubahatika waliruhusu watoto zao,wew ni nani?.Unaonekana kama vile unaishi maisha ya 60’s this is new mellinium achana na watoto wadogo wa enjoy life,manunguniko yako yapeleke kwa producers wa BB show usituletee hapa sisi tuna kula raha.Richard,he is the man of the BB show.

 17. Babu kubwa kamdada,I love your comment.Umewapa ujumbe,mimi bado niko na Richard mpaka siku atakayotoka humo ndani na shamrashamra zote nitazipeleka Tanzania na kumpokea kwa raha zangu.Na hii siyo kwa ajili LInda ni best friend au kwa ajili namfahamu Richard kila nikienda Tanzania company yangu ni Richard na mdogo wake Louis ni bonge la company watu hamuelewi tuu kazi yenu kumdidimiza wakati hamumjui,niulizeni mimi hapa I will give all the hint about them,so what’s up.Kaaeni chonjo sasa ni mbaya.More information be free to contact me.I know Richard from A-Z.

 18. Dinah Says:

  Ntagazwa nasikitika kusema kuwa hujaelewa na hutoelewa nini nimesema. Jitahidi au jifunze kuelewa na kuwa mstaarabu.

  Kukurupuka na matusi haitobadilisha nilichokisema au kile ninachokifikiria about watching bb, inakusaidia nini wewe kama Kijana? (mimi mwenyewe ni kijana)

  Those kind of show ni 4 low class ppl kwenye nchi zilizoendelea (ambao ni wengi) hivyo producers are taking advantage kupata faida kwa wabongo nafikiri ndio mnajiona mko high class mana’ke Low ppl wengi hawana Luninga sio.

  Mstaarabu yeyote ajuaye majukumu ktk maisha yake hawezi kuangali upuuzi huo.

  Ni matazamo tu, hutakiwi kukasirika kwani utapunguza siku za kuishi 🙂

  Chukulia kawaida.

 19. Nino Says:

  Kwa kweli Dinah umesema la maana hapo. Hii inaonyesha huyu Richard, Linda na Quizella ni watu wa aina gani. Pole sana quizella kama unaona wewe na kundi lako mmeshafiiiiiiiiiiiiiika…. duu maskini weeeeeeeeeh, poleni sana.

 20. Kamdada Says:

  Dina swala la Ukimwi halijaanza leo…yaani unataka kusema kuwa kuanzishwa kwa BB ndiyo kutaleta issue ya ukiwmi?..Au other word do you mean by Richard doing what he is doing in BB ni kwamba anaruhusu issue ya Ukimwi unless i didn’t get you..The fact is i don’t see a point of you ingiza suala la Ukimwi.

  Let me ask you this..put yourself int he same shoes…like Richard was your brother what will you do?…would you give out comment just like the way you did here or would you support him?…let’s be fair and please substanciate in a order like i have asked..don’t just jump into a conclusion.

 21. Kamdada Says:

  My Dear Q…what’s up!….i feel youg girl and i know the fact Richard is like your brother keep surporting him don’t listen to them haters…Did you knwo that Haters never wins?…

 22. Kamdada Says:

  Hahahaha Dina don’t make me laugh my ass off maana in real life wewe utakuwa among wa wale watu wanaopenda kuiga…if that the case then waambie wale maproducer wa kibongo waache kutengeneza movies…Maana Movie nazo aliyeanzisha ni nani kama siyo huyo huyo mzungu ambaye unasema sisi tunamuiga?…

  Kila kitu kipo messed up right now everything is corrupt…lakini don’t bring stress za mitaani kwa watu walioanzisha BB…Give them credits kama mnavyowapa credits watu wa the so called Bongo falavor sijui huko…i don’t see the different dude.

 23. Mnyalu Says:

  This is very interesting.
  You know what? One time a good friend mine told me once you are in public eye and people talk about you give you bad criticisim that means you are doing good and they can’t stop watching you.

  Matter of fact i have lerned a great deal i think yes cristicism is good,that shows how much people do love you richard and how much they waste their time and money watch Richard on BB…the fact remains that people do adore his own life,they wish they could be him one day.
  It’s all about big screen reality TV and popularity.

 24. MWALI this is for you,im 85% limbukeni?you dont know who Linda is,just to help you kindly visit my hi5,and see my life b4 i got married,leave alone marrige life and kids and blah blah.check me out ,then pls put a link to your hi5,so i can see a little of your life,becaues what you will see in my pictures is just a bit of me. pls let me see yours and let the public judge who is limbukeni.

 25. kamdada Says:

  Watu weeeeeeeeeee!…..richard has become a one hell of a celebrity…

  Can I get amen..!!

