BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

WATANGAZAJI MBALIMBALI October, 30, 2007

Filed under: Burudani,Television,Watangazaji — bongocelebrity @ 12:03 AM

 

Tofauti moja kubwa kati ya watangazaji wa kwenye luninga na wale wa redioni ni kwamba wale wa luninga huwa tunapata bahati ya kuwaona mara kwa mara,wengine hata kila siku kupitia kwenye luninga. Wale wa redioni mara nyingi huwa tunaishia kuzisikia tu sauti zao na hivyo kubaki tukihisia tu juu ya muonekano wao.Ikitokea tukawaona ana kwa ana au kupitia picha basi huwa ni jambo jema.Mfano mzuri ni huu katika picha hii.

Kutoka kushoto kwenda kulia ni Violet Mzindakaya maarufu kama Sister V, mtangazaji wa kipindi cha taarabu kutoka Radio Uhuru ambacho kinarushwa kuanzia saa sita mpaka saa nane mchana kila siku.

Anayemfuatia ni Sauda Mwilima mtangazaji wa kipindi cha Bongo Beats ambacho hurushwa kuanzia saa moja na nusu mpaka saa mbili usiku na pia kipindi cha mcheza kwao kinachorushwa kila jumapili. Vipindi vyote hivi ni kupitia kituo cha televisheni cha Star TV chenye makao yake makuu jijini Mwanza.

Wa tatu ni Maimatha Jesse mtangazaji wa kipindi cha Afro Beat akishirikiana na Ben Kinyaiya (hayupo pichani) ambacho hurushwa kila siku ya Jumamosi kuanzia saa moja mpaka tatu usiku kupitia televisheni ya East Africa TV maarufu kama Chanel 5.

Wa mwisho kulia ni Mussa Hussein, mtangazaji wa radio ya East Africa FM ambaye kipindi chake kinarushwa kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saa saba mchana.

Picha kwa hisani ya Ahmad Michuzi.

Advertisements
 

26 Responses to “WATANGAZAJI MBALIMBALI”

 1. Chiki Says:

  Naomba kuuliza, hii ilikuwa harusi au sherehe gani?

 2. Nerra Says:

  Mmependeza but Maimatha punguza make up, weka light kidogo utakua bomba sana, otherwise you all look mmmwaaaa.

 3. EDWIN NDAKI Says:

  BC naona maelezo ya hao wakina dada mmeyatoa kwa kina.Lakini huyo kijana Musa Hussein naona HAMKUMTENDEA haki maana mmetoa ufafanuzu kiduchu sana..Lugha ya kitaa tunasema mmembania…lakini siwezi kujua labda mnalinda interest zenu au kuna personal conflict kati ya BC na mshakaji.

  Any way ngoja mi niweke mambo hadharani.Huyo MUSA pia nakumbuka anakipindi bomba sana kuliko vya hao wote maana kina jitahidi kutuonyesha maisha halisi ya sisi watu wa kima cha chini.Jina la kipindi kinaitwa USWAZI..
  Kinarushwa na kituo cha runinga cha East Africa Television.Niko huku kimanzichana hivyo sina kumbukumbu hasa ni lini na saa ngapi..

  Ni hayo tu USWAZIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII

 4. Dinah Says:

  Nionavyo mimi….
  Vaa korokoro kubwa shingoni ikiwa nguo haina mikono(kama huyo dada wa kwanza) na utapendeza…..ikiwa inamikono basi ni vema kuvaa kitu “simple” (kama huyo dada wa kwanza kushoto)…Sauda na Maimatha.

  Alafu matiti yakiwa sio msimamo ni vema kuvalia sidilia…….mtangazaji wa TV naamini unaweza kumudu kununua sidiria maalumu kwa ajili ya vazi lisilo na mikono…Violet

  Vinginevyo kila lililojema ktk shughuli zenu.

 5. Pope Pius Says:

  Poa sana mmependeza ila Maimatha make nyingi ni dalili za kutojiamini na uzuri wako, ulikuwaga bomba sana ulivyokuwa zamani sasa hivi mama yangu duuuh.. haya bwana..

