BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

KITANGOMA October, 23, 2007

Filed under: Burudani,Majarida/Magazeti,Miss Tanzania,Urembo — bongocelebrity @ 12:36 PM

 

Jarida maarufu la Kitangoma kwa mwezi wa Oktoba-Novemba limeshaingia mitaani. Richa Adhia , Miss Tanzania 2007 ndiye anayepamba ukurasa wa mbele huku swali likiwa kama linavyoonekana hapo juu.

Advertisements
 

25 Responses to “KITANGOMA”

 1. Pope Pius Says:

  “Mhhh…. mmechokoza tena watu haya yangu masikio na macho…”

 2. Edwin Ndaki Says:

  Duuu..kweli choko mchoke pweza..mwadamu hutomuweza.

  Jarida linaoneka zuri..Safi sana wamiliki wa ilo gazeti.
  Wengine zamani tulikuwa tunasubiri baada ya miezi kadhaa tununue magazeti ya sana tusome stori za kina ZUMO,CHINO.LINDA,OBI…

  Lina mvuto ka ze Ebony lol

  Kazi nzuri kila la kheri wajasiriamali

 3. Hili jarida zuri sana.Ukianza na picha ya dada mzuri wa tz.

  Liko Mtandaoni?

 4. kolo Says:

  Da Dinah vp mbona kimya? wasikutishe bwana wewe mwaga comments tu usiwajali.

 5. TanzanianDream Says:

  Eti DAda mzuri wa Kitanzania mbona tunasahau ni dada wa kihindi huyo?….Bora wangemuweka Aishwarya Rai tu hapo lingependeza kuliko kuweka hiyo pua imepinda utadhani ……Sina cha kuandika zaidi hapa ….

 6. Nana Says:

  Wapewape vidonge vyao TZDREAM mimi niko na wewe Tu.

 7. Dinah Says:

  nilikuwa sijaiona hii Kolo 🙂

  Hello na OK ya bongo Sio? Poa endelezeni tu utabloidi na kila la kheri ktk utendaji wenu wa kazi.

 8. Pope Pius Says:

  Hivi akishinda mtasemaje, si mtanzania ama?

 9. TanzanianDream Says:

  Ndio

 10. Big Willy Says:

  Tanznania dream acha hizo nakuuliza hivi kama wewe ni mwanaume akikupa **** utakataa eti si mtanzania? kuna mambo mengi tu ya kuhoji katika nchi hii nenda kaanzie bungeni basi nikuone kama wewe kweli ni tanzania dream.
  Acha kuchonga ngenga tuliza kipago!

 11. speed Says:

  ni mtanzania ndiyo ila hana asili ya Utanzania…ni makosa akituwakilisha,sababu hafanani na uhalisia wa mtanzania/muafrica

  akishinda poa,ila sidhani kama wengi wenye akili timamu watajivunia,watakaojivunia hapa ni wahindi zaidi…mbaya zaidi nafasi za juu akipata mhindi mwingine wa hukohuko India…nadhani wahindi watajiviunia zaidi.

  ameadopt utanzania,ila siyo mtanzania Halisia,mkubali mkatae.

  na mkubali makosa yalifanyika toka mwanzoni na uhakika yalionekana sema as long as mratibu wa haya mashindano alikuwa muhindi,basi let her go.

 12. Pope Pius Says:

  Angalia katiba yako inasemaje kuhusu Raia tena ukiangalia unaweza hata kukuta wewe sio Raia vile vile, nyie mnaowazaa watoto wenu huku nje so nao sio Raia?
  Mi nafikiri sisi ni wabaguzi namba moja!! acheni hizo bwana…. Big Willy Big Upooo?