 26. kamdada here is your AMEN.Linda ni mtoto wa mitaani unataka kumfundisha Linda ustaharabu? kama mnamvunjia heshima basi na yeye atawavunjia,tena kawastai,mana ni kichaa wa kizaramo na kidutch.alafu ni mtu wa watu sana!!!!!!!!!!!,mpo!eti linda slow down,ili awape nafasi ya kumshambulia kaka yake?utamwalibia mwenzio haaaa aaa nakufa mbavu.sasa atamwaribia nini? wakati mnapinga BB,mbona mnajicontradict?kumbe mnapenda hee! sasa aslow down hasiharibu! nyoka nyie,mnataka aslow down awape nyinyi nafasi ya kuaribu,kenge nyie wote mnojitia wanasiyasa,na mazingira,jamii and so on,nyinyi mmefanya nini kwenye jamii?kinono kwani Linda anashida ya heshima yako?anajihaibisha wapi?kumpenda mdogo wake na kumtetea ni kujihaibisha? sasa waache na haibu yao,haikuhusu si familly yako.minu haujaona dada anaesupport upumbavu hii kali.TENA KALI KWELI KWELI.inabidi awe makini kushangilia vitu visivo jenga jamii,kwani umesikia yeye ni mjenga mazingira au jamii? hiyo ni kazi ya city council.utafanya tufikiri kama familly yote haina hadabu,sawa fikirieni,kwani nani ana hadabu Tanzania,ngono nje nje,familly yake imekukosea nini kati ya washarati wote wa Tanzania.mpaka viongozi.eti be carefull people money isnt everything,YES money is everything if you had it you would not be here talking crap,your missing it,and you have no ways and means to find it,you wish you had a chance like richard,pia unaelewa goll lake nini,atakachokifanya kitasaidia sana wasio kuwa na kazi,mungu akimsaidia,kwanza BB haitegemei nyinyi mnaohishi marekani,ni ya AFRICA kwahiyo hacheni fitna,nchi kibao zinampenda Richard acha mbali na Tanzania,hicho kigroup chenu cha ukandamizaji,akisikiki kabisa!!!!!!kutokana na umati unaompenda Richard.jiulizeni mbona bado yupo kwenye mchezo?ni mapenzi ya watu yanamtetea.

 27. JAMHURI Says:

  TUSEME UKWELI TU JAMANI LINDA NA WENGINE MNAOTETEA HILI.LILE LA KUONYESHWA KWA UUME WAKE HADHARANI HAIJAKAA VIZURI ATI.
  TUKUBALI HILO MIMI SINA SHIDA NA RICHIE KAMA RICHIE LAKINI NINA SHIDA NA KILE KITENDO CHA BB KUONYESHA MAUNGO YAO HADHARANI.HEBU FIKIRI UMEKAA NA WATOTO WAKO SEBULENI MNAANGALIA BB SHOW ALAFU LINATOKEA TUKIO KAMA LILE.UTAZIMA TV AU UTAWAFUKUZA WATOTO WAKO AU UTAFANYAJE?

  MIMI SIJAONA FAIDA YA BB MPAKA SASA ZAIDI YA KUMOMONYIA MAADILIA YETU.HAMNA CHA UZUNGU WALA NINI MAJUZI BRETINY SPEARS KANYANG’ANYWA WATOTO WAKE KWA MOJA YA KOSA KUKAA UCHI MBELE YA WATOTO HATA WAZUNGU WANAJUA SUALA LA MALEZI BORA KWA WATOTO.

  NINASIKITIKA KUONA MNASHABIKIA UKAAJI UCHI WA WASHIRIKE MULE.

 28. msema kweli Says:

  Jamani naomba niulize nyie mnaolalamika mmomonyoko wa maadili kwa Richard kuonyesha uume wake…

  Nianze na ww Jamhuri nadhani ww unamatatizo makubwa sana ya kili kukaa na watoto wako sebuleni kutazama BB nadhani kuna vipindi vya watoto na sio BB so ungejaribu kujifunza ujue ni vipindi gani vya kuweza kutazama na watoto….

  Nyie mnaosema dadaake anasupport upumbavu nadhani mmekosa kazi za kufanya ndio maana mnakuja kuandika ujinga wenu humu ndani nini kukaa uchi kuna watu wanatoa roho za watu na wanaiba mali za nchi na wanatetewa na wako wanaishi kwa amani itakua mtu kusema alilofanya ndg yake ni sawa hebu kuweni na muono wa maendeleo sioni ubaya wa huo uume kuonyeshwa au na mashaka nyie uume zenu hamuwezi kuziweka hadhaani ni vidogo so mnamuone awivu aliejaaliwa poleni sana…….

  Mie naamini ule nimchezo na watu wanacheza either wakilana au wasilane naamini sie tuliokuwepo humu kama ni kwetu Tanzania na ama huko ughaibuni tunafanya mambo machafu zaidi ya haya kwahiyo tusipige kelele zisizo na msingi amefanya lile aliloona linamfaa yeye na mie sioni ubaya kama kuna mambo ya kipumbavu kibao tunakubaliana nayo basi na hili pia likubalike mnaloliona la kipumbavu….

