BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

MWISHO MWAMPAMBA October, 19, 2007

Filed under: Tanzania/Zanzibar,Television — bongocelebrity @ 12:04 AM
Tags: ,

 

Pichani ni Mwisho Mwampamba aliyekuwa mwakilishi wa Tanzania katika shindano la Big Brother Africa I lililofanyika miaka minne iliyopita. Mwisho alifikia hatua ya fainali kabla ya kuzidiwa kete kidogo na kimwana Mzambia Cherise Makabale ambaye ndiye aliibuka mshindi.

Mwisho alizaliwa Mkoani Mbeya, mwaka 1980 kisha akakulia na kupata elimu yake mkoani Morogoro. Alipata elimu yake ya msingi huko Morogoro International School na hatimaye kuhitimu kidato cha sita katika shule ya Sekondari Forest, huko huko Morogoro.BongoCelebrity iko mbioni kufanya mahojiano rasmi na Mwisho a.k.a Mr.Morogoro.Stay tuned!

Advertisements
 

27 Responses to “MWISHO MWAMPAMBA”

 1. Hatbah Mduma Says:

  kaka mwisho mbona umekua kimya?mbona umeyatupa mkono maisha yako?du something with ur maisha i will be happy ukiwa kijana tajiri kama uluvyo na bahati.think the way ulivyokwenda bba

 2. speed Says:

  aisee fanya naye mahajino nayo very haraka…maana umbea naoupata wa huyu jamaa ni mwingi sana,fanya fasta tupate kinachotoka kwa mdomo wake.

  msela jicho nyanya utafikiri alikuwa ana……..

 3. Hatbah Mduma Says:

  Richard my brother m praying hard u wine kaka.I know ur success there at BBA is Tanzanian success.M happy for u kaka.Ila when the game get into its end pliz endelea kua active usiwe kama kaka mwisho amejitupa sana.Always think abou maendeleo na si umaarufu tuu.Kua star mwenye pesa na pia pesa bila ubinadam sio kitu.Remeber to help maskini,yatima,wagonjwa,vilema na wengine wengi watakao hitaji msaada wako kwa hali na mali.Kumbuka all Tanzanian wote ni damu moja so dont be selfish in ur life,unaelewa maisha ya uswazi kaka.Du something on a sertain organisation ili uendelee kua active.When u du this mungu atakusaidia utapata wadhamini mbalimbali.Be a fighter man,i know u will make it mafano Richard Beu Opharn,Rich De’ Beu [T]Ltd

 4. vvevev Says:

  hizi picha mbona zinajirudi yakhe..
  weka mambo yake kamili na picha za uhakika
  jibaba

 5. EDO NDAKI Says:

  Habari za kusikitisha,kipenzi cha wengi,mwana wa Africa,zaidi ya mwanamuziki Lucky Dube katuko Dunia.

  Mauti yamemkuta baada ya kupigwa risasi na majambazi huko kwa madiba.Hakika tutamkumbuka sana.

  Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi.Amina

  NOBODY CAN STOP REGGAE!! CAUSE REGGAE IS STRONG.

  U CAN KILL THE PROPHETY OF REGGAE LAKINI REGGAE ITADUMU.

  NUFF LOVE REST IN PEACE

 6. Dinah Says:

  Huyu nae ndio nani?

  Mnajua nini BC punguzeni mambo ya Cerebrity wa kipuuzi (wanakuwa maarufu kwa kufanya ujinga au kushiriki reality TV)…..leteni watu ambao ni maarufu kutokana na vipaji au kazi zao au mchango wao ktk jamii ya kibongo.

  Kuna jamaa walisaidia sana kuweka mizngi wa kizaki kipya Dj JD na Sebastian Maganga(huyu nadhani ndio aliibua jina la bongo flava). Hawa vijana wananafasi kubwa sana ktk historia ya bongo flava.

  Kuna yule mwanaharakati(sijui kama anaendelea) wa haki za wanawake na alikuwa mstari wa mbele kwenye swala la mauwaji ya wazee wanaoshutumiwa kuwa ni wachawi(nimemsahau jina).

