BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

WELCOME HOME PARTY FOR RICHARD. November, 25, 2007

Filed under: Television,Weekend Special — bongocelebrity @ 10:10 AM

 

 

Richard(kushoto) akiwa ndani ya party ya kumkaribisha nyumbani ijumaa iliyopita.Wengine katika picha ni Kinje Ngombale Mwiru(katikati) na Edward(kulia) kaka yake Richard.

Ijumaa iliyopita kampuni ya Multi Choice Tanzania ilimuandalia party ya kumpongeza mshindi wa Big Brother Africa II,Richard Bezuidenhout. Party hiyo ambayo ilihudhuriwa na bongo celebrities wengi ilifanyikia ndani ya Millenium Hotel iliyopo Kijitonyama jijini Dar-es-salaam. Kampuni ya Multi Choice Tanzania ndio wahusika wakuu wa shindano la Big Brother Africa kwa upande wa Tanzania. Kwa picha zaidi za party hiyo mtembelee michuzijr.blogspot.com.

Advertisements
 

37 Responses to “WELCOME HOME PARTY FOR RICHARD.”

 1. Pope Says:

  B.C
  Unataka maneno haya mi yangu macho…

 2. Dinah Says:

  Huo mkono hapo utata mtupu…..kaka mtu gay awu? Rich nae utata shati la pink tena linaonyesha misuli…hahahaha.

  cya

 3. Kimori Says:

  Kinje Kingunge Ngombale Mwiru au?…yaani wale wale?

 4. Neema Says:

  Samahani kidogo, eti huyo jamaa wa hapo kati naye alikuwepo kwenye BB2? ndio yule alitolewa at the very early stage?
  Au ndio anajiandaa for the BB3? ha ha haha ha haha, naona ana tafuta advice kwa Rich- how to win, Teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh

  I believe 100% uta win ukiibukia kule, hakuna mjadala kwa hilo

 5. Nerra Says:

  Mmmh Bongo guys, comments zisizojenga always mnaboaaaaa mpaka nasikia ovyo kusoma kusoma comments zenu, be gentle people kidogoo.

 6. kissa Kim Says:

  yaani sijui ndo ustar gani huo!dah!waTZ huwa mnakosa kazi za kufanya somtime hako ka laki ndo mmeona deal!

 7. Nerra Says:

  Baba Koku huwa tunakuheshimu sana katika kutoa maoni tafadhali usituangushe….. Richard mbakaji kambaka nani? unajua maana ya kubaka?

 8. Edwin Ndaki Says:

  Hii ndio tanzania mwezi ujao inatimiza miaka 46 ya uhuru,wakti huo maadui wake wakubwa WATATU ambao ni UJINGA,MARADHI na UMASKINI unazidi kushika hatamu..

  Vita imetushinda kilichobakia ni kusherekea BBA….

  Maradhi(Madoctor wanapasua kichwa badala ya mguu)

  Ujinga(Kila kukicha richmond,buzwagi..hadi washindi wa nobel wanaona watutolee uvivu wanasema hii NGOZI inauwezo mdogo wa kufikiri…yule anaye WATIA wenzake vidole BBA ndiye heros wetu..TAMWA,TAWLA,EOTF,WAMA..nanyie ukimya wenu najua mnamuandalia BBA2 wenu sherehe…aaah

  UMASKINI(hapo ndio naogopa hata kuongea maanda jibu tunalo…ni sawa na kuuliza biblia Rome italy.

  Ila siwezi kuwalaumu maana kuna msemo wa kikoloni ukiwa katika lugha ya malkia unasema..AN EMPTY MIND IS WORKSHOP OF THE DEVIL…endelezeni kusherekea ushindi WENU na Bibi ei wina.

  Mimi simoooooooooooo kabisaaaa nimejitoa….

  NI MTAZAMO WANGU….