  Wewe unaesema Ukimwi nadhani upeo wako wa kufikiri ni mdogo naona jiulize huu ukimwi umeanza lini na BB imeanza lini sawa mamm/baba na sijui kama ilizidisha kasi ya ukimwi kweny nchi za Gaetano na Abby walipokua wanakwanguana kila kukicha…..

  WaTZ tuache chuki zisizo na maana haya majungu majungu ni maisha yetu ya kila siku kutaka kupata sapoti ya wapumbavu wenzetu mie sijawahi kuona watu wapuuzi kama sie sijui tufanye nini ili tubadilike lakini sio kosa letu upungufu wa shuguli ndio maana unakaa kusema ujinga….

  Linda wala usiwajali hawa visonoko hawana kazi za kufanya na hata akiamua kutembea uchi ni mdogo wako dn support him as much as you can wengine wana ndg zao wauaji majambazi na wakiletewa nyumbani wanakula na kufurahia kijana kuonyesha maungo yake wanatokwa roho wazembe kabisa hawa….

  Richard keep it up man

 29. Dinah Says:

  Inasikitisha kuona watu hamjaelewa nilikuwa nzungumizia nini nilipotaja Ukimwi.

  Nilisema hivi….(nanukuu)”Kuna vitu vingi tu ambavyo vikianzishiwa vipindi watazamaji watapatikana na wataburudika nakujifunza pia.

  Ukichukulia nchi kama Tanzania sehemu kubwa ya wananchi hawajui haki zao….anzisheni vipindi kuwaelimisha basi, kuna watu kibao hawajui matumizi “basic” ya Computer kwanini masiweke vipindi ambavyo vitawatoa mavumbi?

  Kuna swala la Ukimwi, utoaji mimba, ubakaji, ngono na watoto wadogo, ushoga, rushwa, unyanyaswaji wa wazee na watoto, mambo kibao yaani.”

  Hakuna mahali nimesema kinachofanyika BB kinasababisha UKIMWI na hakuna mahali nimemsema au kumtaja huyo mshiriki wa Tz, mimi nimezungumzia kiujumla kwamba kuna vitu vya maana vinavyohitaji kutengenezewa vipindi in Afrika ili kuelimisha waafrika wengi.

  Kha! 😦

 30. MF Says:

  Hi People mnatakiwa muache wivu na roho mbaya wake up… Linda hajasupport ujinga na sielewi kwanini mnasema anasupport ujinga. BB ni mchezo na Richard anaplay part yake vilivyo… Big up Richard…Am sure RICHARD akija na $ 100,000.00 woooooooooote mnaoongea negative mtabaki midomo wazi

 31. Mary Says:

  BIG UP RICHARD… AM SURE U’LL COME BACK HOME WITH $ 100,000.00… U DESERVE IT RICHARD…. WATU WENGINE WANAONA WIVU TU KUHUSU WEWE RICHARD TANZANIA LOVES YOU UMEFANYA WATU WAWE CRAZY NA BB….

 32. Marie Says:

  ALL THE BEST RICHARD

 33. Marie Says:

  The prize for the winner is USD 100,000.00 and the winner is Richard Bezuidenhout!!!!

 34. nacheyue Says:

  Linda plus quanzilahh this is for you mam, let me ask u wat is your education level????

  PLease msimuwekee richard mazingira magumu ya watu kumchukia coz of u two. cant u see ur victimizing him now??

  I love u richard and with all blessings am certain hes gonna win au kua in top three.

 35. Daw Says:

  Jamani ni dhambi gani hiyo aliyofanya Richard!au ni mambo gani mageni amboyo mnajifanya hamuyajui? pls! this is the game Richard big up!!! m2 wng

 36. Mary Says:

  I love you RICHIANA fans. You guys are great. I cant thank you enough. Thank again for EVICTING CODE this week.

  No questions about that.

  CODE OUUUUUUUUUUUT, RICHARD STAYS LOVE U RICHARD.

  He is the most popular so far…. BIG UP

 37. Nanal Says:

  Jamani, hebu mwacheni kaka wa watu hata kama alifanya kuuonyesha uume wake si yeye nyie kinawauma nini… What we can do now just pray for him to represent our country… Hizi roho za kwa nini kila siku ndio maana hatuendelei kabisa… Mbona wazungu wakifanya hayo mambo hatusemi au kwa vile wao ni ngozi nyeupe au??? C’mon now…Hata dada yake mwacheni mnataka kujua education yake au anavyomuishi then what mtalipia bills zake… Mind you own Fu***n business… Linda keep it up to support your brother and our prayers are with him…… Mungu mbariki Richard Mungu Ibariki Tanzania……

 38. xoxo Says:

  linda have seen your hi5 profile! congratulations!! hongera sana, you have a beautiful family n good life mungu akuzidishie. i want to ask you something a bit personal will send you a message there hope you gonna read it n reply me, ts all about health!

 39. shani Says:

  Linda,, hivi Richard akitoka BBA itakuaje kuhusu Ricki? It seems anampenda Tatiana kikweli… Ingekua mimi namuamlia chakufanya ningesema awe na tatiana,,, they seem very much in love.. ts jus no game thea!

