BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

PIUS MSEKWA November, 20, 2007

Filed under: Bunge,Serikali/Uongozi,Siasa,Tanzania/Zanzibar — bongocelebrity @ 2:37 PM

 

Nchini Tanzania yapo majina ya wanasiasa/viongozi wa vyama na serikali ambayo huwa hayahitaji mzunguko mrefu wa kuyatambulisha.Ni majina ambayo yamezoeleka kutokana na aidha kuwa familia ya wanasiasa au kutokana na kushika nyadhifa mbalimbali serikalini na katika vyama vya kisiasa.

Umaarufu wa majina au watu wenyewe unakuja kirahisi ukizingatia uhusiano wa karibu uliopo kati ya siasa na jamii zetu.Kama ilivyo katika nchi nyingi duniani(kama sio zote) mustakabali wa maisha ya jamii unategemea sana siasa/uongozi.

Mojawapo ya majina hayo maarufu ni la Pius Msekwa(pichani) ambaye hivi karibuni amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM.Msekwa ameshawahi kushikilia nyadhifa nyingi mbalimbali,ndani na nje ya nchi.Ukitaka kujua mengi kumhusu,bonyeza hapa.

Advertisements
 

10 Responses to “PIUS MSEKWA”

 1. mesa Says:

  hivi kustaafu bongo ni mpaka ufikishe miaka mingapi?

 2. any Says:

  hadi kaburini, kingunge bado waziri.

 3. Dinah Says:

  Ndio nini kutishana jamaaa? Yaani nimeshituka!

 4. Kimori Says:

  The same names, the same faces, the same idiologies….it is too much!

  There is a chinese saying, which goes like this, “If you want one year of prosperity, grow rice. If you want ten years of prosperity, grow tries. If you want a hundred years of prosperity, grow people.”….

  What are we growing in Tanzania?

 5. Wakati mwingine inabidi watolewe kwa nguvu

 6. bdo Says:

  tupige kelele ila kumbukeni “matone ya mvua yakimyeshea chui hayamtoi madao” anyway hata kama mzee akipumzika atabaki na CV yake…iwe mbaya o nzuri ila tumejiandaa for his?

 7. wasoni Says:

  Please Watanzania tuanzae kuwa na akili,tuamke…Tulazimshe katiba ibatilishwe..hawa jamaa wanaongoza nchi mie hata kabla sijazaliwa hadi hiii leo mie nina miaka 35 Jibaba bado face ni zile zile.ndiyo maana wanajilimbikizia mali.They dont care abt People what they care is abt matumbo yao na familia zao.PLease kiongozi umestaafu anarudi kwa mlango wanyuma.mtu mmoja mbunge,waziri,mkurugenzi,kiongozi watume,tunawasomi kibao wanaweza fanya madalaka ambayo kichwa kimoja kinajilimbikizia. Nalia kwa hasira Tanzania inafilisiwa na wachache…..

 8. lim Says:

  duhh/ hivi network yake na memory bado inakamata vema?
  hivi huyu kikwete mbona anatuchokoza sisi vijana, anatutaka nini? Nimechoka sura za hawa watu miee sijui nifanyeje?

 9. sibah Says:

  dah, naona huyu jamaa bado yupo tu, achieni vijana bwana, mnajidai sana. Yaani mtairithi hiyo ccm, na ubaguzi wenu huo. Punguzeni ubaguzi, nyie achieni vijana.

 10. CASHMONEY Says:

  tatizo la kuwa mzee sana kazini unakuwa ujui unachofanya.huyu zaidi ya kusinzia anafanya nini kazini????kweli kiboko.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s