BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

FAKE PASTORS October, 28, 2007

Filed under: Filamu/Movie,Sinema — bongocelebrity @ 1:00 PM

 

Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu hatimaye filamu ya Fake Pastors sasa inaingia mitaani. Kabla hata ya kutoka rasmi filamu hii tayari ilishakuwa gumzo mitaani kutokana na simulizi (hadithi) yenyewe ambayo kwa namna moja au nyingine imegubikwa katika jina la filamu yenyewe.Pichani juu ni cover ya filamu hiyo.

Kuanzia kesho jumatatu DVD’s na VHS’s za filamu hiyo zinapatikana madukani kote nchini Tanzania kwa bei ya Tshs 5,000(rejareja) na Tshs 3,500 kwa bei ya jumla.Filamu hii ni ya takribani masaa mawili na ina subtitles za kiingereza mahususi kabisa kwa wale wasiofahamu Kiswahili ambayo ndio lugha kuu iliyotumika. Wahi kuitazama na kisha utupe mapitio (review) yako.

Advertisements
 

One Response to “FAKE PASTORS”

 1. EDWIN NDAKI Says:

  Kwanza pongezi kwa kufanikisha kutoa filamu hiyo ya “Fake Pastor”.

  Mi nimpenzi sana wa filamuu za nyumbani tangu miaka hiyoo.Lakini kwa leo nina MTAZAMO wangu BINAFSI.

  JINA LA FILAMU.
  Binafsi sijavutiwa na kitendo cha jina la filamu kuandikwa katika lugha ya malki”kizungu” bila kutupatia tafsiri katika lugha yetu ya kiswahili.Hii itaathiri ata mauzo wasipokuwa makini.Maana baazi yetu sisi chinga wauza kanda kumwambie bibi katoka kule Gezaulole au kimbiji,kishimundu au Namtumbo **Feki pasta** haki ujumbe utakuwa ngumu sana kufika.ILA KAMA ILITENGENEZWA KWA AJILI YA DARAJA FULANI LA WATU KWENYE JAMII BASI HAPO HAKUNA TATIZO ENDELEENI KUTUBAGUA.

  JARADA LA FILAMU.
  Labda ni macho yangu au ndio ushamba maana huku kwetu MAJITA,BWAI hata kama ndio vijana wenye mvuto lakini duu ilo jicho la Ray na mwenzake naona kama wameyaregeza sana..sina uhakika kwa ilo nitasubiri maoni ya wadau.

  TUUNGE MKONO KAZI ZETU.
  Mwisho itakuwa vema kuunga mkono kazi za wasanii wa ndani kwa kununua kazi zao.Na wasanii nao mtupe moyo wa kununu kazi zetu kwa kuzifanya ziendane na mazingira ya kwetu..

  Tupo pamoja USA(hollywood)TANZANIA(Tanwood)utani..


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s