BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

RICHARD AREJEA NYUMBANI. November, 14, 2007

Filed under: Developing News,Tanzania/Zanzibar,Television,Watu na Matukio — bongocelebrity @ 4:27 PM

Mshindi wa Big Brother II,Richard Bezuidenhout, amerejea jijini Dar-es-salaam leo usiku(kwa saa za Tanzania).Kwa taarifa tulizonazo ni kwamba kutokana na mvua kubwa iliyonyesha,watu waliojitokeza hawakuwa wengi sana.Pia kulikuwa na vurugu za hapa na pale kiasi kwamba kuna wakati Mzee Bezuidenhout (baba mzazi wa Richard) alikaribia kususia mapokezi mazima.

Richard alitua milango ya saa mbili kasorobo na baada ya vurugu ya takriban dakika 20 hivi akapelekwa na msururu mrefu wa magari hadi ofisi za Multi Choice, na kisha akaondoka kwenda nyumbani kupumzika.Mkewe hakuonekana.Kesho anatarajiwa kuongea na waandishi wa habari saa nne asubuhi pale Holiday Inn. Hizi hapa baadhi ya picha.

 

Richard alipokuwa akiingia Dar hivi leo baada ya kuwa nje ya nchi kwa zaidi ya siku mia.

Kwa picha zaidi endelea hapa.

 

Shangwe na vigelegele.

 

Baadhi ya watu waliojitokeza kumlaki Richard.

 

 


Wanafamilia wa Richard kama kawaida walikuwepo uwanjani kumlaki ndugu yao.Viwalo vyao vilikuwa na jumbe mbalimbali kama inavyoonekana pichani.

Picha zote kwa hisani ya Issa Michuzi.

 

 

 

Advertisements
 

75 Responses to “RICHARD AREJEA NYUMBANI.”

 1. Hongera Mdau Richie!
  Tuko Pamoja!
  AU?

 2. ANNA ULOMI Says:

  Karibu Richard.

 3. Ed Says:

  Actual i didn’t know what BB is all about until this week. I can’t believe someone get popularity because of abusing women. This is No No. Tanzania people are becoming copy cat, they want to copy everything from Hollywood. It’s time for the media to have sense of humor and quit all this mess.

 4. GEORGE Says:

  Hongera kwa kutuletea heshima watanzania.

 5. Nerra Says:

  Mtachonga sana but nothing gonna change calling Richard THE WINEEERRR! Mna compaign kila kitu nyie mmezoea! malizeni kwanza hizo complaign za kuvunja utamaduni tulizozikuta toka tumezaliwa kwanza kama mnaweza! hakuna cha ajabu aliachofanya Richard just say congrants you wont loose anything!!!

 6. salvatory Says:

  mimi ninampa huyu broo big up

 7. Mary Says:

  Thank you Nerra…. maana watu sijui ni wivu au ni nini??? Richard hajafanya chochote kibaya!!! Roho mbaya tu…. Congrats Richard…. and All the BEST IN YOUR FUTURE

 8. p.i.m.p Says:

  ambaye hajui big brother inahusu nini mpaka sasa tunampa pole,,,maneno matupu hayavunji mfupa,na asiyejua maana haambiwi maana,richard hongera sana,umeitangaza nchi na hao wanaosema eti umeitangazia nchi kuwa sisi ni sex mongers wachukulie poooooooa,waanze kuponda umiss then mengineyo next,,najua wanajickia jealosy bt no way out,,au walitaka tatiana awe wao?BRAVO THE RICH RICHARD.

 9. Mpenda Usawa Says:

  Mbona JOEL BENDERA hakwenda kumpokea kama alivyoenda kumlaki yule “Ze Komedi” wa kutoka Marekani?
  Au kwa sababu Richi ni m-Bongo?
  Huu si UBAGUZI huu?
  Wacheni kupapatikia WaMarekani tuu bwana!

 10. Anti Kibaka Says:

  Wewe Mpenda Usawa.. Tokea lini waziri aende airport kumpokea kibaka? Watu kama wewe wangemtegemea JK kwenda airport kumpokea mtu kama OJ simpson..

  Wanasiasa wetu wengine wanajiheshimu bwana!

 11. Kimori Says:

  It is one of the shameful shows in a moral world…Africans we have to change our mindset before it’s too late!….I understand that Richard is married and now the maariege is in the verge of collapse…is it what is BBA is all about?

