BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

MUSIC FAMILY November, 8, 2007

Filed under: Bongo Flava,Burudani,Muziki — bongocelebrity @ 12:14 PM

 

Duniani zipo familia za wanasiasa,wanafasihi,wacheza mpira,wanamuziki,mabondia nk. Familia ya akina Zohrro wao wanaweza kudiriki kusema ya kwao ni familia ya wanamuziki.

Pichani kutoka kushoto ni Maunda Zahir Ally Zohrro(kushoto), Banana Zahir Ally Zohrro(katikati) wakiwa na mwanamuziki mwingine wa muziki wa kizazi kipya,Mwasiti, wakiwa katika picha ya pamoja hivi karibuni. Maunda na Banana ni mtu na dada yake. Wote ni watoto wa mwanamuziki mkongwe nchini Tanzania, Zahirr Ally Zohrro. Maunda na Banana ni miongoni wa wanamuziki wanaotarajiwa kutumbuiza katika nusu fainali za Tuzo za Ubunifu wa Mavazi (RAFDA) zinazotarajiwa kufanyika mwishoni mwa wiki.

Picha na habari hii kwa hisani ya Ahmad MichuziJR.

Advertisements
 

10 Responses to “MUSIC FAMILY”

 1. Edwin Ndaki Says:

  Banana Zohorro kazi zako nzuri sana.Kaza buti kanyaga twende..

  Walisema mtoto wa nyoka ..ni nyoka..no commect..

  Kanyaga twende..napenda sana NIKO RADHI…

 2. ZeMdau Says:

  Sasa hao, Mtu na Dada yake KUSHIKANA hivyo ndo nini!?!
  Ndo Uzungu au Maendeleo?
  Dumisheni mila na miiko yenu ya Kiafrika bwana msilete za kuleta hapa!

 3. Nice Says:

  Jamani kwani kushikana hivyo mtu na kaka yake kuna ubaya gani we “zemdau’ una mawazo machafu sana sijui tukusaidieje

  Banana Zorro I personally LOVE the way yo sing na jinsi unavyojibidiisha katika zai zako za mziki

  Pia nimependa video yako ya ‘WE MAMA KUMBENA’
  GOOD WORK ! KEEP IT UP!

 4. folo Says:

  i like the guy

 5. Cindy Says:

  I like the guy tooo he is my tz idol keep on doing ya thing!!!

 6. Dinah Says:

  Safi sana! Banana unajua kuimba na unasauti nzuri sana ya kiume.

  Ila ninyi na Wabongo wengine tujifunze tofauti za kukumbatiana…..mkumbatio huo unaleta utata.

  Nakumbuka mkumbatio wa JK (raisi) na Mh AshaRose alipokuwa akimpongeza…utata mtupu.

  Huenda baadhi ya watu mnaweza kudhani kuwa sio Utamaduni wa Mtanzani….sio kweli.

  Kule kwetu kanda ya kati kaskazini magharibi kusini mwa Tz 🙂 tunakumbatiana isipokuwa baba na mwana ndo tunapeana mikono na kubusu sehemu ya nyuma ya mkono…..natumani kuna makabila mengine pia wanakumbatiana…..ila tu, ni vema kujua tofauti namipaka ya kukumbatiana ei?

  Mwisho mzuri wa wiki.

 7. ANNA ULOMI Says:

  BANANA UR WORK IS GOOD.NAKUFAGILIA.KEEP IT UP!!!!!!!!
  TUNALETA POSA HATA KAMA TUKIMKOSA……….

 8. KijanaMzuri Says:

  Mwasity u look sexy, n ur voice is one of the best so far, but i dont like ur lyrics ,its too maadili for ur beautiful voice.

 9. Jackie O. Says:

  That guy in da middle be looking like he a pimp or sumthing (he aint even all that)… but the gurl on the right kind pretty….. gurl on the left NOPE! sorry but da should cut her out she made the pic. go bad!

 10. Rodney Says:

  Yes Maunda you are beautiful can I be Bananaz bro in law?

  Mdau, Sweden nikisaka nondo.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s