BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

PATRICIA HILLARY, MALIKIA WA TAARABU ENZI HIZO October, 31, 2007

Filed under: Burudani,Muziki,Sanaa/Maonyesho,Taarab,Utamaduni — bongocelebrity @ 4:19 PM

 

Miongoni mwa nyimbo zenye mahadhi ya mwambao zilizotokea kupendwa sana ni ule uliojulikana kama “Njiwa” uliokuwa na mashairi yenye maneno kama “ewe njiwa,ewe njiwa,peleka salamu”. Mwimbaji wa wimbo huo alikuwa ni Patricia Hillary, malikia wa taarabu enzi hizo. Pichani ni Patricia Hillary akifanya vitu vyake. Patricia bado anajishughulisha na muziki na kuna habari kwamba amevirudia upya vibao vyake vilivyotamba enzi hizi ambavyo bado vinapendwa na wengi.

Advertisements
 

5 Responses to “PATRICIA HILLARY, MALIKIA WA TAARABU ENZI HIZO”

 1. Dinah Says:

  Wimbo njiwa na zile nyingine za miaka ile Taarabu ikijulikana kama mziki wa mwambao mimi huwa naziita “classic taarabu”. Yaani maudhui yake ni bab-kubwa, “tune” zenye ufundi wa hali ya juu (japo hawakuwa na tekinolojia kama ya sasa), walikuwa wakitumia maneno ambayo utahitaji muda kutambua wanamaanisha nini.

  Siku hizi ndio naelewa walikuwa wakisema nini 🙂 Ukitulia jioni na ukisikiliza una hisi amani na burudani ndani ya moyo kisha unapata kazi ya ziada kujaribu kutafuta maana halisi ya maneno/mafumbo watumiayo…..sikiliza wimbo/taarabu inaitwa wa “shamba”.

  Siku hizi naona wameamua kuharibu (kuboresha)imekuwa sio taarabu tena bali vita (mipasho)

  Hay Pat kila lililo jema ktk shughuli zako za muziki wa taarabu.

 2. Edwin Ndaki Says:

  Semaaaaa nayeeee taratibuuuuuuu……mambo usiyaharibuuuuuu…………ukifikaaaaa muelezeeeeee kuwa EDO NAPATAAAAA TAAAABUUUUUUU..

  Enzi hizo bwana…sio mpenzi wa taarabu ila kidume hadi leo hii naweza kubofanya kusikiliza huo wimbo…

  Wimbo unanikumbusha nipo mbeya huko Tunduma,mbozi,mwanjerwa,mabatini uwanja wa sokoine..duu

  Pamoja Patricia kazi nzuri

 3. Shuu Says:

  Bi Kidude likisha hili sindano unatakiwa kupumzika ili uweze kula pensheni yako na kuweza kumrudia muumba wako

 4. Shuu Says:

  Kwa kweli wombi wa njiwa ni mzuri na unavutia sana nampongeza kwa hilo

 5. izack Says:

  hey it me izack nawasarimia.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s