 12. Rahma Says:

  Linda u should celebrate wot ur Broda did on ya own style, mambo ya kuanza oooh hatters mara nini sijui, acha ujinga wewe unategemea kila mtu atampenda huyo kaka yako? kwa lipi hasa? Huyo Rais tu hapendwi na kila mtu umemuona dada yake kikwete akivaa kitambaa kama hicho? acha uswahili ushapiga hesabu akupe kimilioni kisotee basi mengine tuachie sisi watazamaji, Shwaini!!!

  Rahma,
  Miami,Fl

 13. Matty Says:

  Mh!!!!!!waosha vinywa hamuachi looOO!!!!acheni ujinga hao walikuwa big brother wameonekana hadharani waliyokuwa wanafanya je lait kama huku mitaani kwetu kungekuwa na cameras kama za big brother house nani angesalimika acheni wivu!!!!!!BIG UP RICHARD!

 14. mpembuzi Says:

  “HAWALA YA FEDHA” Fedha itaitafuna hiyo familia. watamshawishi Rich amwache mkewe ili waweze kuzifaidi, kila ndugu atapendekeza mladi utakaomnufaisha, mwisowe ndugu hawataaminiana, watanuniana, watagombana pesa, pesa!!! “HAWALA YA PESA”

 15. Ndama Says:

  Linda umekuwa na we acha ujinga loooh!!

 16. mama koku Says:

  I cant believe this, mie nilizani tulishakua wazalendo kumbe hamna kitu, hivi ulitegemea nini mwanaume alieoa akaishi kwenye jumba kama lile lenye warembo kwa siku mia bila kua na uhusiano? hamuoni kama hamumtendei haki richard? suala la ndoa yake mwacheni yeye na mkewe watayamaliza, kwani ikivunjika ndo itakua ya kwanza au ya mwisho kuvunjika? hivi watanzania ni lini mtakua kitu kimoja na kuanza kupeana hongera/pongezi pindi inapo stahili? hacheni fikra potofu na akili finyu, cheaters wako kila mahari na kila siku mnawaona, angekua hampendi mkewe hasingempa nafasi katika maisha yake, leave richard alone. please

 17. Baba Koku Says:

  I better not catch you talking to any man..your flesh is too weak! I have seen through your character now. You are too weak for any tempation… Damn, come home now.. I need to chain you to the stove! I should have listened to my mother and married a real woman like Offunemama with a bone through her nose.. I hope for your sake you were not at teh airport last night!

 18. Baba Koku Says:

  Why is this blog censored?

 19. San Says:

  its time now u people from tz need to shut up ya mouthes and mind ya business
  Its true richard is a pig……not one a pig a dog, For letting down ricky, when richard alipokuwa masikini wakati anashindia mihogo nyumbai kwao kule sinza bobs alikuwa anamuona ricki kama mungu mtu sasa hv kashapata hela anajiona mjanja wakati yeye mshamba tu na me nawashangaa nyie watanzania mnao msaputi richard yule ni mbwa tu,kwa nini siku ile ya fainal akuitumia ku appologise kwa mkewe kwa mambo yote aliyofanya kwenye jumba la big brother

 20. Jemma Says:

  Good luck to Ricky!! What does Richards Dad think of what he, a Christian married man did to Ricky in the last three months!!! Richard said just last week that he was a Christian!! Is Ricky to blame for his adultery and assualt on another woman. Hell NO!

 21. Dreamy Says:

  Riki you dont deserve what this disgusting man, your father in law said to you, he is a disgrace to all men. Riki run as fast you can from this family, they will pull you down to there level and treat you very badly, I hope all men in Tz do not treat woman in this way. You have my support
  Dreamy South Africa

  A christian, what a joke, they are evil. The sister looks like something out of a horror movie, the father reckons he is the boss, he is proud of his adultris son, the apple never falls far from the tree
  Richard learnt what he saw, he followed in his monster fathers footsteps, treating woman as second class citizen where men are right and woman must shut up and except abuse. Children learn what they see. I am please a live in a country where discrimanation of any kind is not tolerated, where woman of abused husband are criminaly charged, where freedom of expression is protected in our constituion,
  where all minority groups protected, irrespective of race colour or creed, I am proudly SOUTH AFRICAN. Where any form of rape is prosecuted, womans rights are taken very seriously, the outcry in my country from what Richard did to Ofu was huge. We protect our woman, because woman are the earth mothers, they nuture and care for there husbands, sons and all. I am so disgusted with Richard father, that I am now at a loss for words for this horrible man