 9. Baba Koku Says:

  Nerra, heshima kwako pia!.. Mimi niliona matukio Laivu na macho yangu.. Sidhani wewe ulipata kuona matukio ya jumamosi jioni tarehe 27?! Kwa hiyo, maoni yangu ni, na kwa kisheria, Richard ni mbakaji! Kama unataka nitafsiri kwa kingereza, He’s a rapist Period…

 10. Pope Says:

  Ndaki,
  Heshima kwako!!
  Pope

 11. Matty Says:

  watu jamani mnachonga sana juu yake hamchoki???na wewe baba koku even if you saw the competition by ur eyes where???is it SA???(i saw through net)huna sababu ya kumuita rapist mwenzako hata wewe unaweza ukawa raper kwa kumfinger mamakoku so ngoma droo….what is the meaning of rap??? if so the girl likes much that is why she cut the nyonga, i’m a woman and i ca’nt believe that Richard rap because they all enjoyed the thing(sexfinger).
  Baba Koku jiheshimu and stop such a stupid thing!!!!!AND U NEED TO FIND OUT THE MEANING OF RAP PLS live him alone.

 12. Klover Says:

  Lakini wabongo tunatia huruma kweli, mbona watu mna roho za kimasikini hivo, richard alijiendea mwenyewe kwa ridhaa yake, sasa leo kaijpatia visent vyake roho zawatoka, kwani alipoingia BBA aliwapa taarifa au aliwaomba ushauri. mbona mnakua hamna maendeleo, hapa mjini kila mtu na akili yake ya kutafuta pesa, dno mana weingine wauza unga, wengine wanasaini mikataba mikubwa ya nchi tena kwa manufaa ya nchi ikiwa nawewe pia unaetoa comments za ajabu just for 10%, mbona hao hamuwaoni na kama mwajua kuongea mbona hamuongei, Richard kajihangaikia mwenyewe hata kama kajidhalilisha kajipatia hela yake ya kula japo miez 6 mnajidai kuchonga, acheni hizo ndo mana hamuendelei maisha mtaishia kungalia watu wanaporomosha majumba na magari ya kifahari kisa mnajiadai mwajua ongea kumbe mbele giza…..

 13. Matty Says:

  Big up Klover u’r intelligent!!!!so brilliant sio wakina baba koku wapinga maendeleo tu!!

 14. Baba Koku Says:

  Klover, Aisee bwana kama hujaporomosha jumba la fahari na unaendhesha kopo, kazi kwako.. Muda umefika uanze! Wengine tuko hapa tunatoa maoni kwa sababu tuna muda wa kupoteza! It is a luxury I can afford, i hope it is for you too.. otherwise you’re wasting your time here!
  Kinacho tisha lakini, ni uteteaji wako wa wauza unga, wabakaji na wajamaa wanaouza nchi yetu! I actually need to go ensure that my money flows… I don’t have time for your infantile rantings today sorry..See you soon!

 15. eddie Says:

  hallow any one bravo to richard hongera sana kaka u did it, ubinadamu kazi amini hisia na fikra zako be u and fanya chchote unachohisi ni kwa faida yako, ukisikiliza ushauri wa watu utakua njia panda, wakati unaenda bba hukuomba ushauri wa mtu iweje leo watu watake kiherehere cha kukushauri…
  mi nakutakia kheri na mafanikio, na natamani sana muwe pamoja na ur wyf…Mungu awasaidie mpate suluhu………na liki aelewe kua ile ilikua game pengine hata angekua yeye angefanya na zaidi ya hayo. kila la kheri.

 16. Matty Says:

  Wewe baba koku nani kakwambia clover anatetea wauza unga???he just shows an example of how the people live and fighting to get money au kiswahili kwako ni tabu kidogo anyway i believe u were among of the milions of people who vote for Richard now the guy score the money you start your jelous stop it!!!!hebu weka picha yako na mama koku hapa uone tutavyokunyamba na wewe kama unavyomfanyia mwenzako…kweli wabongo hamna dogo msalimie mama koku.

 17. Kokubanza Says:

  Hako ka laki wewe unako? Sidhani kama unaelewa the snow ball effect of this. “ka laki” is a once off thing lakini milango mingi imefunguliwa sasa kwenye entertainment industry kwa Richard kazi kwake kuchagua aingie upi. Na wakereketwa wa maadili kumbukeni kuwa “the best men are moulded out of faults; and for the most, become much more the better for being a little bad”. kwa mara nyingine tena Hongera Richard.

 18. Matty Says:

  Koku keep it up!!unaonyesha unahigh thinking capacity kuliko dady yako baba koku (sorry if it hurts u)Richard tunaokuunga mkono ni wengi lakini kama unatumia ule mshiko kupombeka nazani hutakawia mda mfupi atakuwa kama end (mwisho) because i know bongo totoz za kumwaga!!!mitungi usiseme, viwanja kibao kazi kwako.wapi mkeo???

