BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

SANAA BAGAMOYO October, 22, 2007

Filed under: Burudani,Sanaa/Maonyesho,Tamasha,Utamaduni — bongocelebrity @ 3:20 PM

 

Tamasha la Sanaa na Utamaduni linalofanyika chini ya uaandaaji na usimamizi wa Chuo Cha Sanaa Bagamoyo kila mwaka ni mojawapo ya matukio muhimu sana kwa wapenzi wa sanaa na utamaduni. Mwaka huu ni mwaka wa 26 tangu kuanzishwa kwa Tamasha hilo. Mwaka huu limepewa kauli mbiu “Sanaa Katika Kukuza Uchumi na Kuondoa Umasikini” na limeanza leo 22 Octoba 2007 na litaendelea mpaka tarehe 27 Octoba 2007 litakapofungwa rasmi.

 

Raisi Jakaya Kikwete alipokuwa akipiga ngoma kuashiria kulifungua rasmi tamasha kama hili la wiki hii mwaka jana.

Mojawapo kati ya vikundi ambavyo vinatarajiwa kutia fora huko Bagamoyo ni kile cha Kiota Arts ambacho ni maarufu zaidi kama “Maudhi.com”. Kwa ratiba kamili ya tamasha la mwaka huu bonyeza hapa. Picha na habari zaidi kutoka kwenye tamasha zitaendelea kuwajieni.

Advertisements
 

One Response to “SANAA BAGAMOYO”

  1. vuai Says:

    habari, ni mwanenu vuai ambae nilikua apoapo shada sarakasi bagamo na nikijalibukutafuta siipati kwanii.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s