  Where you are villified as the villian, what drugs are these people on. OMG Plz Riki get away from these people as fast as you can, they will destroy your spirit.please I beg you, you deserbve so much better. Plz read my Thread for you. My thoughts and prayers are with you, my daughter is 29 and if any man treated her badly, they would have me, my husband and son to contend with, especially my son, do not know what my son will do if a mzan treats my daughter badly and would not like to be there when my son looses it. GOD BLESS YOU MY GIRL HUGS
  my email addy Dreamy_brown@yahoo,com
  http://www.mnet.co.za/profiles/bba/ForumListing.aspx?bid=10&tid=11953&rid=0

 22. ME Says:

  Calling Richard a pig is a huge understatement. He screwed another woman and assaulted another while his wife watched at home. What should he be called then? A national hero? His actions were grossly inappropriate. If I were Ricki, I’d cut his balls off and wear them as earrings, then his family would have a real reason to be offended. GET SERIOUS.

 23. Nasser Says:

  What Richard did to his wife is totally unaccepted, fingering and probably having sex with women in the container while knowing he is married. He doesnt show a bit of respect to his wife by declaring his love to Tatjana. His family has so much influence to his life that he will even drop his Tatjana or whoever becomes his wife.

  Yet the government is congratuling this stupid pornostar Richard, its a shame. If he goes to another place and meet another cute girl, he will abandon Tatjana as well.

  Be real and responsible comrade. If you stay with your wife or marry that husbands grabber and family destroyer Tatjana, fine do that because its ur life but dont let family decides on what you want, afterall you are the one who will live with your wife and not your father, Grow up!!!

  Richard is no longer a person once he was, he is now a qualified celebrity pornostar, look at other celebrities like in Hollywood, they keep changing partners like shoes because of the money. Most of them end up dying very lonely and poor.

  Poor Ricki, my total sympathy!!! I am Tanzanian, but i feel soo sorry for this highest degree of humiliation by your own husband and infront of the world. Anyone who blames Ricki doenst know the pain and suffering she is going through and she has been well behaved all this time and controlled herself. Some people would have gone as far as committing suicide as some people have done that before, but she is a strong character.

  My total respect to you Ricki!!

  In Tanzania, you can insult someone by calling him/her a dog (mbwa) while europeans love dog and never use that word as an insulting instrument. They use word pig. So she did what she is used to back home. Afterall she is from a different culture, and different countries use different phrases and method of showing frustration.
  Calling someone pig is not nice, but one can you do if you are so hurt? Just imagine if your husband tells you that he hates you and loves a woman you infront of your family and friend, you will hope the earth to open up and swallow you alive. So what is all this rasism and discrimation coming from?

  I am very disappointed by Richard and his family by trying to support him and use every chance to expose Rickis weaknesses. They are just illitrate money grabber trying to exagerate every small issue from Ricki and separate them desperately. They want to tell us that Ricki is guilty and all the blah blah blah, but she is innocent, infact Richard is the one who is to blame and cant controll himself whenever he sees an attractive woman as he has shown us and Africa knows that.

 24. Koku Marshi Says:

  Huyu Linda ni kiherehere sana utadhani ye ndo kashinda??Hongera Richard, i really like you but sister….MEN…ANAJISHAUA SAANA, halafu hiyo nguo hata sie tunaonunua Tandika kwenye hafla huwa tunapendeza sasa mwenzetu na nyodo zote hizo halafu nguo pamba hazimkai,hahahaaaa,akaaazime kwa KHADIJA KOPA!!

 25. mama koku Says:

  hahahahhahaa, (baba koku)u dont deserve to have me as a wife, get life. richard was playing the game and he did it very well thats why he become a winner. go and listen to your mother and get a wife from the village.

 26. Editor Says:

  To our dear readers and contributors,
  We respect your opinions and freedom of expression.We would like to continue doing so.However,that depends so much on the language you use when commenting on a subject or making any contribution.Some of you have been using very bad words or expressions that we find them to be not suitable for general audience/readers.We would therefore,with this note,like to remind all of you to be a bit careful with words and expressions used.If that is not adhered we will have no choice but to take other measures that we believe will not be good for freedom of speech.