  Kuna mwanasiasa Mbatia eeh, kuna Mke wa Ex rais wa Zanzibar, kuna Rais Mkapa, mkuu wa mkoa wa Dar/mayor n.k.

  Kuna wasanii wa luninga kibao ambao uigizaji wao unagusa jamii na kufikisha ujumbe n.k.

  Wachezaji wa mpira wa kikapu Bongo, Kandanda n.k.

  Vinginevyo itakuwa kama blog ya naninihii waswahili (wasio wastaarabu) wengi 🙂

 7. Dinah Says:

  Aah Luck Dube, masikini. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi…Amina.

  Asante Edo kwa taarifa hiyo.

 8. Emma Says:

  We Dina acha kiherehere, unajiona wewe bora sana. Tumekuchoka na kujishebudua kwako, hata kama kitu hukijui lazima ucomment.

 9. Mkokozi Says:

  Respect sana Dinah!

  Kwanza nakupa shavu kwa jinsi unavyoweza kukabiliana na changamoto za mfumo dume.

  Ama hakika mtu akichambua kati ya Emma na Dinah ndio utaona nani pumba nani mchele.

  Yaani we Emma umekosa kitu cha kucommect kwenye hii web mpaka unaanza kujibu HOJA kwa PUMBA zako na jabza?

  Dinah nipo na wewe kuna macelebrity kibao tunakalia kurudia yale yale.

  Big up BC kazi nzuri,Dinah tupo wote dada songesha

 10. Ndaki Gombera Says:

  Dinah siwezi kuwa mnafiki.Naungana na wewe kwa asilimia kubwa sana.

  Kwenye mtandao nakukubali upo “active”
  Wanakwambia kipimo cha uzuri ni ubaya.Hivyo ukiona badhi wanapingana na wewe kuliko kupingana na mawazo yako basi kwako chukulia ni ushindi.

  Kazi njema endelea dada kukamua.

  Tupo pamoja

 11. beutness Says:

  hamna lolote huyo Dinah kazi yake ni kujipendekeza tu kila mahali yumo anajifanya anajua kila kitu. Amuulize mwenzake MAMA TERI ameishia wapi!!!

 12. Zulu,Dallas TX Says:

  Dinah,
  Mi nadhani ndio maana unawaboa watu.Sasa wewe ni nani mpaka udhani kwamba hao unaowataja wewe ndio watu wanataka kuwaona?Nadhani BC pamoja na mambo mengine yote wanaenda na wakati na jinsi watu wanavyoitikia.Hiyo ndio smartness ya blogs au websites.Usiwapangie,waache wafanye kazi yao.BC Big UP sana,endeleeni kufanya kazi yenu.

 13. Damn mrisho,you are a hundsome son of your mother,thats why i keep seeing your name in the BB web,and some comments wondered if you are Richards brother,you have similarity,be at the airport to wellcome RICHARD and also never miss the welcome parry,be there brother,cheers

 14. TanzanianDream Says:

  Wabongo bwana sasa hapa naona mmeacha kudiscuss picha mnaleta stori zenu wengine haya wengine haya…topic ilikuwa juu ya mwisho kama huoni kuwa mwisho ni celebrity kajiulize vizuri kama Kid Rock au Marehemu ODB(RIP) ni macelebrity au lah!….

  Otherwise hizo comments za Lucky Dube zina ukurasa wake iweje mjifanye nyie ndo wajane wa marehemu embu amkeni bwana this irritating…..

  Otherwise BongoCelebrity mi naamini mnafanya kazi kutokana na upatikanaji wa watu husika though mnajali mawazo ya watembeleaji wa site yenu n’ i appreciate for the efforts ya guys are doing to make it happen …Best wishes Y’all

  Pamoja.

