BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

KANYE WEST AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI. November, 12, 2007

Filed under: Breaking News — bongocelebrity @ 10:48 AM

 

Kwa wale wapenzi wa muziki wa Hip Hop na mwanamuziki Kanye West wa nchini Marekani,habari za kusikitisha ni kwamba mwanamuziki huyo amefiwa na mama yake mzazi,Dr Donda West.Mama yake huyo ndiye aliyechangia kwa kiasi kikubwa sana mafanikio ya kimuziki ya mwanae huyo.Kwa undani zaidi wa habari hii,bonyeza hapa.

Pichani ni mwanamuziki,Kanye West(kulia) akiwa na marehemu mama yake,Dr.Donda West enzi za uhai wake.Picha kwa hisani ya Edward Le Poulin wa Splash News.

Advertisements
 

9 Responses to “KANYE WEST AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI.”

 1. Dinah Says:

  Aaah! Vifo vimekaza kamba mwaka huu. Pole Kanye Magharibi, Mungu akupe uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu na kumbuka kuwa ndio ukubwa huo.(kama jinalako la kiswazi then U can understand the words come out of my mouth).

  RIP mama’ke Kanye a.k.a Dr.West.

 2. lilian Says:

  Mwaka ndio huoo unaisha.. RIP Dr West. Pole sana Kanye Mungu ndio alieumba na yeye ndio anaechukua. Jinsi watu wanavyokwenda inabidi turudi nyuma jamani maisha haya hayana gurantee.

 3. lilian Says:

  Pole Kanye..

 4. Tonni Says:

  Duu kwa kweli hichi kitakua kipigo sana kwa Kanye, kupoteza mzazi, hasa yule ambae ni tegemeo lako in every way is just too hurtfull. Kwa kweli jinsi watu wanavyotutoka sasa hivi Mungu anatukumbusha jamani there is no gurantee in life. RIP Dr West.

 5. Ally Says:

  Mungu ampe uvumilivu ndio mipango ya dunia alitoa na ametwaa!!sasa nyie mnavyosema kanye pole sijui nn unafikiri ye anasoma hayo mnayoyaandika?huyo super star wa ukweli hawezi fika kwenye hz web zetu za kichovu bana!!unatakiwa useme mungu ampe uvumilivu tuu!!!!!!!!!!!!!!!mdau

 6. any Says:

  Afadhali yeye kaachwa ana kipato! atam miss mama lakini anajitosheleza. RIP mama Kanye.

 7. any Says:

  mama mtu mzima kaenda kufanya plastic surgery ya nini jamani? mbona alikuwa mzuri tu.

 8. amina Says:

  Hizo pole tunatoa jamani Kanye anazisoma?au ndo iyo pole tu ionekane nasi tumeadd commets.

 9. trish Says:

  naungana nawe amina,kanye aint gonna be readin these mailz so i dnt think we shud kip on addin any comments.the best thing z 2 pray 2 god so tat he gives kanye enaf strength 2 move on


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s