  We believe that you can put your point across without using foul languages.Write and then re-read your comment before you hit the “submit comment” button.If you think the language you have used is appropriate or could be appropriate even if your own child was to read it, then go ahead and submit it.Thank you

  Editors
  BongoCelebrity Team.

 27. mama koku Says:

  baba koku, ulikua kwenye internet nini? na hela imekuishia? wivu tu umekujaa, wakati wewe mwenyewe unavibanda hasara kama vitatu, ndo maana huna hata maendeleo, ila ya richard ndo unayaona ya kubebea bango. mie nawapongeza sana tena sana wakenya na waganda kwa support waliyotupa, maana wameonyesha umoja wa kweli, big up east africa, cha hajabu wabongo wenyewe kwa wenyewe tunawangiana. tunaitaji kubadirika kabla hatujachelewa

 28. mama koku Says:

  Dreamy Says; i dont think so if you have a dstv in your house,it seems you dont even know what happened on that night (27th october) i can sense from your comments, ofunneka was the one who wanted to rap richard by hooks and cooks and not vise versa. if am wrong give me your account number with dstv. If you ddnt like him what was the meaning of watching the show to the end? leave richard alone, pleeeeeeease

 29. mpembuzi Says:

  huyu Linda ananishangaza, yaani karudi kimoja toka marekani kwasababu ya bingo ya mdogo wake?????!!! wadau naomba mnisaidie kwa hilo.

 30. Baba Koku Says:

  DEar Mama Koku,
  I realy do think you are a man. You would be in your akili sawa kumfagilia kibaka kama Richard!

  I’ll Quote ME above my dear wife..
  Calling Richard a pig is a huge understatement. He screwed another woman and assaulted another while his wife watched at home. What should he be called then? A national hero? His actions were grossly inappropriate. If I were Ricki, I’d cut his balls off and wear them as earrings, then his family would have a real reason to be offended. GET SERIOUS.

  Me thinks, I’ll be safe with you if i go on Philandering! I am glad I married you mama Koku!.. Need to go, my secretary is looking hot today!

 31. Dreamy Says:

  Mama Koku (you’re a dope head or what?)

  Nothing happened at night! everything happened on a saturday afternoon! Get a grip and go back to bed!

 32. CHARITY NDABA Says:

  PLEASE LEAVE RICHARD ALONE HE HAD ENOUGH FROM EVERYONE.HE IS ONLY HUMAN ANYONE CAN MAKE THE SAME MISTAKE DONT ACT ALL INNOCENT.HE MADE A MISTAKE BUT THAT MISTAKE MADE HIM WHO HE IS TODAY HOPE HE WILL LEARN FROM THEM. I WISH AND PRAY THAT HIM AND HIS WIFE MADE IT UP.SHE IS GOING TO FORGIVE HIM I KNOW BECOUSE WHAT GOD HAS JOINED TOGETHER LET THE BE NO ONE TO SEPARATE HE WAS BUT IN A TEAST BUT THAT DONT NOT MEAN THAT HE HAS BE BLAME EVERYDAY FOR WHAT HAPPEND WHO ARE YOU TO JUDGE HIM EVERYONE HAS THEIR SKELETONS .BE HAPPY BECOUSE HE SHOWED SOME OF US BUT LIFE CAN MSKE YOU DO SOMETIMES. HE IS AN INSPERATION TO MOST OF US.HE WAS PLAYING A REALITY HE SHOWED US THAT YOU CAN BE MARRIED BUT IF YOU A LEFT IN A POSITION LIKE WHAT HE WAS ON IT IS DIFFICULT TO HANDLE. I SAY BIG UP TO YOU RICHHIE WHEREVER YOU ARE I PRAY FOR YOU. MAKE YOU WIFE HAPPY AND BEAT THE ENEMIES THE A MANY ENEMIES AROUND WHO ARE ALWAYS WANTING FOR WRONG THINGS THAT OTHER PEOPLE DO BUT FORGET ABOUT THERES. LOVE YOU RICHY AND GOOD LUCK

 33. Baba Koku Says:

  Charity Ndaba!
  Your half relgious rantings make me laugh! Keep god and forgiveness out of this! Richard should inspire us?! The Philandering rapist? Please! I would rather go to the toilet and wank 10 times daily than deceive my wife infront of the whole world. This guy know the world was watching and still did all he did! Don’t talk about temptation here, talk about utter disrespect for himself and his poor wife!
  Second, my country Tanzania is sacred. I don’t need it associated with a Kibaka!

