BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

USIKU WA AY November, 17, 2007

Filed under: Bongo Flava,Burudani,Fashion,Filamu/Movie,Muziki — bongocelebrity @ 1:39 PM

Jana usiku ndani ya Club Maisha iliyopo Oysterbay,msanii AY alizindua documentary yake ya UNDANI WANGU,viwalo vyake vya Commercial Wear na pia tovuti yake. Mambo yalikuwa kama unavyoona pichani.

 

AY(kushoto) na msanii Amani(kulia) kutoka Uganda wakiwapa mashabiki burudani jana ndani ya Club Maisha.

Picha zaidi za usiku huo wa AY endelea hapa.

 

Wasanii Dully Sykes(kulia) na MwanaFA(katikati) ni miongoni mwa wasanii waliojumuika na AY(kushoto) katika kufanikisha usiku wake.

 

Baadhi ya wapenda burudani waliohudhuria usiku wa AY jana ndani ya Club Maisha.

Advertisements
 

10 Responses to “USIKU WA AY”

 1. ANNA ULOMI Says:

  HI,
  MZEE WA COMMERCIAL NAPENDA KAZI YAKO.KEEP IT UP.BIG UP

 2. Big Willy Says:

  Big up AY kazi bomba keep it up, BC vipi tena mbona unataka kuharibu mwishoni> Amani anatoka Kenya na sio Uganda kama ulivyoandika.

 3. stay-wat Says:

  big-up m2 mzima kwa kuweza kumiliki mzigo kama uwo wa mtoto wa kikenya,ingawa ulitificha kw mda mlefu sana

 4. dachy12 Says:

  ebwana full mzuka the guy knows to ride with the mic 4realllllllllllllllllllllll

 5. Emmy[mza] Says:

  Nakupa big up Ambene kwa hatua uliofikia. Hivi ile habari tulioisoma kwenye gazeti moja la udaku ni kweli. Kwamba umemmimba Amani.?

 6. valleshima Says:

  ebwana jamaa show ilikuwa bomba ningependa kuona watoto wa tmk pia wasifanya mambo makubwa kama haya INAWEZEKANA!!

 7. freddy Says:

  jamaa yuko fresh yaani anajua nini maana ya muziki kaza buti utafika achana nawatu wasiokupenda

  big up

 8. sandy Says:

  safi sana yo…lakini si Amani anatoka kenya ama ndo typo..

 9. Dommy Says:

  If the local artists are looking for where to go AY has given the direction, he is in the next level of Bongo Flavour. I salute you with all due respect for the efforts, creativity and innovation you have shown in the local Music industry. Only the sky is the limit brother keep your spirits high!!!!!

 10. sweet Says:

  the guy is talented but too proud.we know he dates Amani and he should come out clean.By the way he is also a player and once dated two of ma pals at ago.Not a good behaviour…


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s