 19. Baba Koku Says:

  Matty, get a grip of yourself..

 20. Hyke Says:

  Hongera kwa kushinda BB2 Richard,yaani sisi wabongo tunashangaza sana.Ndio tunafahamu kwamba umeshinda BB2 lakini baada ya kufanya kitu cha maana anaanza kujirusha maprty kila siku,ndio ameshakuwa celebrity FOR WHAT?????Na kitu kingine kinachinishanga ni kwamba anasema nitafungua Film Studiona hizo $100,000.Je amefanya utafiti wa hiyo biashara au basi tu?Na hiyo course ya Filming anasoma wapi maana atunasikia tu?All this time he’s been partying with all these fake celebrities in Bongo is time lost.Angetumia huu muda kutafakari how to invest his money and get advice from Independent Financial Advisers and not from Kinje & Celebrities.
  Mimi huwa nasiktika sana ninapoona vijana hasa wa kibongo ambao huchezea muda wao on kujirusha badala ya kufanya useful things.Wanafikiri kujirusha ni kitu cha maana,people need to undestand that SUCCESS IS A CHOICE.

 21. lisa Says:

  wewe HYKE vipi wewe ? whats wrong with him partying? wewe yakuhusu nini ? hela zako ? toka zako hapa. richard can do whatever he wants with his money. Tanzanians should stay out of this, if u guys vorted for him, then God bless ya ‘ll, For the time being let the man spend … life is short , he made a qucik short cut that u dumb HYKE will work for the rest of ya life without getting even close, well, sorry !!!

 22. maya65 Says:

  mhhh mimi sioni kama richard “eti amebaka” nini maana ya neno rape au kubaka kwa kiswahili?
  ni kufanya mapenzi na mtu bila ridhaa yake au kulazimisha, sasa richard ali” force “wapi?
  na huyo mtoto wa kinigeria alikuwa anafurahia na kama hakufurahia basi angefungua shitaka la kubakwa mahakamani, lakini kwa raha zake mtoto ofuneka kauchuna kwa maana ali enjoy!!!!!! mpo hapo?
  hiyo yote ni kumsakama tu richard sijui kwa wivu wenu au kutopenda maendeleo ya mtu?

 23. Matty Says:

  Big up Maya65!!baba Koku can u answer what is RAP???
  AND I CAN’T GRIP MYSELF COZ I LIKE BONGO UNLESS OTHERWISE U GRIP U’RSELF UPO???
  I LIKE SUCH PEOPLE LIKE BABA KOKU MBWENU BABAKOKU NISHABA UNIGAMBILE EMAANA YA KURAP WAITU.
  UBAKEISE BONA MAMA KOKU NA KOKU….KAMA HUJUI KIHAYA KAZI KWAKO….

 24. Hyke Says:

  Unajua we LISA you are so funny?Unafikiri $100,000 ni hela nyingi,hiyo ni change kwangu,I earn more than that in a month.I’m a young lady in my early 20’s,in the property and hotel businesses in TZ,UK,USA,DUBAI so that does not make me dumb,that’s why I wrote that comment.And I think its you that is going to work the rest of ur life and not even get close to that kind of money.Nobody is stopping him to party lakini asipoangalia yatamkuta kama ya Mwisho Mwampamba.Tatizo sisi wabongo tunafikiri kujirusha all the time ni kwenda na wakati.We unafikiri kina Oprah,Bill Gates wangekuwa wanajirusha wangekuwa walipo sasa!!!!!You know I would really love to meet you LISA when I’m in Dar then you’ll see what I mean.

 25. Baba Koku Says:

  Matty,
  I unfortunately don’t speak Kihaya! But I could decipher what you are saying…. OK..
  According to law, a person who is unconscious (passed out), or incapacitated, whether from alcohol, drugs, or illness, cannot give consent to sex. Therefore, if sexual contact occurs, it is sexual assault. To engage in sexual activity with someone who is under the influence of alcohol or drugs simply is against the law.
  So… Before I jump into the Sack with mama Koku, unfortunately is not my wife, I have go the get the green light! I would be otherwise raping her!
  @Maya65, If you saw the whole footage, ungeona kwamba offuneka hata kutembea alikua hawezi… Alibebwa mpaka kitandani

 26. KakaTrio Says:

  Baba koku tafazali naomba unambie hiyo sheria umeikopi wapi na ni ya nchi gani, mkuu naomba unipee hizo section na vipingili vyako.