 34. julie Says:

  Linda unahitaji ngariba

 35. Tonni Says:

  Mimi nimeona nitoe ushauri kwa dada yetu Linda!!! Kwa kweli woote tumefurahia sana ushindi wa Richie kwa Tanzania, japo kuna mengi ambayo wengine hawakubaliani na the way Richard alivyocheza mchezo mzima, lakini at the end wengi wao walikubaliana nae ndio maana ameshinda by votes… Kwahiyo tukubaliane tu na ushindi na tuangalie mbele. Sasa dada Linda ushauri wangu ni kuwa tunaomba saaana sasa hivi utulie kidooogo. Mwache Richie yeye ndio aendeleze mambo yake, Ulimsapoti alivyokuwa ndani ya house kwasababu hakuweza kuzungumza na alikuwa hajui yanayoendelea huku, sasa ametoka mwache aendeleze libeneke lake, Utamuaharibia. Tunajua una hasira na waliokua hawamsupport but sasa hivi wewe umeshashinda by Richie kunyakuwa hizo pesa. Kutukanana na watu unamuaribia kaka yetu, hasa kwenye endorsements.

 36. Editor Says:

  Once again we have to intervene.If you want to put a link of anything regarding Big Brother Africa II,make sure it carries current news and not links that have been provided already by other contributors several times.

  We would also appreciate if you can only provide a link and not the whole article.Thank you.

  BC

 37. censor Says:

  well, that is another and credible explaination mr Editor… you deleted the above news several times before…

 38. Kimori Says:

  Dear Editor,

  You really have a hard time with this perpetual topic…your advice has been ignored by some of the contributors, who are defiant and don’t even take time to edit their comments…a real tumult indeed!

 39. censor Says:

  There is nothing like old news.. it is just bringing new attention to news that DSTV and others would like to sweep under the carpet and ignore on this yong man.. Chemi Che Mponda has taken a stance on this subject based on the news she has seen on this topic. Kudos on her! What is the fear here on talking about things that have to be talked about? There was sexual abuse perpetuated by this individual that people saw! Are we amking up things? no! why should we? because we are jelous of Richards fame and money? As a tanzanian I object to our country being represented by some morally decadent philanderer…

 40. censor Says:

  why block what Ally has to say?

 41. any Says:

  Linda kashakuwa celebrity sasa badala ya kakake, hadi nigerian times yumo humo.

 42. Karim Says:

  Wewe censor sijui sense.Kwanini basi usiende huko kwa Chemi ukaweke maoni yako huko?Editor wa BC keshakuambia nini cha kufanya hapo..bado huelewi.Watu wengine bwana!

 43. any Says:

  Jamani huyu dada wa kinigeria asipopakwa make up anaonekanaje, KIBUDU haki tena. Mungu ibariki wanawake wa east africa, wamejaliwa.

 44. Pope Pius Says:

  Kuna mtu mwenye link ya you tube au pahala kwenye kipande cha what Richard did? maana sie huku hatukuona ila twasikia tuu

 45. julie Says:

  Richard amechemsha

  1.we cannot support him kuvunja ndoa ya kikristo kwa tamaa ya hela

  2.amefundisha watoto wetu ngono na kuwa kama mtu unapata pesa kwa kufanya ngono ni sawa..this is a big MISCONCEPTION and fallacy. Ulevi niushamba

  3. Linda anamharibu mdogo wake nilimbukeni. Mimi Julie namkataa kabisa.Linda NGARIBA

  4. kufanya ngono na mwanamke ambae hujamwoa ni dhambi, tena HADHARANI ni ufirauni. Mimi ni mkristo wa matendo sio jina tu