 40. NACHIYEUWE,my education level,is not a graduate i rashed into bussisness,”big money honey” i wanted a short cut,instead of westing time in school then start to earn money which would have been very hard to earn the kind of money i wanted even if i was a professor.so i picked a shortcurt way to do bussiness,and not made a bucnh of money but also helped society a lot.if you remmember linda express, i had 2 of them.you must have road in one of them.one was in mwanza and dar,then i continued with bussiness of .beauty,i helped a bunch of young ladies,who im proud off every day ,pls check the pictures of my verry first album ,the album cover is me wearing red with my husband,and check the following one, pluse the one of around the world,you will see me in action,im very proud of what i did,and honestly it cost me a lot of money,like when i sponsered miss TZ 98 ,i flew to UK just to buy stuff for the pagents,do you know how much is that? i have a big heart ,which you so called Educated NACHIYEUWE dont,and i have taken some silly courses here and their which i dont even need the certeficate,becaues of my feild in bussiness changed into something else,verry good, i even regret why i took those courses it was a waist of time,GOD HAS BLESS ME SO MUCH .that is the most important; to me rather than having a diploma,and my DIPLOMA of doing good deeds is waiting for me up there,i dont need this dunia diploma,
  oooh not forgeting,im a chilling kind of a lady,so i loved big life than sitting on a brick and listening to a teacher who never had education him/her self.it was bullshit for me so i left TZ and went to follow my callings,meanwhile i was chilling out!!!!!.I HAVE LIVED VERY LARGE HONEY,VERY LARGE YOU CANT IMAGINE,YOU AND YOUR DIPLOMA WISH YOU LIVED LIKE I LIVED THEN AND KNOW!Allau Akhbar.im out

 41. Tatiana. Says:

  This is kinda funny. Inasikitisha sana kuona kwamba mtu hajui umuhimu wa education. Linda dada, kweli tunakubaliana na wewe kuwa you are living in large, lakini dada kumbuka elimu, au education sio tu “money” Ni kweli watu wanaenda shule ili waajiliwe na kupata pesa lakini umuhimu wa eduacation unjulikana wakati huu. Jinsi ya kujipresent na kuangalia nini cha kusema mbele y akadamnansi na nini cha kutosema. Kama umeshawahi kusikia watu wanasema”Akifungua tuu mdomo utajua kama ni mtu mwenye elimu au la” Pesa muhimu duniani lakini is not everything. Dada inabidi ukasome kitabu kinachitwa “Rich dad and Poor Dad” Kidogo labda utaona umuhimu wa education………. Keep living Large..

 42. kamdada Says:

  Tatiana..education is not
  for everybody.unaweza ukaendsha shule and still maisha yako yakawa very duni na unaweza usiende shule usijue hata kuandika lakini ukawa very sucessfully..the thing is we have this feeling in mind kuwa without education I am nothing but guess what it is not true.you can be sucessfully without education level.good example is bill gate..he has no degree lakini look where he is now a billionare.siyo lazima uende shule kuwa smart..everybody is smart on their own way.

  Salute richard…

 43. Tatiana. Says:

  Kamdada kuna wakati mwengine you need to sit down read and understand. No one is saying that when you are educated you are more successful, I am saying that Money is not everything, To be educated doesn’t mean that you can only read and write, there is more about education that that. We don’t mean that education is school, diplomas and degrees, it mean read a book, open your mind, think, articulate, elaborate. be a critical thinker. think before you say something, and more. Bahati mbaya saana mambo haya yanafundishwa mashuleni and sometimes yanaandikwa vitabuni. Please please please watanzania, let’s try to be more articulate, tusiropoke tuu….

 44. TanzanianDream Says:

  Wow Y’all need a life….

 45. Kamdada Says:

  Tatiana…so what is your point so far?.Kwanza sijui unazungumza kitu gani kaa unataka kuongea kiswahili then bas eon kiswahili tuu maana ELIMU NA EDUCATION zina same meaning ila elimu ni kiswhaili na education ni kiswahili.on your previous post umesema Linda akumbuke QUOTE “ELIMU AU EDUCATION”…UNQUOTE…kwamba ni muhimu. besides na mimi nilikuwa na kujibu kuwa eduction siyo kwa kila mtu.

  I beg to differ with you Tatiana hebu acha kudanganya watu kuwa when you are educated you ar emore successfull in what ways?…hebu enlighten me please. Well i tell you what you cant be successfully kama huna pesa..how can education make you successfully kama huna pesa?How many people wame graduate from chuo kikukuu na wapo mtaani hawana mbele wala nyuma?.

  I gave you good example and i thought you could fall into it but i see you making it hard to understand…Bill Gate is not well eductated but he has money and bery successfully,besides him there is Warren Buffet.

  And when it comes to books you can’t tell me nothing about books i read that book for your record.I canr ecomend you go and buy this book for Susan Osman.

  Peace!

