BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

PICHA YA WIKI # 12 December, 2, 2007

Filed under: Photography/Picha,Tanzania/Zanzibar,utalii,Weekend Special — bongocelebrity @ 12:05 AM

 

Picha ya wiki hii ni kama unavyoiona hapo juu.Inaonyesha baadhi tu ya vivutio ambavyo nchi yetu inavyo!Pamoja na hayo,jambo moja ambalo ni muhimu serikali yetu ikazidi kuhimiza ni kuhusu utalii wa ndani (internal tourism) ili wananchi wa kawaida nao wapate nafasi ya kuwaona wanyama kama hao simba na vivutio vingine vya kitalii vilivyopo nchini mwetu.

Picha hii ni kwa hisani ya David Schenfeld ambayo aliipiga maeneo ya Arusha,Kaskazini mwa Tanzania December mwaka jana.

NB:Bado tunapokea picha kwa ajili ya zoezi hili la kila jumapili kupitia bongocelebrity at gmail.com.Karibuni!

Advertisements
 

2 Responses to “PICHA YA WIKI # 12”

  1. Jangala Says:

    Picha nzuri sana hii.Huyo simba anamtizama nini mwenzie?

  2. Mselema Says:

    Huyu Simba ametoka usingizini na sasa anajinyosha


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s