  5.Richard akiendelea kujifanya KIJOGOO ataangamia, Ukimwi utam silence

  Ally, take care

 46. Kokubanza Says:

  Loh watanzania hatupendani kama invayoonyeshwa kwenye messages hizi. Ndio maana hatuendelei. Ni kweli Richard kamkosea mkewe lakini the bottom line ni kwamba ameshinda BB2 na ni lazima tumpongeze kwa hilo. Matatizo yake na mkewe hayatuhusu ataya sort mwenyewe. Asiye na dhambi na awe wa kwanza kumtupia jiwe. Kwa vile yenu hatuyaoni kwenye runinga mnajitia watakatifu. Mnajua kuangalia mabaya tu. Sijasikia mtu akimpa pole Richard kwa minyanyaso aliyopata kwenye nyumba ya big brother kutoka kwa washindani wenzake. Max, Lerato, Kwaku na Bertha walimvamia kwenye jacuzzi na kumtukana kiasi kwamba akaacha kufurahia huduma hiyo mpaka hao vijana walipotoka kwenye nyumba. Africa ilichukizwa na tukio hilo kama ilivyodhihirishwa kwa namna walivyoamfagia Max kutoka kwenye nyumba hiyo. Bertha alimtukana na kumwambia “you are not even audible” kumaanisha kwamba watanzania hawajui kuongea kiingereza. Yako mengi tu lakini kwa sasa niachie hapa. Jamani kijana huyu kanyakua ushindi na ameipeperusha bendera ya TZ. Hatuna budi kumpongeza. Hongera sana Richard. The new era has dawned into your life. Capture the opportunity and use it wisely. Yaliyopita si ndwele tugange yanayokuja.

 47. Kokubanza Says:

  The last time I checked wakristo even Jesus himself hawahukumu wala kulaumu. Ndugu yangu Julie ukristo wako ni questionable. Ubarikiwe though.

 48. censor Says:

  @pope pius… the digraceful events unfolded on a Saturday afternoon where people were going about their weekend chores.. Comparatively few people were watching the events… Just one guy called “electric eric” was able to take a few stills on his PC.. calls for DSTV or whoever to release the footage fell on deaf ears.. In fact richard got so out of control they had to take the cameras away for nearly half an hour while they locked him up in a room to sober up…
  If you saw the footage i assure you, you would be disgusted!

 49. Klover Says:

  Nyie Tanzanian, ache ujinga na upuuzi hivi mtu unatoa comments hazina hata kiwango, kwani alivoenda nyie ndio mlimwambia aende, kama kuamua kaamua yeye kama yeye nyie sio mungu wala malaika wa kujidai kumkosoa richard, kama ameudhalilisha utu ni wake, kama pesa ni zake, nyie mna maisha ya ajabu na roho za kimasikini ndio zinazowasumbua tu. Nampa big up sana Richard, na hajawalazimisha kwenda kumpokea sababu wakati akienda hamna alie msindikiza sasa kelele za nini, riziki ya mtu ipo popote kama ameandikiwa, acheni ushamba na umaskini wa roho.

 50. Pope Pius Says:

  Kukubanza angalia ukianza kuongelea dini unakuwa umevuka mbali na humgusi Julie pekeyake unajumuisha wengi wenye imani kama yake so be careful na matamshi hasa ya kiimani.
  Wabillah Tawfiq

 51. Ally Says:

  Hapa udini ndio hautakiwa kabisa hata kidogo!!ss sio wanaigeria bana!!1baada ya salam wanaanza kuulizana we dini gani hiyo haijakaa sawa na yote haya kayaanza huyu julie kimbelembele.

 52. any Says:

  huyu charity ndaba ndo Linda, mwangalieni alivoandika hata kizungu hajui, na analazimishia kama Linda, nendeni shule uko Ulaya mlipo, mkitoka kufanya kazi kuna evening class, or mchukue kozi za online~ shame.

 53. Kokubanza Says:

  Pia comment za Julie zinagusa wengi wasio na mlengo mkali kama wake na wako. Kata mzizi wa fitina kwa ku deal na aliyeanzisha zogo la dini.