 46. someone Says:

  Tatiana, just chut-up no one wants to here it,your just a linda hater
  everything you said on your list, like open your mind(her mind is more open than yours),aricuate, elaborate,..ect
  but, let me tell you the stuff you missed on your list charm, fame, helper, kind,(unless you mess with her),she always speaks the truth,(that even you tati. cant speak the truth(put your real name here(like she does) pluse your writing is’nt even good; i bet your one of her friends
  compare your self to her and you’ll get the answer of why you hate her
  and after you compaper your-self comback here and give as the answer.pls
  good things,happen to good people! LINDA IS

 47. Tatiana. Says:

  Haya weeh.. naona hatutaelewana. For your information I don’t know Linda wala Richard, I am not hating at all. That was just my opinion about education. Enough about this….

 48. Mwali Says:

  Linda My dear, Ninakufahamu kuliko unavyo fikiria mpaka reasons za kukimbia tz mpaka hapo ulipofikia. so please slow down my dear stop it umekua sasa ya zamani yaache hizo picha ni nothing deep in your heart you know it. The biggest respect I give you ni kuwalea wadogo zako sio watu wengi wanaweza kufanya hivyo. youre too good kufanya unavyo jinadi. Pesa huwa tunaziacha hapa hapa duniani its totally nothing.

 49. Mwali Says:

  Richard is a very good guy no doubt about it kila siku namwombea ashinde ila wewe na comments zako ndio utafanya watz wachukie wamvote out na hata watu wengine duniani. as for quizella youre a true friend after all thats what friends are for.

 50. Sylivia Says:

  Kwamba elimu haina maana!! Ama kweli watanzania ndio maana nchi yenu inauzwa….Nani kasema Bill Gates hajaenda shule hata kidogo??!! Weye unayesema Elimu haina maana usimpeleke mwanao shule utaiona faida baadae… Mifano ya watu kufanikiwa bila ya kupata Elimu inahitaji ushahidi wa kutosha.. Huwezi kutolea mfano wa watu wawili au watatu ndio ukawa mfano wa jumla…

 51. Atu Says:

  Mwali,
  It seems like you have a vandate with Linda. I read your replies to her AND it looks like you do know Linda very well,but i don’t see a point of you putting out all of her personal stuff out in here.If you do have anger or anything with her,what i will suggest as soul sisters why don’t you call her and talk to her in person than disrespecting someone in public,because of her Love to her brother.

  Without due respect i don’t think if Linda have any bad intention with Her Brother or anybody in particular.I don’t know Linda i don’t her personality and i don’t where she comes from but i think she is a good people and she is trying to help her brother and she seems so loving.

  Apparenlty i don’t blame Linda at all.ItS just like anybody else when you see your family member doing something good something that can changer his /her life they get too excited.Which is in very human being blood.

  You might hate Linda’s comments but some other people might find it very interesting to read. Myself i find her as a soldeir to have her display her really name in public and give out all information about herself and her brother it takes guts to do that.

  Why don’t we just love each other instead of fighting like we are in Rwanda or Sudan?.To to knowdlege i know that Tanzanian are so loving and why don’t we unite and be one.

  KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.

 52. Kamdada Says:

  Sylvia……….The so called Tatiana is talking about degrees/Diploma or masters and not high school which is kila mtu ana high school certificate if not primary school or RN (common education ya wa-africa)…
  Just for the 411 Bill gates hana degree period…Don’t bisha something you don’t know!.

  Read Below:
  Gates attended public elementary school and the private Lakeside School. There, he discovered his interest in software and began programming computers at age 13.

  In 1973, Gates entered Harvard University as a freshman, where he lived down the hall from Steve Ballmer, now Microsoft’s chief executive officer. While at Harvard, Gates developed a version of the programming language BASIC for the first microcomputer – the MITS Altair.

  In his junior year, Gates left Harvard to devote his energies to Microsoft, a company he had begun in 1975 with his childhood friend Paul Allen

 53. Sylivia Says:

  Sasa mpendwa Kamdada mbona hueleweki.. Unajichanganya mwenyewe…Unasema Bill Gates alipitia Harvard ingawa hakumaliza…Unadhani Harvard haikuwa na mchango wowote kwake?! Au na wewe umeacha shule hapo ulipo ingawa ulikuja kwa gia ya kusoma ili ubebe bokisi upate hela haraka?!

 54. someone Says:

  mwali, dame why are hunting linda
  what wrong has she done to you, you sound like a misserable pathetic thing,kind of like your under strong medication since your just on insisting on linda. i reapt again, jelously is killing you maybe thats the real medicien you should be taken for

  i dont understand when you say linda’s in exhile
  how about the pic’s we saw on the tanzatl.org for richard’s wedding was’nt that tanzania(out of the country)we even saw her at the airport wich means she passed through the immegration and customs
  why are trying so hard to ruin this women
  i suggest you go to a mirror,look at your-self than cry while going through greef and agony
  oh and take some phenegan for your sleep!
  because linda she was ment to be who she is, you cant fight with GOD
  you must be cursed with a terrible deassis, so dont bring your anger on linda
  take some sleeping pills, because i know you cant even sleep.
  LINDA IS A LEGEND, SHES ONE OF THE FIRST CELEBRITIES OF TZ, so deal with it!
  GOOD NIGHT mawli

 55. Kamdada Says:

  Silyvia…i guess you are too slow…i am not her to judge my education wheather nimekuja na gia gani..Nije na gia ya kusoma au nibebe mabosi its none of your business as long as wabeba mabox wana make living.

