BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

KISURA WA AFRICA ENZI HIZO November, 13, 2007

Filed under: Fashion,Miss Tanzania,Urembo — bongocelebrity @ 11:51 AM

 

Pichani ni mrembo Miriam Odemba.Ukizungumzia warembo ambao wamewahi kusaidia katika kuiweka Tanzania kwenye ramani ya kimataifa,basi jina la Odemba ni vigumu kukosekana.Miriam alikuwa ni mmojawapo wa washindi wa lililokuwa shindano la kumtafuta kisura wa Afrika lililojulikana kama MNet Face of Africa. Miriam alizaliwa mkoani Arusha mwaka 1983. Hivi sasa anafanyia shughuli zake huko barani Asia.

Advertisements
 

15 Responses to “KISURA WA AFRICA ENZI HIZO”

 1. Dinah Says:

  Mhh Odemba too much make up na hilo dubwana kichwani halijakukaa vizuri.

  Hatuwezi kuzungumzia soko la urembo na mavazi Tz bila Odemba, Binti wewe uliwatandika mabao na unaendelea kuwa piga mabao tu kutokana na uzuri wako wa asili.

  Ktk warembo wote waliopita Odemba ndio binti ambae na weza kusema amekamilika (urembo wise)…..mrefu, anaumbile zuri, rangi yake ya asili, anameno mazuri, angalia midomo, nenda kwenye macho….tabasamu lake yaani kama kapendelewa vile.

  Kila la kheri ktk shuguhuli zako.

 2. gina Says:

  home and abroad, muzidi kutangaza jina la nchi, kwa manufaa ya watanzania wote, bila vurugu.

 3. ZeMdau Says:

  Sasa nyie wakina dada jamani. Sasa kwenda kujisiliba hayo marangi mengi hivyo huko usoni ndo uzuri, u-kileo au ushamba?
  Hivi hakuna watu wa kuwashauri kabla hamjatoka hadharani?
  Mnatuaibisha jamani! Mweeh!
  Kuna watu wa kufanya hivyo wasiokuwa na uzoefu.
  Sasa hata nyie wenye uzoefu wa kimataifa jamani!?! Khaa!

 4. ANNA GABRIEL Says:

  MMMMMMMMMMM ODEMBA MIE NILIKUSAHAU.TOO MUCH MAKE MY DEAR.

 5. Colin Says:

  Hakuna unanatural tena hapo .she real look ugly..tehe!

 6. koku Marshi Says:

  Odemba your soo cute bila hayo ma rangi usoni au yaweke kiasi, unakuwa kama kinyago hata huo uzuri wako umepotea kabisa!!

 7. amina Says:

  huyo kuma tu juso baya

 8. amina Says:

  sasa huko china kaenda kufanya nini n ahilo juso…..

 9. any Says:

  dina acha wivu, wewe ungekuwa mzuri zaidi yake ungekuwa mbali, sema tu sura yako kama unakamuliwa chunusi ya tako.

 10. sibah Says:

  acha hizo, odemba mzuri bwaana wakilisha vyema uko india, jamani. wafundisheni vijana wengine maadili, amabo wanatishia wenzao usalama sana sana nje za nchi.

 11. kidevu Says:

  Dam! she looks rather artistic and not a model. She’s got a hand for it.

 12. Reg... Says:

  Odimba;
  Nahuo udaga (unga wa mhogo)usoni wa nini? hata kama lakni naona too much jama….

  Amina;

  Mi sipendi kutaja taja sehemu za uumbaji ovyo namna hiyo.

  Dinnah;

  kwa ujumla mie sipendi mtu kujitwisha mizigo kichwani hata kama… Mawazo yangu lakini, nadhani natural hair sounds better than any!!!…

 13. Mkereketwa Says:

  Mi mara ya kwanza nilipotulisha macho yangu kwenye hii picha, I was like “what the heck is going on with this face”. Wala sikijua kuwa ni Odemba.Sasa ninachoomba kukwambia dada yangu Miriam, too much going on on your face, u need to reduce the make ups. Ulikuwa mzuri sana enzi zile lakini naona ukeamua kujitundika madude mengi kwenye ngozi yako nzuri.

 14. suzane Says:

  i ms you to much

 15. Jamy Says:

  Mh me sina la kusema lakini, nakupa big up Odemba


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s