 54. CASHMONEYHOLLAND Says:

  WABONGO…MLIOPO NYUMBANI MNAJUA BIG BROTHER IMEANZIA WAPINA MWAKA GANI????NAONA WATU MNAFANYA BIG DEAL.BIG BROTHER HAPA ULAYA IMEANZIA HOLLAND NA NI MIAKA 10 ILIYOPITA NA NI SHOW TU YA KAWAIDA HUKU..LAKINI NYINYI MMEFANYA KAMA TAIFASTARS IMECHEZA.HIYO SHOW NI MTU NA FAMILI YAKE NENDA KATAFUTA MAISHA.RICHARD ANGETAKIWA KUPEWA INTERVIW MOJA MCHEZO UMEKWISHA.AU MNAONA LAKI PESA NYINGI…LABDA KWA BONGO HAPA ANGEKUWA MTU WA KAWAIDA TU.HIYO SHOW HUKU MTONI NI MAREHEMU NYINYI NDIYO KWANZA MNATOA MACHO AU KISA IMEFANYIKA SOUTH AFRICA…???AMKENI WABONGO.KAMA KIKUBWA KARUKA NA MUANGOLA KAACHA MZUNGU UZEMBE WAKE KWANI ATAKUWA ANAKAAFOLENI YA VIZA KUJA ULAYA KILA SIKU.KAACHA UKANADA…KAJIPINDUA NA SAVIMBI…

 55. Pope Pius Says:

  We cash Money kinachoongelewa hapa si Pesa wala mtu binafsi mjadala ni Mwenendo mzima wa matukio ndani ya show ile ukilinganishwa na utamaduni wetu, hakuna anayeikataa BB la hasha ila yaliyojili ndio kinachoongelewa hapa.

 56. rose Says:

  wewe cashman inajifanya umefikaaaa!!!!!!!!!!!! huko uliko sio marehemu hata familia yako iiyobaki bongo?. North Or west home is best.

 57. rose Says:

  wewe cashman unajifanya umefikaaaa!!!!!!!!!!!! huko uliko sio marehemu hata familia yako iiyobaki bongo?. North Or west home is best. acha lugha chafu!!!!!!!!!!!!

 58. Pope Says:

  Cashman, For your info, majority ya wachangiaji humu hawako Bongo, iwe Bc iwe Michudhi, so usione kama ndio wanamawazo ya upande mmoja wa shilingi.
  Hoja si mtu kuna vitu viwili mjue kuna suala la ushindi kama ushindi kila mtu analipongeza ila suala la pili linaloleta mjadata ni la MAADILI.

 59. NTEMO Says:

  NYIE VICHAA WOTE MLIOMKOMALIA RICHARD NAONA MNAJIFANYA MNAJUA SAAAANA HAYO MNAYOITA MAADILI SIJAWASIKIA HATA SIKU MOJA KUZUNGUMZIA UCHAFU UNAOFANYWA NA DADA ZENU MITAA YA OHIO CALIFONIA DREAMER NA KWINGINEKO NYIE MMEMUONA RICHARD TUUUU!! MABARADHULI WAKUBWA NYIE!!! NYANI HALIONI KUNDULE KAZI KUANGALIA YA WENZIE!!!

 60. Nerra Says:

  GOOD NTEMO, THANKS FOR CONCLUDING!

 61. Linda Says:

  Mmechonga sana!! roho mbaya tu pambafuuuuuuuu!!! Nigerian shud accept what happened.morever of**ka is the most ugly i ever seen,

 62. Barwani Says:

  I JUST PRAY AND HOPE RICHARD GOES BACK TO HIS WIFE AND NOT LISTEN TO HIS FAMILY AS I AM SURE HE STILL LOVES HIS WIFE VERY MUCH.AND FOR SURE IF HE LISTENS TO THEM AND DIVORCES HIS WIFE HE WILL NEVER BE HAPPY WITH ANY OTHER AND IN THE END HE WILL ALSO LOSE RESPECT WITH HIS OWN FAMILY COS THEY WILL BE THE REASON FOR ALL THIS. PLS GO AND MAKE IT UP WITH RICKI AS FAST AS U CAN.ITS ALREADY ENOUGH NOW AND WITH TIME ALL WILL BE FORGOTTEN I AM SURE

 63. Barwani Says:

  AS FOR HIS LOVE WITH TATIANA.I AM SURE HE WAS JUST INFATUATED WITH HER WITH THE SITUATION THEY WERE IN BUT OUTSIDE THE HOUSE THEY CAN NEVER MAKE IT AS THEY ARE 2 DIFF. CHARACTERS AND ALSO TATI IS A MODEL AND ACTRESS I DONT THINK RICHARD CAN TOLERATE ALL THAT AS HE IS TOO JEALOUS, SO IN NO TIME THEY WILL FACE A LOT OF PROBLEMS.I DONT THINK TATIANA CAN CHANGE HER HABITS, SHE GREW UP LIKE THAT.I DOUBT IF IT WILL EVER WORK OUT WITH TATIANA IN THE REALWORLD.ITS TRUE SHE IS PRETTY AND KIND HEARTED BUT RICH IS VERY AGRESSIVE AND OUTSPOKEN.CHARACTER LIKE THAT IS VERY DIFFICULT TO LIVE WITH.

