BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

UJIO WA BONGOLAND II October, 18, 2007

Filed under: Filamu/Movie,Sanaa/Maonyesho,Sinema — bongocelebrity @ 4:07 PM
Tags: , ,

 

Filamu mpya ya Bongoland II imekamilika.Itatoka hivi punde. Ni wazi kwamba wengi wenu mngependa kujua mambo kadha wa kadha kuhusiana na filamu hii. Kibira Films iliyo chini ya uongozi wa Josiah Kibira, wametengeneza ukurasa mzuri kabisa kuhusiana na Bongoland II. Bonyeza hapa usome ujumbe maalumu kutoka kwake, upate habari za undani za walioshiriki katika filamu hii na mengineyo.

Pichani ni jalada la juu la filamu ya Bongoland II kwa hisani ya Kibira Films.

Advertisements
 

AKUDO IMPACT

Filed under: Muziki,Sanaa/Maonyesho — bongocelebrity @ 12:29 PM

 

 

Pichani ni baadhi ya wanamuziki wa bendi ya AKUDO IMPACT ambayo imeanzishwa sio muda mrefu sana uliopita lakini tayari imeonyesha kuwa tishio kwa kutoa burudani ya aina yake nchini Tanzania. Picha kwa hisani ya MichuziJr.