 13. TanzanianDream Says:

  Duuh Ebana kweli watu tofauti na mawazo tofauti hivi kugawiwa kwani inachagua uraia???embu tuwe relevant katiba hata isemeje lkn ukweli unabaki pale pale kuwa huyo sio Mtz halisi ukipenda penda ukinuna nuna ukweli haufutiki…

  Akishinda kwa kweli sitaona tofauti yeyote na ushindi ukienda India ni vile tu ntachukia wahindi wataanza kusema wametuwakilisha kwahiyo ni kero juu ya kero

 14. Sultan Says:

  Ukweli unauma na ningependa kuhoji ubaguzi wa rangi na kabila umeanza awamu ya ngapi? kwani katiba ya nchi imechenji? serekali inajitahidi kuongeza mashule ili tupate elimu acheni majungu tujenge Taifa. RICHA MISS TANZANIA HALALI ASIOPENDA AVAE BIKIN 2008.

 15. TanzanianDream Says:

  Sultan hivi ni kweli huo ndo uwezo wako pekee wa kufikiri???

 16. Nerra Says:

  Ukweli ni kwamba huyu dada ni mtanzania sawa hatukatai lakini katiba si imetungwa na binadamu? Ukweli ni kwamba pamoja wote tunaelewa kuwa hata mzungu anaweza kuwa mtanzania lakini jamani inapofika wakati wa uwakilishi kimataifa ni vyema tukajitahidi kumpeleka mwenye asili ya kitanzania halisi kwa kila kitu ili tujitangaze vizuri, hii ni kuonyesha watu weusi bado hatuna vigezo wakati warembo wenye asili yetu na wenye vigezo wamejaa! Sibagui na wala sichagui lakini tuangalie uwakilishi kimataifa hasa kiundani………haaa ukweli nawapenda mataifa yote lakini kutuwakilisha huyu dada sija mind!!!??

 17. Sultan Says:

  Kuhusu swala uwakilishi halina Rangi,Kabila na Asili. kwa hiyo basi tuondoe chuki,ubaguzi na tuitangaze Tanzania kwa sifa zake. Amani,Utulivu Upendo na raia zake wema,utajiri na vivutio vyake vingi.tuyakubali matokeo na tuondoe ubaguzi tumuunge mkono aitangaze Tanzania kwa sifa zake. safari ni ndefu kwani wapo walio mtangulia na wameitangaza Tanzania kwa nia njema. MUNGU IBARIKI TANZANIA, TANZANIA NA WATU WAKE. KILA LA KHERI RICHA ADHIA

 18. Nerra Says:

  Sawa bwana Sultan wacha akawakilishe huyu dada na akatangaze nchi yetu kwa vivutio na tutampa na tambuu apate nguvu ya kutuwakilisha! Big hug Miss Tanzania!

 19. debra Says:

  Yaani jamani wengine si mkoje??mi nashangaa sana yaani mmemchokoa weee bado tuuu mwaendelea.
  Haya mbona babu yake RICHA alivyogundua TANZANITE watanzania wooote mnatembea kifua na nanilii mbele eti hili ni jiwe letu??Every Tanzanian leo hii ni proud kwa kusema TANZANITE NI YETU!!kwani alishindwa kuruka bara aakenda kwao akasema yake??nauliza alishindwa??Acheni sizitaki mbichi hizi.Kama tuna uwezo wa kujivunia TANZANITE NI YETU NA PIA TUNAWEZA KUJIVUNIA RICHA NI WETU
  RICHA GO GAL.Unaweza na amini utaweza.kila la heri mdogoangu.PamoJAH

 20. colin Says:

