BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

RAS JHIKOMAN October, 25, 2007

Filed under: Burudani,Muziki — bongocelebrity @ 12:04 AM

Kwa wapenzi wa muziki wa miondoko ya Reggae nchini Tanzania jina la Ras Jhikoman au Jhiko Manyika sio geni masikioni. Tangu mwaka 1994 Ras Jhikoman amekuwa akipiga aina hiyo ya muziki. Na kama walivyo wasanii wengi wa muziki wa aina hiyo, Jhikoman katika muziki wake huongelea zaidi masuala ya kijamii hususani kwa wanaoonewa na haki za binadamu.

 

Mpaka hivi sasa ameshafanya ziara kadhaa za kimuziki barani Afrika na Ulaya.Jhikoman ni mmoja kati ya wasanii wanaotumbuiza katika Tamasha la Sanaa na Utamaduni linaloendelea mjini Bagamoyo. Kwa habari zaidi kumhusu Ras Jhikoman unaweza tembelea tovuti yake kwa kubonyeza hapa.

Picha kwa hisani ya Maggid Mjengwa.

Advertisements
 

5 Responses to “RAS JHIKOMAN”

 1. EDWIN NDAKI Says:

  Ras JHIKO MANYIKA ukipenda muite JHIKOMAN.

  Ama hakika huyo kaka namkubali sana binafsi kati ya wapiga reggae ambao wanaipeperusha vema bendera yatu.

  Jhikoman ni miongoni mwana manabiii wasiipewa haki yao kwao ila wanakubalika zaidi ugenini hasa nje ya nchi.

  Mwezi wa saba nilishuhudia moja show yake katika jiji la Tampere Finland kwenye Africa Festival..akika kaka huyu alipagawisha sana watu.

  Nakumbuka moja kati ya wimbo wake ambao alikuja kurekodia huku Finland..wimbo unaitwa KUAGANA..hakika kuna bonge la ujumbe…

  Respect Ras Jhikoman..Nakutakia kila jema katika kazi yako..

  Tupo pamoja.Tununue kazi za wasanii wetu tukuze sanaa yetu.

  Safi sana BC

  pamoJAH

 2. Ishi Says:

  Kazi za Jhikomana zina muelekezo wa kimataifa,nakubali kabisa anakubalika sana kazi zake nje ya Nchi,bila shaka kuna watu wengi wanazikubali kazi zake Tanzania pia na Afrika mashariki kwa ujumla.Kuna umuhimu muziki wa Reggae kupewa kipaumbele nyumbani.Jhikoman namuona ni msanii wa KiTanzania atakayefika mbali sana.Kila la kheri Jhikoman katika muziki wako.

 3. steve Says:

  Yeah!kazi nzuri jhiko man.just keep on moving.
  kwa mwenye bar walevi ni watu muhimu!! neva mind little air play…!! fm station owners….vampires!!

 4. DUNDA GALDEN Says:

  OYA BIG UP JHIKO MAN NAIKUMBUKA ILE BINT ALI NAKUTUMA PITA MLANGO WA NYUMMA UKANIITIE FATUMA HAHAHAH
  POA SANA MAN ENDELEZA KIPAJI KAKA
  BIG BC IN AUSTRALIA Na CHAFOSA CHAI GODA

 5. William Sanare Says:

  Maximum respect, God bless!


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s