 27. Baba Koku Says:

  Kaka Trio.. RSA …and happy researching!

 28. maya65 Says:

  Mimi naona kwa mtaji huu Baba Koku huna point, hebu nikupe somo kidogo tu.. …mimi naona kama kufanya mapenzi au kuji engage in any sexual act na mtu alie katika infruence of alcohol ni kosa basi naona hapo Bongo wangefungwa watu wote!!!!!!
  hebu ona hayo mabaa yanavyojaa kila siku na asilimia kubwa ya wanaume wakitoka baa au disco huondoka na changudoa au akina mama poa, na wote hao huwa in alcohol influence na wakifika home au guest house ni Ngono kwa kwenda mbele!!!!
  naona kwa sababu ulizotoa wabongo wote wangeishia Keko!!!!!! mnaonaje wadau?

 29. Baba Koku Says:

  Maya65… Ngoja nikupe somo la kusoma .. Soma vizuri “a person who is unconscious (passed out), or incapacitated, whether from alcohol, drugs, or illness…. “… the Key words are unconcoious or incapacitated due to… OK, be you a man, woman,animal or insect… You wake up from an operation in Muhimbili and your anus is in pain (P.S: The operation was on your head…Remember?) .. Is it rape or just another OK night out with Richard?… Think about it…

 30. Champion Says:

  Man.. Kinje, Keep away from Loosers like that!

 31. maya65 Says:

  Is it true that ofuneka was unconcious when richard fingered her puss? when i saw the video,richard was sleeping with Tatiana and ofuneka, and he was on the middle of them, while richard holding tatiana ,ofuneka was busy kicking and touching Richard!!!! was she unconcious in that time?????upo hapo B koku?

 32. Matty Says:

  Baba Koku, there was no rap there and thanks Maya65 Ofuneka was kicking around the goal so what do u think Richard would do???the action was to insert…..i can’t agree any more that Richard RAP sorry!!!!!!labda Ofuneka Rap!!!

 33. Baba Koku Says:

  @Maya65, Matty… That is why I am convinced that you did not see the whole debacle… Prior to that Offuneka was passed out after some serious puking! Richard put his hand under the blanket and started fingering Offuneka…Offu was in such a state she did not even know where she was… She could have been in her boyfriends bed in the middle of the night as far as she was concerned!.. Her reaction to the fingering is irrelevant here… The point is, she did not consent to having fingers in her….! She ws not in a possiton to say yes or no. That is the issue of central importance here!

 34. maya65 Says:

  if you are really a man, you cannot wait for a woman to say “yes” or “no”…. you can just judge according to her behaviour!!!!!!!
  sasa hebu nambie wanawake wa kisukuma au kihehe kama hujapiga” ngwala” au” mtama” bado hujampata!!!!!Na usipofanya hivyo Atawahadithia wenzake kama wewe “si mwanaume wa shoka” haahaahaaa upo hapo? huku ni Afrika na sio huko ughaibuni….kalagabaho!!!!!

 35. Baba Koku Says:

  Maya65, Dunia yetu ina ustaarabu siku hizi. Siku za kupigwa ngwala zilisha zamani.. Hata bibi yangu marehemu hakupitia unyama unaoutetea hapo juu.. Sidhani hata dada yangu mmoja kijijini atakubali kwamba mwanaume asiye mpiga ngwala sio mwanaume wa “shoka”! Samahani, likini umepitiwa na muda
  As a man (I think you are one too, going on your view up there?… your name implies otherwise…), I pride myself in letting a woman making an advance as well… a subtle.. a “yes”?! . so the understanding is mutual.. Nadhani kwako, mwanamke akipanda gari lako ameisha kubali kukupa zana?
  So, yes, I am a man who waits for a “yes” or “no”…
  Lushindo lwako…

 36. maya65 Says:

  mhhh…sina neno tumalize mjadala….

 37. Matty Says:

  Mh!Maya65 bora tumalize kweli mjadala maana baba koku hakubali kushindwa, thanks baba koku hebu twendeni kwenye mjadala kuhusu miss Tanzania Richa Adhia jamani watu wanamtetea kwa kushindwa.
  have a nice day all!!


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s