BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

MTAA WA SABA-MBARAKA MWINSHEHE. November, 16, 2007

Filed under: Burudani,Historia,Muziki,Weekend Special,Zilipendwa — bongocelebrity @ 12:15 AM

Ni ijumaa tena.Wakati mwingine wa kupata midundo.Leo tunatoka ndani ya jiji mpaka mji kasoro bahari.Pale tunamkuta marehemu Mbaraka Mwinshehe(pichani) akiuambia umma kwamba sasa amehamia Mtaa wa Saba,kutoka kule alikokuwa akiishi ambapo mapaka yalikuwa hayaishi kulia lia.Anasema ile nyumba aliyokuwa anaishi sio nyumba,ilikuwa na mikosi…Wimbo huu ni kutoka katika mkusanyiko wa nyimbo zake ulioitwa Ukumbusho Vol.2.

Hivi ni kweli kwamba mahali unapoishi panachangia sana kufeli kwako au kufanikiwa kwako?Wewe unasemaje?Sikiliza ujumbe,pata mdundo,sikiliza nyuzi bin nyuzi ya gitaa la Mbaraka.Ijumaa Njema!

Advertisements
 

10 Responses to “MTAA WA SABA-MBARAKA MWINSHEHE.”

 1. […] MTAA WA SABA, Throw your mind back! – Today, 08:00 AM MTAA WA SABA-MBARAKA MWINSHEHE. BONGO CELEBRITY […]

 2. […] MTAA WA SABA, Throw your mind back and relax! – Today, 08:08 AM Tume amwa kuhama kutoka mtaa wa PANUA MTAA WA SABA-MBARAKA MWINSHEHE. BONGO CELEBRITY […]

 3. Dinah Says:

  Yeah ni kweli kabisa, unaweza ukahamia mahali alafu kila kitu kinakwenda ovyo kutokanana “mikosi” ya mahali hapo (a.k.a nguvu za Giza).

  Nakumbuka wakati naishi UK miaka 6 iliyopita,kila nilipokuwa nikihamia napatwa na mauza-uza, Mara nione watu wamenisimamia nikiwa nimelala,sauti za watoto kulia, pesa zinaisha bila kujua umetumia vipi na mbaya zaidi sikufanikiwa kupata Degree yangu ya kwanza, huko ilikuwa North.

  Nikahama makazi (nchi jirani) na kila kitu kikaenda vema kabisa namaua-uza hayakunisumbua tena.

  Hivyo haya mambo yapo sana tu.

 4. Ally Says:

  Mh Dinah acha kutupwaga ngambo na mambo ya nguvu ya kiza wapi na wapi!!!!!!!!!1

 5. Dinah Says:

  Tatizo wabongo wengi mmezoea kudanganywa. Lakini ndio hivyo na mimi mambo ya “mtaa wa saba” walinitokea nikiwa Ulaya.

 6. gasto Says:

  KAMA MAISHA YANASUMBUA SEHEM, KUHAMA KUNA ZARI ZAKE, HATA MANABII MA8ISHA YALIPOKUWA MAGUMU SEHEM MOJA WALIHAMIA SEHEM NYENGINE, BOB PIA KAIMBA “EXODUS MOVEMENT OF JUH PEOPELE”

 7. HOLM Says:

  We Ally Weweee. Nguvu za giza zipo unajifanya hauelewi basi na wewe ni mchawi au unatumia hizo nguvu ndiyo maana unajifanya kama hauelewi kutuzuga.

 8. rahma Says:

  kweli dinna nakubaliana na wewe hata mimi yananitokea hayo.

 9. juma yahya Says:

  eeee mwaego kuama usawa uhu kama huna,mkwanja, mavumba(hera) inabidi ukubali matokeo yani kuchanjwa chale,kupelekwa saluni,ikiwezekana kama hufai kulala kwenye kitanda utarazwa chini,

 10. Paulo Says:

  I wish I could speak Swahili fluently, I just love the language. Mbaraka makes it much more opulent.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s