BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

RICHA NDANI YA CHINA. November, 22, 2007

 

Richa Adhia(katikati waliosimama),Miss Tanzania 2007, akiwa ndani ya China pamoja na warembo wengine kutoka nchi mbalimbali wanaowania taji la mrembo wa dunia mwaka huu.

Zimebaki siku tisa tu kabla kitendawili hicho hakijateguliwa.Miss World ni tarehe 1 Desemba.Swali kubwa linabakia je Richa ataitoa Tanzania kimasomaso?Akifanya hivyo utakuwa ni mwaka wa kina “R” kwani hivi karibuni Richard wa Big Brother Africa II alifanikiwa kuitangaza Tanzania kupitia shindano hilo la BB Africa.

Advertisements
 

26 Responses to “RICHA NDANI YA CHINA.”

 1. mesa Says:

  plz bc huyo anawakilisha india kwa kifupi mwaka huu hatujapeleka muwakilishi wa tz hivyo hayatuhusu yanayoendelea china, naomba ashindwe plz

 2. CASHMONEY Says:

  kwa hiyo mikwaju naona imemzunguka hapo…sijui kama hatatufikisha kimasomaso….tuombe mungu.

 3. Kimori Says:

  I detest racialism, because I regard it as a barbaric thing, whether it comes from a black man or a white man.” Nelson Mandela.

 4. mcheza Says:

  We are not anti-white, we are against white supremacy … we have condemned racialism no matter by whom it is professed.”
  Nelson Mandela, defence statement during the Treason Trial, 1961.

 5. Mchunguzi Says:

  Watanzania yaani mumemdiskarej kweli huyo binti.
  We angalia hapo utaona kabisa kwamba smail yake ni ya wasiwasi na kutokujiamini uki kompea na smail za hao wengine wote.
  Kwa kweli mumemuafekt sana kisaikolojia nyinyi

 6. Matilda Says:

  Naweza kusema kweli atashinda Richa ni wa ukweli ukweli, ila hatujapeleka asili yetu ya ki Tz kwa hiyo sioni tofauti kati ya africa na hao wazungu wanchi nyingine we angalia picha kuna tofauti?Tuombe mungu sana.

 7. maya65 Says:

  mhh akishinda sijui,asije akashika mkia!!!!!

 8. Amina Feruz Says:

  Na huyo dada pembeni ya Richa aliyevaa blauzi ya grey ya kumeremeta yenye mikono mirefu naye ni mhindi au mzungu? Zaidi ya rangi yake ambayo hata South America na Asia (southern India, Bangladesh, Srilanks na Maldives)ipo sioni uafrika wake. Bora hata huyo Richa hajaongezea kitu ili afanane na mzungu, kabaki na uhalisia wake.

 9. TanzanianDream Says:

  Kusema ukweli nilipoicheki hii picha mara ya kwanza kwa hakingowi nilidhani Miss Tz-India hayupo pichani…Embu angalieni ukimuonesha mtu hiyo picha si atakimbilia kuuliza kama huyo wa kushoto ndo Miss wenu? kumbe Miss wenu yupo ………….hhehehe kweli hiki kituko….Bora now wengi tunaona kwamba akichanganyika ndo anakosa kabisa Utanzania………hehehehehhe

 10. shuwaini Says:

  huyu richa mbona hajakaa kimiss, amejikalia tu kama mmama anaeenda semina kliniki, mbona yuko down ivo, stress au?

 11. shuwaini Says:

  richa ana sura ya manesi wa muhimbili, haaa.

 12. queen Says:

  acheni kumponda mwenzenu mbona huko bungeni kuna wenzake alafu hamtii neno.isitoshe anawakilisha tz.hata mkisema sana yeye anasimama kama mtanzania.

 13. Mapunye Says:

  GABACHORIIII NEHII PYARIKYEEE, NEHII KARTI HOOO, NAMAANISHA KWA KIKWETU KWAMBA HII MUHINDI YEYE TASHINDWA TUU

 14. BABY Says:

  mi wala simfagillii tena naomba kila siku ili ashindwe kabisa tena asirudi tz aishiye huko huko kwao.

 15. danielle Says:

  loh yan sijui,eti mtanzania thubutu yako,weh gabachori kabisa unajiita mtanzania,tena tutakushtaki,acha kabisa!!#@$%….