  How do i contradict myself with bill gates issue? kwenye comment yako umesema kuwa who said bill gates didn’t go to school we all know he went o school ila he did not finish and i was trying kumjibu ms tatiana kuwa you don’t have to go o school and get degree inorder to be sucessfull that is when my mano wa billgate sukaja kuwa he didn’t get his degree but he is a billionare,did you get my point so far?

  The fact remain Bill gate didn’t achieve degree lakini amekwenda Harvad for a semister akaacha just like hao wanaokuja Uaya kwa gia ya kusoma na end up kubeba mabox.

  I do salute wabeba mabox no doubt. Please get ti my point kwanza before judging..also keep in mind msomi na mebab mabox wote ni sawa as long as haibu na kila mtu is smart on his/her own ways..so weye mwenzetu Slyvia naona umeondoa umande katika familia yako and if you don’t mind me asking what is it that you are doing anyways?…

  I am not trying to judge anybody but i feel like judging other people kuwa hawajaenda shule siyo fair since education is not for everybody such as that.

 56. Dear ladies and gentleman
  first of all ‘m speechless i got nothing to say to the haters,you have answered them all for me!Thank you all so much who are fighting for human rights,you are amezing you got me stunned,nothing to answer on the negative coments,THANK YOU ALL SO MUCH
  I would like to say bye to you all, for i’ve been so bussy with the interveiws from different countries in africa ,many more interveiws to come my schedulle is booked to the point i cant have time to chat any more,infact i tryed so hard.despite the intanational maters i have my own bussiness to take care of,
  i love to put Richards fans and supporters first pioriaty.Yes i thank you a lot for beeing with us.please dont give up and i shall not.i promiss you.
  haters never win as kamdada said.
  so many thanx to kamdada,Quizellah.someone,xoxo, shani,mery, nanal and many more,some couldnt comment but they love and support Richard.Thanks to you all,INSHA-ALLAH,RICHARD IS FOR BBII AND FOR TANZANIA,THE MONEY IS COMING HOME,INSHALLAH.
  bye,Linda Bezuidenhout.

 57. Diana Says:

  Dear Linda.
  It could be best, if you would check ur grammar and spelling! au jaribu kuongea kiswahili, hata kama unasema hujaenda shule lakini Unaweza kujikosoa hapa na pale. No offense just Opinion

 58. ABDALLAH Says:

  hii ni ya number 49 MWALI,mbona umemsakama sana LINDA,Haiwezekani kabisa coments zake zikamwaribia richard,wala watu wakamchukia richard kisa Linda,Linda kamtetea sana richard,nimefuatilia sana,sana kwenye web ya BB ,mana wadidimizaji walikuwa wengi sana,sana,na matusi makubwa,ikafikia point alichukuwa hatuwa ya ku hire privet agent kukamata wanaomtukana mdogo wake,(BRAVE LINDA)na kwa taharifa yako waliacha kabisa matusi makubwa kwa mdogo wake,na mahouse mates wote wana ndugu zao wanawatetea,isipokuwa hawaweki majina yao,yeye tu!!! ndo ameweka jina lake na kujitambulisha yeye ni nana,(BRAVE LINDA)WEWE UNAKEREKETWA SANA SANA NA LINDA.sanyingine angekaa kimya ungemsema vile vile (dada gani anaacha kumsaidia mdogo wake)unajitahidi sana kuelimisha watu hapa wamchukie linda,tena unajitaidi kweli kweli,amekukosea nini?na alivotukana watu kama nyamazeni au mdogo wake angewatumbukiza uume wake na kuwauwa,ilikuwa powa sana,mana watu walijifanya wanamatusi. pale walifunga midomo! naona dam yake nzito kuliko madada wengine,UPO?mwali wewe ndo uslow down kabla hajakuchukulia hatuwa na ukaeleza nini alichokikimbia TZ,mbona tulimwona anatesa kwenye web akiwa tz?na pia watu wa usalama WANASOMA NA KUFUATILIA SANA COMENTS KAMA ANGEKUWA HATARINI KWELI ANGEANDIKA JINA LAKE TENA MPAKA LA MWISHO,ee bwana umemsakama sana LINDA ,huu ni ushauli kwangu kwa Linda,bibie jitizame sana,na uwe mwangarifu mno!
  na huyo DINAH anachanganya kiswahili na kingereza,si uongee kimombo tu!mpaka mwisho?kama LINDA hizo hera ni za kawaida wakati wa kutype zinatokea sana,mtu mwenye kuelewa unaelewa kabisa,kama she is fine and what she means,watu waliosoma haswa wanaelewa,sio wewe uliyesomea kuchange diepers.i bet kasoma kuliko wewe,mbona hauna guts za kuandika english through out,sehemu unazokwama unaweka kiswahili,heeee,watu wanajihaibisha hapa,embu wekeni majina yenu tuwajuwe basi!VIJIBA VYA ROHO,hamumpati mwenzenu kabisa hata mkimponda vipi!!!!