  Guys mmesema sana kuhusu huyo mwanadada! last time sikupata muda wa kuchangia.Leo nimeona nitoe japo kidogo nilichonancho kuhusu mchakato halisi wa maoni mbalimbali.
  Kuna kitu kinaitwa uzalendo ,kuwa mzalendo si tu kuwa mzawa wa sehemu ile na kuiheshimu laa hasha!.
  Siku ya miss tanzania vodacom nilikuwepo pale leaders,kila mtu alikuwa na maono yake kulikuwa na warembo lukuki,kwa haraka haraka sikumuweka hata katika kumi bora ,Ilikuwa ni suprise kwangu na kila mtu (kuna mkono wa mtu ulitembea “mshikoo”).Watu wameshaongea tuache racism kwamba yeye ni mzalendo kama mtanzania mwingine.Uzalendo ni kuongea kiswahili fasaha?uzalendo ni kuwa tu mzawa wa pale?.Marekani wameshawahi kuwakilishwa na mweusi ni nchi zingine lukuki.ukweli ni kwamba ,wale wanaowakilisha hizo nchi ni tofauti kabisa na sisi.Hawa wahindi wanaishi kwenye comunnity yao hawana hata chembe ya uzalendo.Mzalendo ni anayeheshimu mila na utamaduni wake sio tu uzawa na uraia.Ni sawa na nchi kama burundi atoke miss burundi mzungu!at doesnt make sense..ndio tutasema ni uwakilishi lakini uwakilisshi unakuwaga na mipaka flani,Atavaa vazi la kitanzania lipi sasa.Saree ndo itampendeza na mwanamitindo mwenyewe muhindi,wabongo tupo wapi jamaaniii!..hela zilitembezwa na mshua wake mpaka noma.

 21. mimi08 Says:

  Kaka Colin, i agree with you to 200%… wewe hii issue umeielewa vizuri mno…

  mimi nishindwa kuelewa kwanini watu hawaelewi a point of view kama ya kwako (na ya kwangu of course).

  Hata kama mhindi aligundua madini ect WAHINDI JAMANI SIO WAZALENDO hivi watu mbona hataki kuelewa? They leave in close community na mtoto wao akitaka koa mswahili (ngozi nyeusi) eti community inafukuza na hapati misaada yoyote kama vile pesa za kuanzisha business ect je mnajua hilo nyie mno watetea wahindi??

  Jamani angalieni watanzania (weusi) wanaofanyakazi kwa wahindi ..mshahara mdogo manyanyaso kibao, masaa ya kufanya kazi kibao…chakula wanapewa makombo ya wahindi can you imagine? Hali yao mara nyingi ni ya dhiki sana…

  mimi binafsi sidhani kama wahindi ni wazalendo i am sorry and i beg to differ na nyie hapo juu..

  vile vile siku huyu dada hapo juu alivyochaguliwa kuwa Miss Tanzania nilikuwepo leaders and watu wengi walikuwa wanasema eti Miss ya mwaka 2007 ilikuwa imenunuliwa na wahindi how disgusting…. can you imagine?

  Ila what i liked most ni kwamba huyu Richa alivyoenda huko Miss World she did worst then other miss Tanzania wa kabla yake.. yaani mimi na wazawa wengine tulifurahi mno, because wahindi walidhani wakipeleka mhindi eti atanya vizuri kupita mtanzania (mweusi) …..

 22. mimi08 Says:

  We debra wewe ni mhindi nini mbona unamtetea sana huyo dada, kama wewe ni mzawa kama sisi just see around you then you will know the true india mdogo wangu….angalia tu wahindi wanavyonyanyasa wazawa..tunakuwa kama hatupo nchini kwetu bwana..

 23. nja9 Says:

  yaani huyu Richa kusuka nyele ndio anaona kawa mzawa au…??§§§6

 24. Lukamba Says:

  UZALENDO UZALENDO!!!wabongo lazima tujue nini maana ya uzalendo,ni kweli wahindi wanaishi kwenye dunia yao hapa bongo,mzalendo ni mtu anayeheshimu na kuthamini mila na desturi zake, niambie kama uliwahi ona muhindi anayethamini mila na desturi za kitanzania ????
  Wahindi wote wanathamini mila zao tu,ingawa wanaishi bongo,Hakuna muhindi anayethamini utamaduni wa kitanzania,HAKUNA !!! Suala la kuwakilisha nchi ni nyeti sana,lazima watu wawe makini katika uteuzi,Mi mzalendo wa kweli,sina mpango na GABACHOLI

 25. ima Says:

  wewe Tz dream,ebu tuone pua yako..labda imepinda zaidi kuliko ya richa…hater!!


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s