BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

KWA PAMOJA WANAITWA NYUKI DJz. November, 28, 2007

Filed under: Burudani,DJs,Muziki,Watangazaji — bongocelebrity @ 12:05 AM

 

Tumewahi kusema siku za nyuma kwamba tofauti moja kubwa baina ya watangazaji wa radioni na wale wa kwenye luninga ni kwamba hawa wa kundi la pili huwa tunapata nafasi ya kuziona sura zao mara kwa mara.Wakati mwingine hata kila siku ikiwezekana kutegemea na kile anachokifanya mtangazaji huyo wa televisheni.

Hali hiyo ndiyo inayosababisha muendelezo fulani wa uhusiano (mtangazaji na msikilizaji) pindi ikitokea ukakutana nao mitaani au katika shughuli fulani au japo kuwaona katika picha kama unavyoweza leo kuwaona kundi hili la Djs wa Clouds FM ambao kwa pamoja wanajulikana kama Nyuki DJz.

Kutoka kushoto waliochuchumaa/kaa ni Steve B,Dj Too Shot,Dj Fetty,Mully B,na waliosimama toka kulia ni Pitter Moo,DJ Venture pamoja na Dj Nelly.

Picha kwa hisani ya MichuziJR.

Advertisements
 

22 Responses to “KWA PAMOJA WANAITWA NYUKI DJz.”

 1. ANNA ULOMI Says:

  Hi,
  I like your work.Big up!!!!!!!!
  Good luck.

 2. Jasmine Says:

  Dj Fetty u rock my world, i really appreciate your work and luv u soo much!

 3. trii Says:

  heee mi nilijua ma jd wenyewe ni watu wazima sauti nene kumbe ni yakii tuu,big up kazi nzuri.

  trii

 4. Zabibu Khassim Says:

  Acha umbea. Mbona mambo yanayo kuhusu wewe huyasemi hadharani?

 5. Kimori Says:

  BC Editor,

  We have completely diverted the topic…we are very sorry for that and we owe you an apology!….I think this is simply because most of us have no any other platform to air our views.

  I sometimes wonder when I read such news and tend to believe and agree with Dr Watson, who recently disclosed that the blacks have a lower IQ as compared to ither races!

  I am being convinced that there is something wrong with our African minds. As the “father of internet” Dr. Philip Emeagweli from Nigeria puts it, “Unless Africa significantly increases its intellectual capital, the continent will remain irrelevant in the 21st century and even beyond, Africa needs inventors, producers of knowledge, and wise men and women who can discover, propose and then implement progressive ideas.”

  Let’s all think about it!

 6. asaki Says:

  uyo pitter mooo mbona amekaa kama anaogopa kameraa? mambo ya tv ataweza kweli?

 7. sinzia Says:

  Pic ipo cool…..wamependeza….BC tunaomba utuletee boss wao ili tuone kama anaweza kusikiliza kilio chetu cha kuomba kuisikia 88.4 fm kwenye internet…..tuliombali tunakosa sana mavituuuuz yao. BC fanya hima please!!!

 8. harpervalley Says:

  hello! just doing as you suggest, jeff, and saying hi. i will guess that the picture is of a music group. Yes?

 9. Pope Says:

  BC unamsikia Sinzia, kama utampa maswali sisitiza sana hilo la kusikika kwenye Mtandao. wakitaka waseme tuwape Technoly rahisi na effective.

 10. P.K. Says:

  Wanaroga sana…. washikaji… big ups three times!

 11. Edwin Ndaki Says:

  Inapendeza sana kazi yao ni nzuri sana.

  Ila CHANGAMOTO waliyo nayo ni kuwa “FAIR” kwa wasanii wote.

  Kuna kijitabia cha baadhi ya MADJs hapo tz wanatabia ya kukomalia RUSHWA.Yaani usipompatia chapaa basi kaa ukijuia ZE SONGI IZI GOINGI kapuni.

  Wanatabia wanasema CD inateleza kama haina noti ya kushikia hivyo inaweza kudondoka.