 6. kinono Says:

  Wote mmependeza sana watangazaji lakini Maimatha hiyo make up ilikuaje jamani mbona ina tutisha sana jaribu kuipunguza uta pendeza zaidi.

 7. Mr Tom Says:

  Naungana na wadau kuwapongeza watanzaji hawa wa kike na walivyochomoka.Hakika wanapendeza.Huyu bibie Maimatha kwa kweli kabla ya kusoma habari yenyewe iliniwia ngumu sana kumtambua.Nilihisi labda ni mtangazaji kutoka falme za kiarabu.Anyway,naamini mwenyewe ana uhakiha na anachokifanya na bila shaka ana wadau wengi tu wanapendezwa naye na kumsifia na ndio maana anajiweka hivyo ili kuwafurahisha wapenzi wake.Yote heri tu.Na kwa faida ya wadau wengine ni kwamba huyu mtangazaji wa kwanza “Vaileth” ameolewa na Bwana Edward Mpogolo ambaye ni mtumishi wa CCM makao makuu.Namfahamu sana.Sasa BC kuendelea kumtabulisha kwa jina la Vaileth Mzindakaya sidhani kama ni sahihi maana hilo lilikuwa ni jina la usichana wake.Na zaidi sana nadhani ni kutomtendea haki mumewe.Kwa hiyo kama ilivyo desturi ni muhimu mkamtabulisha kama Vaileth Mpogolo.Na kama kuna haja kuweka jina Mzindakaya, basi ni muhimu mmalizie na jina la mumewe.Yaani aitwe Vaileth Mzindakaya Mpogolo. Ni hayo tu kwa leo!

 8. Nerra Says:

  Asante Tom kwa kutujulisha kua Vailet ameolewa kwn tulikua hatufahamu. Sasa Vailet, sijawahi kukuona zamani lakini mwonekano wako ulikuwa bomba sana hapo mwanzo naomba punguza tumbo ili utengeneze shape hizo style ya nguo uliyovaa itakupenndeza sana kwani sasa hivi haupendezi kwn una tumbo na shape imeharibika otherwise vaa bubuu mpaka upate kiuno ndio uvae hizo nguo, pole ila ni ushauri kwa faida yako na huyo Mpogolo!

 9. Kimono Says:

  Kuhusu Maimatha…hiyo siyo poa wala make-up babu we…nasikia anasumbuliwa na ule ugonjwa wa Mikaeli Jakoson aka Wacko Jako, yaani anababuka tu bila kupenda!

 10. Kimono Says:

  Kuhusu Maimatha…hiyo siyo poda wala make-up babu we…nasikia anasumbuliwa na ule ugonjwa wa Mikaeli Jakoson aka Wacko Jako, yaani anababuka tu bila kupenda!

 11. Kimono Says:

  Kuhusu Maimatha…hiyo siyo poda wala make-up babu we…nasikia anasumbuliwa na ule ugonjwa wa Mikaeli Jakoson aka Wacko Jako, yaani anababuka tu bila kupenda! Haya mwaya, ndivyo hivyo tena waafrika na asilia yetu…whyyy? Hatari! Endeleaaaa

 12. massdui Says:

  huyo maimatha wa jesse anatisha mtu wangu weupe au …. siyo ishu mimi namjua tuliskuli wote ni maji ya kunde.ninavyomuona du!!!!!!!! ajirudishe vile alivyo mbona alikuwa booooooooomba kinoma!!!!!!!!!!

