BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

“UHUNI NI TABIA YA MTU”-AISHA MADINDA. October, 16, 2007

Filed under: Muziki,Sanaa/Maonyesho,Utamaduni,Wachezaji — bongocelebrity @ 10:38 AM
Tags: ,

Leo hii anaaminika kuwa mnenguaji wa kike maarufu kupita wote nchini Tanzania hususani katika muziki wa dansi. Ubunifu,uwezo wake katika kunengua na kujituma vilivyo awapo jukwaani inasemekana ndio siri ya mafanikio yake.

 

Huyu si mwingine bali ni Aisha Mohamed Mbegu maarufu kwa jina la Aisha Madinda, mnenguaji tegemeo wa bendi ya African Stars ’Twanga Pepeta’. Alijiunga na bendi hiyo mwaka 2001.Umaarufu huo ndio umemfanya Aisha Madinda awe mnenguaji au mcheza show ambaye huongelewa zaidi mitaani na pia kwenye vyombo mbalimbali vya habari nchini Tanzania.

Hivi karibuni tulipata fursa ya kufanya naye mahojiano kuhusu mambo mbalimbali yakiwemo kuhusu maisha yake binafsi,mipango yake ya baadaye nk.Pia Aisha anajibu kuhusu shutuma mbalimbali ambazo zimekuwa zikimzunguka kama vile matumizi ya madawa ya kulevya,upigaji wa picha za uchi nk.Ukweli uko wapi katika yote haya? Fuatana nasi katika mahojiano yafuatayo; (more…)

Advertisements