BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

JOKATE MWEGELO October, 23, 2007

Filed under: Fashion,Miss Tanzania,Photography/Picha,Urembo — bongocelebrity @ 12:04 AM

 

Jokate Mwegelo (pichani) ni miongoni mwa vijana wa kitanzania walio maarufu na pia waliotunukiwa vipaji mbalimbali. Jokate ndiye alikuwa mrembo namba 2 wakati wa mashindano ya kumsaka mrembo wa Tanzania(Miss Tanzania) mwaka 2006. Alishiriki mashindano hayo akitokea Temeke. Jokate pia ni mwanamitindo,msimamizi wa shughuli mbalimbali. Wakati wa mashindano hayo ya urembo mwaka 2006 yeye ndio alichaguliwa kuwa mrembo anayevutia zaidi mbele ya kamera (Miss Photogenic).Baadaye alikuwa balozi wa kinywaji cha Redds taji ambalo amepewa sifa za kulitumikia vyema mpaka alipolivua mapema mwaka huu. Jokate pia ni mtengenezaji mzuri wa matangazo ya radio kwa kutumia sauti yake.

Advertisements
 

39 Responses to “JOKATE MWEGELO”

 1. beutness Says:

  Namkubali sana huyu binti, kwanza hana kashfa yoyote na alistahili kuwa Miss Tz Na.1. Fanya naye mahojiano utufurahishe washabiki wake.

 2. jaime Says:

  mbona hujamwonyesha mpaka chini? nataka nione alivyopendeza mpaka chini

 3. speed Says:

  huyu mwanadada siyo siri jamani…she is real nice,talented na nilichogundua kingine hapendi makuu.she is a role model who we r really need in our country for our own progress,kweli redds hamkufanya makosa.

  kweli jaime ebu tuonyesheni picha nzima

  i admire her a lot,keep it up dada.

 4. babu Says:

  i like her beauty spot on her face. all in all she is beauty and intellectual with no scandals.
  Keep it up baby.

 5. Komba.H Says:

  Namkubali angewezekana kurudia mashindano ya Umiss angelikuwa Miss Tanzania namba moja kwani anakila sababu awe miss.

 6. Dinah Says:

  Kazuri kweli alafu inaelekea kanatabia njema na kametulia (Kutona na muonekano wa pic hiyo)

  Kila lililojema katika shughuli zako.

  Bc mahojiano yake tafadhali 🙂

 7. Colin Says:

  she is beutiful,we wud like her conversation pls!

 8. kibaka Says:

  anapendeza mwa, mwa mwaaaaaaaaaaah

 9. Big Willy Says:

  She is so cute! thats all I can say 4 now

 10. Happy Says:

  I cant hide anything Jokate for me your a sexiest lady I admire a lot.And what else I notice is you have confidence.Keep it up mumy.

 11. Don Corleone Says:

  Interview please 😀

 12. Kimori Says:

  I think Albert Einstein’s theory of relativity may be applicable as regard to her beauty….I don’t have any censure and I am not ignominious either!

 13. Pope Pius Says:

  SHE DESERVE THE BEST,

 14. RIZ Says:

  Kwa kweli ni mzuri na anaonekana ni msikivu.

 15. Edwin Ndaki Says:

  Joketi nilivutiwa na jinsi tabia yako mbele ya jamii kwa kipindi ulipokuwa balozi wa Redds.

  Kila la kheri mafanikio mema dada.

  Mfano mzuri wa kuigwa nakupa fagio la chuma.

  Inabidi nikuchagulie ka ngoma dadaa kakuburudishe..kutoka kwa KAKA MAN…Kama noma na iwe noma..

  Adios

 16. TanzanianDream Says:

  Duuh kweli ukipenda boga na maua utayapenda hata kama Sumu hivi Sura inaweza onesha utulivu wa mtu mbona watz sasa mnashangaza kama sio kusikitisha???

  Nway I would say labda ana akili ila ni binadamu kama wengine maana naona aanza kupewa sifa za marehemu….

 17. Don Corleone Says:

  “I think Albert Einstein’s theory of relativity may be applicable as regard to her beauty….I don’t have any censure and I am not ignominious either!”

  When did it become hard to simply state “GOT DAMN SHE FINE!”

 18. Matty Says:

  Jokate your real beautiful…keep it up and stay in good behaviour as you are!!!

 19. Happy Says:

  She deserve the best so you Tanzaniandream whatever your name is stop being selfish!!yes she is a human being but human being are differ as you differ compared to other people who comments.What is your plan do you wanna be so popular in this blog??????ooooh come on stop it!!!!

 20. Yassie Says:

  She i cute!! ningekuwa dume ningetangaza ndoa……….!!!mniwie radhi wajameni ni hisia tu.

 21. TanzanianDream Says:

  Happy popularity ni nini kwako kama hakuna pesa????nadhani umepata jibu tayari…I just comment just like any other visitor ukianza kuhate on comments i’ll ask why umejibu kama hutaki kunipa popularity…

  By the way i’m the history in making kwahiyo Popularity doesnt count now,give a boy 10 yrs n’ u’ll feel the Fame…U feel me?????

 22. ANNA GABRIEL Says:

  Big up Jokate!!!!!!!!!
  She is very cute and discpline lady.Keep it up.Take care.

 23. pilly puya Says:

  kweli mdada unapendeza sana na nakupa big up mis reds huna kashfa yyte ile ulistahili kuwa miss tz

 24. Big sam Says:

  U’re the best sisy Jo! keep it up

 25. Matilda Says:

  yap upo cool,Ingawaje unaonekana ni mbishi sana.

 26. She is more than beutiful. She is BB. (Brilliant Beauty)

 27. Rashid Says:

  Nasema hivi, yaana hajatokea kama Jokate ,nimzuri, mcheshi , mchangamfu, ana hana kashfa .mungu akuzidishie kila kitu bora , uzima , bahati na maishabora yenye upendo.

 28. MAMUU Says:

  u are cute,i do appriciate bt pliz sister kip in tach in ur studies most.urembo upo bt elimu pia ni muhimu.cheers……………..

 29. mtapala mwenze Says:

  jo u really are cute… i am sure men around you are panting like dogs when they look at u.. ur beauty will take u places on earth..but mind u, its not the beauty thats gonna take u to heaven.. PROVERBS 31:31 is ma msg to u seester!! fear God

 30. mtapala mwenze Says:

  and you got brains jo, pls dont put mud on ur good status by putting urself into funny shows, music videos, magazines… u know wat i mran.. u got wat it takes to be condoleza rice not ray c

 31. halyma Says:

  gudness Jokate rocks, 4sho i rily admire ha!!!

 32. rose mdenye Says:

  ni mrembo na hapendi makuu hapendi kujipandisha na yupo simple wote wangefuata mfano wake wasingepata aibu

 33. tomson magoti Says:

  ua 2 hooootie, much luv keep it up i wsh my girls could be like you

 34. anna Says:

  SHE IS REALY CUTE.NIMEKUBALI

 35. gislar D. C. Says:

  mh!! she is ooh!! realy cute

 36. hanny Says:

  DADA HUYU NI MZURI SANA TENA SANA

 37. jes Says:

  i just wanna ask you a certain question.I am still a student in form I.At our school we do learn Needlework and i really like designing and infact i have designed some clothes but for sure i really fail and i cant do some of the practicals. SO what advice are you giving me?Is it very bad or?

 38. Jessen Says:

  You look so beautiful ma sisy moreover you gotta no scandals, i like it and keep it up.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s