BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

LISA JENSEN November, 23, 2007

Filed under: Fashion,Miss Tanzania,Tanzania/Zanzibar,Urembo — bongocelebrity @ 12:05 AM

 

Mwaka 2006 unasemekana ulikuwa ni mwaka uliotoa wasichana warembo zaidi kulinganisha na miaka mingine.Lakini hili linaweza kuwa na utata kutegemea na unayemuuliza kwani ukweli unabakia kwamba kila mtu ana uhuru wake wa kuelezea uzuri au ubaya wa kitu.Wazungu wanasema Beauty is in the eyes of the beholder.

Kwa upande wa wanaounga mkono hoja ya 2006 kuwa mwaka wa aina yake kwenye masuala ya urembo nchini Tanzania wanatilia maanani majina kama Wema Sepetu(Miss Tanzania 2006),Jokate Mwegelo na Lisa Jensen (pichani).Hawa ndio walikuwa top three ya mwaka 2006.

Lisa Jensen na Jokate Mwegelo wameshiriki katika filamu iliyotoka hivi karibuni ya Fake Pastors ambayo iko mitaani hivi sasa.Kama hujaiona bado,fanya bidii uione.Kwa maana hiyo tunaweza kusema hawa ni warembo ambao pia wanatia jitihada za kuendeleza vipaji vingine.

Picha kwa hisani ya Global Publishers.

Advertisements
 

38 Responses to “LISA JENSEN”

 1. Sweet Says:

  Mtoto mrembo sana huyu kwa kweli, Mwenyezi MUNGU akulinde.

 2. maya65 Says:

  mhh kitu kimetulia babake si mchezo!!!!!

 3. Pope Says:

  Huyu Mtoto ni mzuri ana sifa zote basi tu wakaenda kumpa yule Mwe***u, actually No. Should be The other gal ambaye ame act kwenye Fake Pastor Pia namba mbili huyu namba tatu yule Wema (if she deserve).

 4. anelyimo Says:

  Mtoto huyu bombaaaaaaaaaa

 5. zoe Says:

  i dont know where to start seriously,lkn ninachotaka kusema ni kwamba kwanini kwenye filamu ya fake pastors wametumia picha za hawa mabinti wakati ukiangalia filamu ndani wametokea sehemu chache sana,mfano LISA ametokea only once,na jokate like two times tena haongei yupo kama bubu,hivi kweli hawa watu wa production wanaelewa maana ya kutoa watu kwenye cover tena picha kubwa while pausing. inanisikitisha sana kuona wasichana wanakubali kutumiwa picha zao kuwekwa kwenye covers with no good reason kweli inanisikitisha sana. please naomba msinichukulie vibaya but what im trying to say hapa ni kwamba wasichana wakitanzania tusikubali kutumiwa hovyo na vyombo vya habari,mind u they are getting lots of money out of your face and you get nothing at the end you end up depending kwa wanaume,shame….wake up!

  girls watch out…..

 6. anelyimo Says:

  We Zoe kwani ujui kwamba wabongo ni wajanja, wamefanya hivyo walijua lazma watu watanunua ni kama wamefanya biashara, na ni kweli imenunulika sana na kila mtu amezipenda.Na pia ukiangalia walikuwa mamiss na kila mtu alitaka ajue wame act vipi kwenye hiyo filamu.

 7. Dinah Says:

  Kasura kazuri kweli-kweli, kanapendeza kwa matangazo.

 8. Matilda Says:

  Jamani Kwenye Cover wanaonekana kama ndio wahusika wakuu nilishangaa nilipoiona nikawakuta wapo sehemu kiduchu sana na hata kuongea walikuwa hawaongea sana,sioni maana ya kuwaanika ivyo kwenye cover,Sijapenda nasema kilichopo moyoni.Filam ni nzuri kiasi sema mambo ambayo nilikuwa nayategemea mm sijayaona kabisa asante.kwa yyote anayehusika na filamu ya FAKE PASTOR.

 9. Flojoma Says:

  waooooooh! Lisa your sooo cute ama kwa hakika mungu kawaumba vilivyo.

 10. shuwaini Says:

  thats why the filam “fake pastor” na hata waliopo ni fake, kila kitu fake !

 11. Edwin Ndaki Says:

  HIVI NYIE BONGO SELEBRITI…BC….

  Sasa kazi ndio imewashinda au mipango imekuwaje tena?

  Au ndio ilikuwa nguvu ya Soda? au na nyie ndio kama serikali yetu mabingwa wa kuanzisha vitu na kuviacha kimya kimya mfano speed gavana etc.

  SASA WIMBO WA KUSINDIKIZA WEEK END UKO WAPI?

  Bora mngetutaarifu kuwa leo patupu.sisi wengine huku Duga magoani,majani mapana tuwategemea nyinyi..

  Teteeeee teeee sijamind kiivyo ila muwe na KOMITMIMENTI NA FULIFILI.

  Ijumaa njema

 12. sweetie Says:

  hivi ndaki umeoa au bado mie nimefika bei

 13. Chris Says:

  Speechless. Angesls do exist Bongo. It’s one of the reason 2 luv Bongo…….