  Kuna baadhi ya wasanii hawa wa “KWENYE MAA..NDAKI..”UNDERGROUND wana nyimbo nzuri tu ila wanakuwa wanabaniwa.

  Ila wale wenye majina yaani hata kama wataimba utumbo lazima waupambe mpaka jamii ihisi ni mzuri.

  All in all kazi njema..Tutafika tu.

 12. babu Says:

  RUSHWA ilizidi clouds ndo maana mully b na stevie b wamesimamishwa kwa ufisadi wao.

 13. fredy jackson Says:

  Edwin Ndaki,kauli yako ni kweli na ina maana sana ,maana hawa majamaa wa bongo fuleva hasa wale wa maanddakini wakiibuka kwenye mastudio yenu basi mnawakanddamizzaga kwenye makkapu yenu ehee,mwajemeni nyinyi hamuoni ni dhambi hiyo.RUSHWA HIYO BBWANA IMEOTA MAPPEMBE,greece-EC.

 14. Tonni Says:

  Kwakweli huo ni ukweli mtupu. Inabidi mdj wajue kazi yao, wasiwe bias, lakini tuangalie mbali kidogo kwa sasa rushwa ya nyumbani imezidi mno kila kitu mpaka watoto wadogo…wamjiingiza kwenye rusha, tutafika kweli???

 15. Pope Says:

  WANALIPWA BEI GANI???? SYSTEM YENEWE IKO CORRUPT. DJ ANAKAA GONGOLA MBOTO MWISHO WA LAMI AU KITUNDA ANATAKIWA AWAHI KIPINDI ANAGOMBEA DALADALA NA MFUKONI HANA KITU, WHAT NEXT?

  Wabillah Tawfiq

 16. Keroro Says:

  Amaaaaa… Kumbe…

 17. Tru tru tru.

  It looks and feels all good but how much does the “celebrity” Dj really get in Bongo ??? Clouds gets all the glory. They (clouds) dont take care of their people.

  All great things will surely come to an end one day.

 18. the ududu Says:

  usupastar bongo tabu …wote ukiwafuatilia wanashindwa kumudu maisha watu wanayofikiri wanayo …mabosi zao tunaomba muwajali kama mnavyojijali sio nyinyi mnasukuma mikoko ya maana wao hawana kitu…kazi nzuri wanafanya basi muwawezeshe mkisema Mully B basi Mully B kweli kimaisha…big up brothers and sista. luv yu….

 19. Msee Says:

  Ni hatari hawa vijana

 20. haha, namkumbuka Pitter Moo alikuwa DJ wetu katika disco na Kilakala enzi hizo!!! Na tulikuwa tukitoroka shule kwenda disco Moro Hotel tunamkuta anashusha ngoma

 21. just saw this post niliimis siku za nyuma… kwanza nisema daaammmnnn!!! Dada fetty is fine!!! si mchezo. I am a big fan. Nilimwona kwanza katika sehemu fulanifulani sometime mwaka jana (2007) I was in Dar mitaa fulanifulani na anasifika kuwa ni disc jokey wa kipekee A. Mashariki. Kazi yake niliipenda na naomba nikiri hapa kuwa mvuta wake pia…. mmhhh.. mashallaahhh!!! 😀 LOL

 22. Tuga Jr. Says:

  Fetty nakuapprriciate ila smtym unachemka especially ukiwa on air na akina Mchomvu na B12. Hv kwanini mnatutambulishia ngoma za watu tunaowapenda then mnaamua kuzitia kupuni. hv ni kwa sababu hawa wanakuwa hawawapi mshiko au vipi? Poa tusiende mbali nikaonekana mchongaji. Why dont u play ule wimbo wa Chiku K, wa LA Familia? Hv ulikuwepo Fiesta ya Dom na ile ya Moshi? Fetty waambie akina Mchomvu, Ncha kali na B12 mkubaliane kuwa CHIKU ANAWEZA!! Its her time msaidieni asikike!


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s