 59. suzan Says:

  nani kasema linda hajaenda shule? mimi nimesoma nae na kawaeleza kachukuwa vijicourse hapa na pale na hatumii certificate alizo nazo any way,alisema sio gradute,yani kama PHD au degree,kusoma kasoma kama sisi wote hapa hamna mwenye PHD,wenye PHD hawaji humu,

 60. Dinah Says:

  Samahani Abdallah nadhani unamaanisha Diana na sio Dinah ambae ni mimi, agalia vema herufiza majina ya watu ili kuepuka kuchanganya.

  Asante.

 61. someone Says:

  dinha get a life,
  iv’e been reading linda’s wirting especilly the one about her saying good bye
  and i dont see any mistakes the wirting’s very clear and understanderable; maybe you cant read and know how to wirte pick one langage swhahili or english.
  when your critizing her why do you say “no offense”
  you have already offended her, so dont try to be smart YOUR NOT jelousy will kill you, take some pain killers and
  get a life! BCAK OFF

 62. ADULLKARIM Says:

  nyote ni sawa tu,na wewe DINAH,hiyo msg ni yako pia,na TATIANA number (41) hii yako sasa,uwezi judge mtu kutokana na kufunguwa mdomo,maprofessor kibao wanakuwa wachafu,wanaongea kama vichaa kwa ajili ya kusoma sana,wewe ushawai kuona profesor mwenye akili timamu?inaonekana Linda ni open friky minded by nature,naona angekuwa profesor angekuwa kichaa,anatoa coments kwenye BB web na picture yake unaona,ndugu wa house mates wengine hawaweki picture wala majina ya kweli,na haters wengi pia,lakini anarisk na kujiachia, alafu coments zake yeye ashambulii watu(isipokuwa pale walipo mvunjia hadabu mdogo wake) yeye kutwa ni kumwagia kaka yake sifa kem-kem na kumalizia na mungu inshalla, sasa sielewe watu watamchukia vipi mtu kama huyu.mnamwonea gele mnataka kumzima hasisikike,kama imeandikwa imeandikwa,kuna hater mmoja aliandika mpaka jina lake la mwisho wil…,sitotaja la kwanza HAKUWEKA PICTURE YAKE,akamponda Richard na broken english kama yakijamaica,alafu linda kamgunduwa mana alimjibu kwa kumpaste,haibu ya ainagani?wakati wanajuwana na linda,isipokuwa yeye ni mlevi,na kuzurula virabuni,kuacha mume na watoto nyumbani, kuvaa nguo za uchi,tuu!!!!!!!!!.lazima umchukie mwenzio
  mambo hayo huyakuti kwa Linda,alishafanya sana enzi za usingle,lakini sio baada ya kuolewa na watoto ,wil… unajivunjia heshima,
  nikisema hamumpati mwenzeni ni mambo kama hayo,na mengine mengi,mengi mnoooooooooooooo,wakinadada,mnapitiwa na kuwa mahayawani,alafu mnamchukia mwenzenu, kilakitu kina wakati wake,mwenzenu ndo kasoma sasa,anaelewa vitu kama hivo,na sio limbukeni wa starehe,wala umbeya,na uongo uongo.very straight.nyinyi mmekuja kujulia $ marekani,na kuvaa ,alafu Mwali anasema eti LINDA limbukeni(HUNA HAYA WEYE?),kunajinsi ya kuongea watu watajuwa kama umesoma(Tatiana kasema 41),MBONA HAMSEMI KUNAJINSI YA KUVAA NA KUBEHAV? mnajuwa kawazidi kete,she is a mother DIVA.kuongea,kuvaa,ukarimu.bussiness minded,ana intanational exposure,DIANA,DINAH,MWALI,na yule a BB web wil….hamna. mengine mengi,list ndefu.kaogeni mtoe nuksi,tena muoge kuanzia vichwa nywele zenu,toeni rangi za kucha,muoge saaana msali mungu atawapa,chuki haitowasaidia.na mkizidi kujifanya fanya ntawataja wote majina yenu.Mimi ni kaka nisiependa vijiba vya roho.tena huyo wil… analana ya mamake.

 63. nacheyue Says:

  hey guyz all in all we Tanzanians we big time need to go to school esepecialy Ladies!! coz when u talk about richness and money EVEN PAMELA ANDERSON is leaving big gal!! sooo are u one of those………… i love richard , pliz guys lets support him coz he has nothing to do with this sill ulimbukeni kind of life.

