BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

AKUDO IMPACT October, 18, 2007

Filed under: Muziki,Sanaa/Maonyesho — bongocelebrity @ 12:29 PM

 

 

Pichani ni baadhi ya wanamuziki wa bendi ya AKUDO IMPACT ambayo imeanzishwa sio muda mrefu sana uliopita lakini tayari imeonyesha kuwa tishio kwa kutoa burudani ya aina yake nchini Tanzania. Picha kwa hisani ya MichuziJr.

Advertisements
 

6 Responses to “AKUDO IMPACT”

 1. Pope Says:

  hawa jamaa kiboko wana Nyimbo mbili walizotoa mpaka sasa ingawa ya tatu ni video pekee, ila mchaka mchaka inao wapeleka hao Twanga wenye Albam 8, na hao FM wenye Albam 3 kama sikosei ni balaa kaka, jamaa wanatisha vibaya sana hasa na kibao cha “Yako wapi Mapenzi” chake Cristian Bella (Cristabella Mwingira)

 2. Dinah Says:

  Hivi wanalipa Kodi hawa?

 3. mesa Says:

  batu bengine bana sasa ona kaka pendeza dada paja nje kwanini tusiiete malaya hiyo

 4. TanzanianDream Says:

  Buble gum hits hizo…Twanga unawajua wewe?unajua Jirani ya mwaka gani?unaijua Twanga wewe?….shauri zako…

  Wow hakuna alieuliza kodi kwa Aisha madinda?

  Hivi malaya ni yule tu anaevaa hovyo?au umalaya ni tabia kama wengi mnavyosema? i’ll compromise kuwa hawa wanaonekana hawaeleweki only kwa sababu ni wabaya na nguo walizovaa zinaonekana kama zimewavaa not otherwise….ila msiwatukane eti malaya au zaidi ya hapo….

 5. palipali Says:

  wanajitahidi lakini bado watoto wadogo kwa wazee wa ngwasuma, wazee wa pamba kali, wazee wa mujini, funika bovu…………..(au unasemaje christa?)

 6. beatrice Says:

  Akudo ni noma kama ukoma,mimi mwenyewe nawakubali mzeiya wazee wa masauti hakuna mfano.Big up men.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s