 13. msemo msemo Says:

  Nakupa hongera (Dada wa kwanza)Mrs Mpogolo kwa kujua sifa mimi nilitaka kukuaproch kwa uzuri wako halisi,kwani wadau wamekutambua vilivyo usitumie Violet Mzindakaya.wewe ni mrs au wamekuaribia.ukweli uko bomba.Dada wa pili ni mzuri lakini unajiachia sana tabasamu au funga domo lako hupendezi,hata wakati wa kutangaza weka maneno sawa silo Rais unasema Lais( huu ni mfano sio maneno ya kweli haya ulisema mengi kama haya) Kama umeolewa tuambie sio kubana na kama umeenda kidato buni basi mipango yako ya kazi kwa kuboresha kipindi chako uwe mtulivu unapokuwa recording (unautulivu 0 pasenti) Wewe Dada wa pili kwanini unajichubua sana kuwa muangalifu kwani unajiharibia wewe ni bomba kama mdau wa kwanza alivyosema wewe ni maji ya kunde kweli unaonekana kweli ulikuwa hivyo Badilika .je umeolewa au?. Oyaaa Mtu wanzu kamua kinoma kwa kipindi chako bomba basi tembelea na kwetu Keko juu au hata kwa ndugu zetu jirani kambi ya polisi Kilwa road ujionee mambo kwani sisi wa keko juu maisha ndo hivyo.mwanangu mapozi yametulia mzeee kaza butiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!! kipindi boooooooooooombaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!11111

 14. kissa Kim Says:

  Dah!huyo Maimatha kawa nguruwe haswaaa!!!!!!!!kwanini umejichubua mpaka umekosa shoo dada!Umejiharibu na kurudi maji ya kunde yako hutoweza dah!nampa pole mwenza wako!

 15. lilian Says:

  He!!! mimi huyu maimatha nilidhani ni zeru zeru. kwa kweli kama ni mkorogo inabidi apunguze..

 16. papii Says:

  jamani ifike wakati tuachane na hiyo mokorogo sasa!!!kina dada mnaona mwenzenu maimartha ilivyo mfanya yaani kawa kama kinyago na kinachofwata ni kubomoka pua na midomo!!!ushauri wa bure kwa mai tafuta consultant wa ngozi akusaidie otherwise mtafute michael jackon akupe habari yake ya kuporomoka uso….poleee sana….nawe vai mhhh mjanja mkorogo wako mzuri nakukumbuka swanga ulivyokuwa ukipenda waarabu

 17. maboya Says:

  maimartha unatishaaaaa!!!! mhhhhhh! nani alisema uzuri unanunuliwa dukani???????

 18. unknown Says:

  maimatha umekuwa kaa jini …ulikuwa na ngozi zuri tu //wanaume ndio wamekudangaya eheeeeee ?pole dada

 19. uwazi Says:

  Jamani huo sio mkorogo bali ni side effect za ARV.

 20. wille Says:

  dah maimartha kama jini mahaba!!!!!!!!!!umenitisha au ndo p.diddy alikwambia anapenda mikorogo?pele sana

 21. mwaipaja Says:

  its fine to all of them, Am inviting you all to visit me at http://www.amani-mwaipaja.blogspot.com,you need my contact?visit me there

 22. Mkereketwa Says:

  Yaani huyo Mai Martha sijui…mh jamani. Kama nguruwe yaani. Duh, hembu ona rangi ya mikononi na ya usoni duh. Sister Vai wewe nawe huto tumaziwa twako tumelala mno. Ungevaa zile bra zenye mikanda ya plastic ila nimependa sana mshono wako. Sauda wewe umeponea chupuchupu kupata dongo langu. Ila wote mmependeza.

 23. juliet Says:

  Maimatha ninauhakika haujipendi kabisaaaaaaaaaaaaa. hivi uliupata wapi hou mkorogoooooooooo mh utafikiri mdudu!!!!!!! nani kakwambia umependeza hivi ukitoka bafuni unakua vipi lazima utakua unatisha kama nsyuka duuuuuuuuuuu……… punguza ivo mami acha kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa….. vitakuharibu utakua na matatizo baadae naamini hautumii gari maana siku utapata ajali itakua kasheshe dada angu.

 24. lily Says:

  niambie hiyo nguo yako umenunu wapi au umeshona wapi ni nzuri sana

 25. f binya Says:

  we kweli ni wauswazi,katika picha hii hata huonekani mazee mi bila kuliona jina lako kwa chini, nisingekujua ila big up ndo uhalisia wako ulivo wala usitake kubadilisha we ndo mwenyewe bwana.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s