 16. SAMIBOY Says:

  Richa anaonekana kama wa hukohuko na si Tz but anyway all the best dear.

 17. MAKOYA Says:

  WOTE NYIE MNAOMPONDA RICHA HAMNA LOLOTE BALI UBAGUZI TU. SASA AKISHINDA MTAFANYAJE? MIMI NAMTAKIA KILA LA KHERI NA MAFANIKIO MEMA.

 18. queen Says:

  ninakereeka ha hawa wasioelewa maana mimi!huyo ni mtanzania mwenzenu inabidi mumfurahie sio kumponda.Mungu atakujalia Richa uonyeshe utaifa wako.

 19. Tonni Says:

  Queen tafadhali eeehhhh!!!

 20. daya Says:

  Mheshimiwa MAKOYA sisi sio wabaguzi Richa anasifa yoyote,Ukiangalia hajui kupozi anakigezo cha kuwa Miss TZ mpaka sasa kashachemsha China kwenye miss TALENT ambayo kachukua MGHANA.Wachina sio wajinga wakampa miss talent MGHANA kutokana na utaifa wake na rangi yake ambayo ni BLACK.
  HONGERA MISS GHANA NIKO NA WEWE PAKA MWISHO HUYO
  RICHA KAPENDELEWA TU ANAKIGEZO CHOCHOTE:
  MUNGU MBALIKI MISS GHANA MUNGU HIBALIKI TANZANIA

 21. Nana Says:

  KIKOWAPI WALIOMTAKA RICHA KASHACHEMSHA ATALUDI NA VISINGIZIA KIBAO HATA MKINISEMA MBAGUZI SIJALI GO MISS GHANA

 22. mpoki Says:

  Nimesoma yote yalioandikwa.Mimi mwenyewe nipo India.wahindi ni wabaguzi nambari one duniani.Hawana maana kabisa na wanajisifia sana kama msichana kama huyo akishinda.Watajigamba kwenye magazeti na tv juu ya jinsi wahindi wako bora.No way a girl of African origin aweza shida India mbali ya hata kazi ambazo hawawezi kukupa.Mimi I dont like those creatures,Lets not do that kinda mistake aGAIN.MAJAJI WAMEFANYA BLANDAS.She is not miss tanzania I dont like her.Much love to my African queens.You are simply choclate

 23. abdullah Says:

  WABAGUZI WAKUU ACHENI KUBAGULIA WATU KWA KUFUATANA NA ASLI YAKE..HII NI MARADHI MAKUU YANATOKANA NA CHUKI NA GHAMU YA KISHETAKI. yOU HAVE NO RIGHTS TO DISCRIMINIATE UNLEESS YOU ACCEPT TO BE DISCREMINATED .
  vOTE FOR WHAT IS RIGHT

 24. jackline Says:

  hahhahahaha huyo hashindi hata kwa dawa akishinda dunia itapasuka vipande vipande mlizani mmechagua kumbe mnapepeta pumba mnalo haya sasa leo lazima shike mkia hashindi ng’o hata nusu fainali hashindi

 25. DUNDA GALDEN Says:

  wewe Abdullah futa usemi wako wa chuki na damu za kishetani wao waliondika hapo hayo ni mawazo yao cha msingi jaribu kuweka vitu yakinifu pi usisahau una uhuru pia wa mawazo yako binafsi bila kuvunja sheria BC ina wana BC nao wako huru kuandika kile wanacho fikilia wao.
  Tulikuwa Bombay India kwenye mgahawa mmoja maneno walikuwa wakiyatoa wale wahindi yalikuwa mabya sana upande wetu kwani wote tulitoka africa mpaka baadhi ya wenyewe kwa wenyewe wakaanza kugombana kati ya wenye mgahawa na hao wahindi wengine,wenye mgahawa ikabidi wawambie waondoka au wange piga simu Polis kwa kile walichokuwa wanakiongea tena kwa sauti.tukauliza kulikoni?ni matusi kejeli na ubaguzi kwa sababu watanzania tuna kitu achana nao tuchukue time zetu tuliondoka
  hiyo ilikuwa India 1998 uko bongo angalia wengi wako Posta juu ya majengo ya msajili kodi zao bei nafuu nani ana damu ya kishetani?be care ndugu siku Mtikila atakapo ingia Ikulu sijui itakuwaje?
  Nasi Bc club Dunda Galden(Australia)


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s