 64. robza171 Says:

  Miss what happened in the Big Brother Africa house yesterday? Go here: http://bbafrica2.wordpress.com/2007/10/27/it-all-started-with-a-little-fishing/

 65. renee Says:

  keep it up rich yaani wakilisha kaka achana na maneno ya wabongo hivi jamani na mbona jina lako la pili kama la kidutch au upo half mdutch . ila kazi nzuri kaka god bless u tchao.

 66. Issa D Says:

  SASA KASHINDA MNALAZIADA? AU NDIO MNAJIDAI NA NYIE MMEMPIGIA KURA? ACHENI USENGE! HATA KAMA MNAONA MADUDU YANAFANYIKA KUWENI WAZALENDO MNAJIDAI WAZAZI KUJADILI MAISHA YA WENZENU.

  Mamaaaae!

 67. julie Says:

  AS I SAID BEFORE ….TANZANIANS DO NOT JUDGE SOMETHING YOU HAVE NEVER DONE…WHY JUDGING HIM?? ,,, HE HAS TO DO ALL HE CAN TO ENTERTAIN US , ,AND WE WERE WATCHING HIM 24/7 …..BECAUSE OF HIM …TANZANIAN IS KNOWN WHETHER GOOD OR BAD …. MEN YOU REAL SUPRISE ME,,,LETS SUPPORT HIM ,. HE IS A HUMAN BEING …. OR DID YOU WANT HIM TO BE THERE IN THE HOUSE STIFF, ARROGANT , IN THE NAME OF MARRIED MAN?… PLEASE TAKE IT EASY HATERS….LET HIM BE,, WE LOVE HIM NO MATTER WHAT HATERS ARE SAYING …BIG UP RICHARD ,,, BIG UP LINDA,,,,JULIE NAMIBIA

 68. julie Says:

  RICHARD DON’T LISTEN TO THE HATERS , KEEP YOUR FOCUS …. AND MOVE ON WITH YOUR LIFE ….. YOU DESERVED THAT MONEY …. YOU ARE THE BEST IN THE ENTERTAINMENT INDUSTRY ….. GIVE OUR LOVE TO YOUR WIFE….AND PLEASE DO NOT FORGET TATIANA EVER ….

  WE UNDERSTOOD YOU THAT YOU ARE A HUMAN BEING …LET THE HATERS EAT THEIR HEARTS OUT IN THE NAME OF MORALS WHICH THEY CAN’T PRACTICE….

  WE WILL MISS YOUR FACE AND YOUR BIG HEART ON OUR SCREEN …..AND REMEMBER ALWAYS THOSE WHO ARE OPPRESEED AND LASTLY FOLLOW YOUR HEART… JULIE NAM
  NB; WE WILL BE THERE IN TANZANIA FOR HOLIDAY … WE WANT TO KNOW IF THERE WILL BE A NEW YEAR’S PARTY WITH YOUR FANS AND PLEASE EMAIL US maxine_jeremiah@yahoo.co.uk

 69. didi Says:

  No matter what limbukeni ni limbukeni siku zote.Huyo Linda pamoja na familia yao wote malimbukeni kwani kuwa mfanyabiashara au kuwa ulaya ndio nini?kuna watu wangapi wana fedha katika maana halisi ya fedha na wala hawajitangazi na kujishebedua na kutafuta sifa kama huyo linda kwa kifupi anaboa.
  Siku zote mtu mshamba akipata inakuwa tabu,na inasikitisha kuona the way watu wanasupport ujinga there some people up there who have commented very well if that linda is all that how come she can’t even make a correct english sentence,she calls her self a diva who has seen the world, yeah fair enough i wonder how does she even communicate since she is a international business woman au ndio mambo ya iz and waz? sad man…and a piece of advice money is nat everything and am backing up mwali for her comment and she is nat hater coz if she was she cud as well expose linda, and how come linda didn’t say a thing?
  No one will hate you for no reason what people are on about here is the way linda has been such a show off and full of her self(see her hi5)to the boring extent, and on top of that supporting the brother showing the dick and fingering that girl on the show is jus so disgusting!!and the whole family and some sad minded tanzanians are happy that their country is now known after their fellow country man fingered the girl on the public television,maskini mungu isaidie tanzania!
  kuna mtu amecomment juu ya kuanzishwa vipindi vyenye manufaa kwa watz i was so shocked by the way some people answered to that, very shocked!what the person was saying ni kweli kabisa we need those kind of things what do we gain from bb?hao nchi zingine at least wenzetu wameendelea we are racing to get where they are which i don’t think we will if this is the way we will be going about,
  Hakyanani,mungu ibariki tanzania na tuondoshee malimbukeni na washamba kama kina linda.

 70. I think alll you tanzanians need to give
  Richard support especially in his personal growth
  at this time when he has done yourcountry proud.
  Support him to salvage his marriage and the rest of
  those trifle things shound not country
  To Richard and Family congrats
  phillip Newman


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s