BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

MTANZANIA ATWAA UBINGWA WA DUNIA. November, 27, 2007

Filed under: Michezo,Tanzania/Zanzibar — bongocelebrity @ 12:20 PM
Tags: , ,

 

Bondia wa Tanzania,Japhet Kaseba (kulia) ambaye ni bingwa wa mabara, jumamosi iliyopita aliibuka bingwa wa dunia (WKL) katika mchezo wa kickboxing baada ya kumtwanga bondia kutoka India,Abhijeet Pektar (kushoto) katika raundi ya kwanza,ambapo pambano hilo lilikuwa la raundi tano lililofanyika ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar-es-salaam.BC inaungana na watanzania wote katika kumpa pongezi Japhet Kaseba.

Picha na habari hii kwa hisani ya MichuziJR.Picha ilipigwa ukumbi wa Maelezo jijini Dar siku moja kabla ya pambano wakati wakitambulishwa kwa waandishi wa habari huku kila mmoja akijinadi kumshinda mwenzie.

Advertisements
 

7 Responses to “MTANZANIA ATWAA UBINGWA WA DUNIA.”

 1. TanzanianDream Says:

  Atleast tunastahili kumpongeza sio kupongeza wapuuzi wanaoenda kukaa uchi kwa watu wakati ni wazee na wako timamu………..

 2. Kimori Says:

  Congratulations…a good representation of the country!

 3. RIKAN Says:

  arif huyo kaseba ni mchawi hakuna cha ufundi wala nini!!!!! yani kamgusa tu kidogo mhindi wa watu kashindwa nyanyuka!!!!!! huyo mganga atafutiwe taifa stars jamani!!!!!!!!!

 4. Dinah Says:

  Hongera sana Kaseba, Sherehe ya kupengezwa tafadhali…..AWU?

 5. chichi Says:

  Haya Mbese naona unawaua.
  Classmate Muhimbili ly89

 6. TanzanianDream Says:

  hhehehe tatizo Rikan wewe ni mhindi wa Tanzania na bora umejitokeza maana watu wanaanza kuona sasa Richa yupoje…wewe badala ya kumbeba mbongo unaanza kuleta uchawi…Mhindi anakula paratha na magi peke yake unategemea atakuwa na nguvu gani????


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s