 64. gQ Says:

  oya nyie wabongo ndio maana maisha yetu tuko nyuma kishenzi kwasababu ya vinyongo,shuhuli ya mwenzio unaibebea ndizi yanakuhusu nini acheni wivu kama mnataka kuwa wasema kweliu semeni matatizo yenu na familia zenu which i belive kila mtu anaziki zake live tha boy alone!

 65. Mo Says:

  Jamani who cares about Richard n BBA tena?ths is all so yesterdays news….can we moove on plzzzzzzzzzzzzzzzzz!m sooo fed up already and m sure most people are as well

 66. any Says:

  Kwa kweli sijawahi mtu mbaya kama ofunika. duu, ugliest, well said Linda.

 67. minna Says:

  linda unaitaje mtu mbaya kwani wewe umejiona mzuri sana au makeup zako muache dada wa watu

 68. minna Says:

  linda fundisho kama ulikua haujui ndio ujue watu hawakupendi unavyojisheua umekua kwa kila mdodomoni kwa mtu sasa jifunze toa masheuzi mwanamke umechekesha si kidogo pole

 69. gQ Says:

  mafanikio na maisha aliyo ishi linda na wadogo zake robo yenu hamja fikia,akiringa anahaki ya kuringa nimaisha yake.she work had for it.wivu umewajaa hata kazi za maana mnashindwa kufanya kazi kusema watu kwenye net za kupanga foleni kuku nyie!

 70. iky babu Says:

  Jamani acheni majungu wa Tanzania, ni kwa nini mumsakame Richard kipi cha ajabu ambacho mimi na wewe hatufanyi? kama alivyofanya richard? je kungekuwa na kamera ingekuwaje, maofisini, mahotelini, beach? majumbani? hayo ni maisha yake, na si yako,je kama kungekuwa na kamera ya kutuonyesha watu mitaani nani angemnyoshea kidole mwenzie. marais, mawaziri, wabunge wote wanafanya. kwani amewaambia kuwa uume wake unamuuma? huyo mkewe kama anataka kurudi atarudi na kama harudi aachane naye amuoe mblack tu. kwani mama yake alimzalia yeye tu? kusalitiana ni jambo la kawaida kabisa, vinginevyo watu wasingekuwa wanaachana.maisha yanaendelea.

  Richard funga masikio na macho yako uweze kuponda maraha. kwenye faraja hakukosi majungu siku zote.

  Watanzania kaeni kimya mfikirie cha kufanya ili mpate maendeleo.

  Hakuna asiye fanya makosa katika dunia hii.

 71. shuwaini Says:

  huyu mke wa richard kwa nini anapewa attention kama yeye ndo mtu wa kwanza kutendwa? au kwa vile mzungu? wamama wangapi bongo na dunia nzima wananyanganywa wanaume zao na hamuwaongelei, embu kule, diana mwenyewe aliibiwa mme na kamila sembuse huyo canadian, nyambafu

 72. Kokubanza Says:

  Tanzania tupendane. Richard kashinda tumpongeze. Haya nyie wana maadili, Africa kuna maadili gani? Tunachojua ni kujifanya watakatifu mbele ya watu lakini tuyafanyayo kifichoni mungu anajua. Kama sisi ni wakereketwa wa maadili how come tunaongoza dunia katika maambukizi ya virusi na vifo vitokanavyo na ukimwi? Tunavinywa kwenye maji yasiyochemshwa? Richard hongera mwanakwetu.

 73. pakamafia Says:

  WEWE ROSE,HACHA KUSEMA OVYO…KUWA NA HESHIMA.CHANGUDOA.

 74. kibo Says:

  huyu amefanana na yule mpoki anayezungukazunguka kuzuzua watu na hiyo phd yake, kumbe ni star huyu.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s