 15. someone Says:

  Mrisho. linda put a nice comment for you but where she said you look like richard, i think you look more like her younest bro. louis
  i was suffering her hi5 and saw louis you go see and compare i think im right, i also so louis on the bb web; wemone, love him like crazy! according to the comments.
  they love you too

 16. maya65 Says:

  lakini watu bwana we acha tu
  ohh mwisho kafika mwisho, ohh mwisho kachacha ,ohh mwisho siku hizi anauza genge morogoro nk….
  mimi sioni mantiki ya kukufuata fuata, haya yote ni maisha off course kuna kupanda na kushuka na sisi binadamu inabidi tulidhike na hilo….lakini hata hivyo nakufagilia sana mwisho pamoja na hayo yote yanayosemwa wewe ulikaa kimya na kutowajibu hao wajinga wote….big up and struggle for your better life bro….
  ni mimi bro wako tom ( wa HK nafikiri unanikumbuka)

 17. Chiki Says:

  Dinah unaboa shosty punguza kiherehere

 18. Dinah Says:

  🙂 🙂 hivi mimi ni cerebrity jamani? Mbona kila mtu ni Dinah…..Dinah. Sikia, I write what I want, when I want, where I want and how I want. I don’t need to please anyone.

  Every woman is “shaped” differently in the head 4 a reason. No two people are supposed to think the same……Leave me alone and save the trees.

 19. XX Says:

  Dinah the thing is u tok a lot of crap n u think u know so much u dont know NOTHING ma`a, so jus shutup n lay back! au ukitoa comments zako usitoe as if wewe ndo unajua au unacontrol watu wafanye unavotaka ya heard?

 20. Precious Says:

  It’s true, Dinah umezidiiiiiiiiiiii. U are nothing rather than hopeless woman, so let other people comment on people whom they know. Kama wewe humjui Mwisho Mwampamba,kaa chonjo.

 21. robza171 Says:

  Richard is in the Top 3. Let’s hope he takes the money home to Tanzania. After what happened in the house yesterday, I’m not sure that it’s going to be an easy journey to the end for him. For more on yesterday’s events, see: http://bbafrica2.wordpress.com/2007/10/27/it-all-started-with-a-little-fishing/

 22. say Says:

  Dinah nina hamu sana ya kuona sura yako.
  Tafadhari wazee wa BC namuomba Dinah kabda ya Mwampamba

 23. julie Says:

  TANZANIANS ……DO NOT JUDGE SOMETHING YOU HAVE NEVER DONE ….. PLEASE BE PROUD OF RICHARD AND MWISHO …. THEY ARE HUMAN BEINGS…NOW TANZANIAN IS KNOWN BECAUSE OF HIM ….ZANZIBAR .. YOUR POLITICAL SYSTEM ALL THROUGH ENTERTAINMENT … NO BODY IS PERFECT ….. STOP BEING JELOUSY ….. RICHARD MOVE ON AND REMAIN FOCUSED,,,,, GIVE OUR LOVE TO YOUR WIFE ….AND ALSO DON’T FORGET TATIANA ….JULIE NAM

 24. salshah Says:

  huyo dina inawezekana alishapitiwa na mwisho tena ni zile za one nite stand sasa anamchukia mwisho alafu mi nadhani ni kale kaliko kwenye bolg ta shamimi a.k.a zeze kako kapo kana force sana kujilikana nae kANA JIFANYA KA DADA KA MJINI NI VILE VINAVYOPENDA KUJULIKANA dinnah umezidi na wala si humu tu namuona anapenda kukosoa watu wengi sana inabore kwani huwezi kuchunia itu alafu ni mmbea kisheni ..unabore mshikaji

 25. caroline Says:

  Mh! washikaji naona mnarap sana,minaona wote mnamakosa,kila mtu hawezi kumkosoa mwenzake jamani,kwani hapa naona kila mtu anajiona yuko perfect wakati wote mnamakasoro! CHANAFUU HAPA NI KILA MTU KUANGALIA BIASHARA ZAKE,na huu ndio huuungwana na ustarabu.

 26. hope Says:

  Hi big hunk u are the bomb your shows and your acting drive mi insane congratulations.

 27. angeline Says:

  mwisho mwenyewe kama kaka wangu. 2na heshimiana sana na 2naonana mara kwa mara………..karibia watu wote wana mweshim sana kisa alikaribia kushinda b.b.a,,,,,,,,,,,,,,mm mwenyewe ninampenda sana na ninaomba arudi morogoro kuja ku2salimia…. love u!!!!!!!!!


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s