 14. Ally Says:

  Kiwango!!!!!!!!!!

 15. freddy Says:

  oya tulia dada dunia kuna machafu mengi jilinde na tabi mbovu na uwe mfano bora kwa jamii usisahau elimu

 16. Chabby Says:

  Freddy ushauri mzuri ila TOOOOOOOOOOOOOO LATE

 17. bibi umeme Says:

  Hi, beautiful face, body and rightly so, kwanini mkakubali kina shigongo anayenichefua kuliko maelezo awatumie kwenye cover while you are not principal participants? mh, Jokate na Lisa mnaweza kutumika vizuri na watu wa maana kama makampuni ya simu nk mkitaka kwenda kwa shigongo tena mnijulishe kabla niwape ushauri wa bure, au mlienda ili asiandike skendo? wala msijali nyie watu safi, namchukia sana EJ

 18. pakamafia Says:

  JE NI MBONGO HUYU????KWANI JINA LA KIULAYA HILO.MAMBO YA KINA LICHARD.

 19. MUKAMANA Says:

  Sweetie naona umevutiwa na na huyo MR EDO au kwasababu jina lake linataka kufanana na MR EBBO…

  NAKUTANIA WANGU…

  Edo mtoto huyo sema nae mbona vidole vinakuwa vizito kujibu….

  mmmh hayanihusu…

 20. mkokozi Says:

  Sweetie naona umevutiwa na na huyo MR EDO au kwasababu jina lake linataka kufanana na MR EBBO…

  NAKUTANIA WANGU…

  Edo mtoto huyo sema nae mbona vidole vinakuwa vizito kujibu….

  mmmh hayanihusu…

 21. Pope Says:

  Bibi Umeme kumbuka YESU alisema, nanukuu
  “…AMRI MPYA NAWAPENI, PENDANENI…”
  Mwishowa Kunukuu.

  Wabillah Tawfiq.

 22. Chabby Says:

  Bwana Pope, Tusifu Yesu Kristu…
  Mi Nasema huyu mtoto kwanini asingeenda China badala ya Richa? mi najitolea kumsafirisha…. wadau mwaonaje?

 23. wille Says:

  SHIGONGO KANICHEFUA SANA KUWATUMIA KINA LISA NA JOKATE KWENYE COVER AS IF WENYEWE NI WAIGIZAJI WAKUU.HIVI HUU SI WIZI WA KIMACHOMACHO MANAKE UNANUNUA MOVIE UNACHOENDA KUANGALIA SICHO.
  KAMA MDAU ALIVOSEMA HIYO MUVI NI FAKE,PLZ BC TULETEENI MJADALA WA FAKE PASTORS TUTOE MAONI,AU WADAU MNASEMAJE?

 24. manu Says:

  lisa msikubali tena kutumiwa na waandaji filamu feki,hilo liwe fundisho.mna thamani sana hamjajijua tu.

 25. sweetie Says:

  jamani ndaki mbona kimya

 26. freddie Says:

  Hey hey hey u are so cutee baby!!!!!I real like your face hata ukienda state utacatch ile ile no 1 kwa hiyo face yako. Big up for that and take care hommie

 27. Esromchris Says:

  I love you Lisa.Your to cool girl lovely body.I wish if ,I could live with you.I want you in my life.When are you comong to london-uk,I want meet with you for more confimation.
  Regards
  ESROM CHRIS
  14 penfold street nw1 6rl
  london

 28. Pope Says:

  Kaaazi kweli kweli…!!!

 29. danielle Says:

  hv?sijui nianzaje,kwanini mmekubali kutumika??au na nyie mmefurahia kuuza sura??yan uyo shigongo amewatumia kwa maslahi yake kabisa,yan nauhakika kiasi ya pesa mlichopewa ni kidogo sana,yan uyu shigongo nashindwa kumalizia.

 30. kevin Says:

  the gal is sooooo tyt. i dont know y da gave the 1 st position to dat lun**ic. she has all da qualitiessss

 31. kijana Says:

  Hi editor ,am a young boy .if u can work on me to get only the waya i can comunicate with lisa i will be hapy.is not only about beuty is so cute and inteligent ,am not in london as other stated am here in Africa so why i beg u to assist.

 32. rg Says:

  oya lisa mi nipo uk, nilikua naomba tu email yako email yangu mimi ni omarramazan81@yahoo.com. nataka kujuana nawe serious

 33. eddie Says:

  mhhh kazi ipo….

 34. Thomist Says:

  Great, it has been so long, sijakuona siku nyingi lissa, upo wapi? as always, naendelea kukupa heshma yako katika fani ya urembo, upo juu sana. Good Luck lakini usitutenge ki hivyo, ok?

 35. kijana Says:

  Editor am back again ,pls help me to comunicate with the lady ,ma mail as u see and am real in need the contract ,pls help.

 36. girum Says:

  you R SO CUTE BABY/ GOD BLESS u


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s