BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

MALIKIA WA “NGWASUMA” APATIKANA. November, 10, 2007

Filed under: Burudani,Muziki,Sanaa/Maonyesho — bongocelebrity @ 11:28 AM

Jana usiku ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar-es-salaam, bendi ya FM Academia au maarufu kama Wana Ngwasuma, walikuwa wanahitimisha zoezi la kumtafuta Malikia wa Ngwasuma au mwanamke bingwa wa kulicheza “sebene” hilo la Wana Ngwasuma.

 

Malikia wa Ngwasuma,Ketura Kihongosi,akikagua gari alilokabidhiwa baada ya kuibuka mshindi.

Warembo kumi waliingia fainali na mpaka mwisho Ketura Kihongosi, ndio aliibuka mshindi na hivyo kujipatia gari lenye thamani ya milioni kumi za kitanzania.Kwa picha zaidi za tukio hilo, endelea hapa

 

Hii ndio top five ya Malikia wa Ngwasuma.Kutoka kushoto ni Suzana Ugunda, Lightness Gerald, Ketura Kihongosi(mshindi), Pili Mohamed na Lilian Oscar.

 

Mmoja wa wageni waalikwa,Hussein Macheni(kushoto) akijiandaa kumkabidhi zawadi mshindi wa Malikia wa Ngwasuma.Ushindi ulimuendea Ketura Kihongosi(katikati)

 

Mwisho ilikuwa ni wakati wa Wana Ngwasuma wenyewe kutoka burudani.

Picha zote kwa hisani ya MichuziJR

 

 

Advertisements
 

9 Responses to “MALIKIA WA “NGWASUMA” APATIKANA.”

 1. juma Says:

  masikini dada wa watu ni mzuri lakini hilo gari amelipata kwa shida,sijui masharti gani walimpa na aliyatimiza vp,hasa ngono

 2. Victor Says:

  Big up to KETURA
  Oya kama vipi tunaomba mu upload hiyo video ya Kimwana wa Ngwasuma tuone wengine Hatupo Mjini D’lam.

 3. […] kule kwenye ukumbi wa VIP kukamata tukio la Mbunifu Bora wa Redd’s. Lakini hujakosa chochote, bonyeza hapa kwenda blogu ya Bongo Celebrity ukaone mchuma aliojishindia dada. Picha hii nilimpiga kwenye nusu […]

 4. Bob Sankofa Says:

  Kaka Juma hakuna kitu kinakuja kwa urahisi, lazima kila kitu ufanyie kazi. Na kwa kufanyia kazi gari hili nina uhakika dada atakuwa na uchungu nalo zaidi na hivyo kulitunza vyema, au we unaonaje? Hongera Ketura!

 5. Pope Pius Says:

  Sasa Juma ndugu yangu ulitegemea huyu dada gari ahongwe ama? hata la kuhongwa lenyewe unalifanyia kazi… SWEET FOR SWEAT KAKA, NO SPOON FEEDING DUNIA YA SASA

 6. hope Says:

  hongera dada ketura si unatujua wabongo mtu akishinda hatukosi la kusema ndio. big up

 7. lisamarie Says:

  Hakustahili kupata zawadi husika. Kapendelewa ailfaa kuwa mwisho

 8. miss Ngolly Says:

  Hongera!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!sana

 9. kolofete Says:

  nampa hi kwasana malkia yuko bomba mno.sijui kama haku toa chochote kitu mpaka akashinda labda wame mchinja kuku.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s