BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

BANANA NA RAY C December, 10, 2007

Filed under: Bongo Flava,Burudani,Muziki,Tuzo,Watu na Matukio — bongocelebrity @ 11:15 AM

 

Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Banana Zorro(kushoto) na Ray C(kulia) baada ya kutwaa tuzo za Kili Music Awards mwanzoni mwanzoni mwa mwaka huu (2007) unaoelekea ukingoni. Ray C alishinda tuzo ya Best Female Vocalist of the Year(mwimbaji bora wa kike) wakati Banana Zorro alishinda tuzo ya Best Male Vocalist of the Year (mwimbaji bora wa kiume) na hivyo kuwa msanii wa kwanza kutoka kwenye muziki ujulikanao kama Bongo Flava kushinda tuzo hiyo.Siku za nyuma tuzo hiyo imekuwa ikinyakuliwa na waimbaji wa bendi zaidi.

Tunapoelekea kuuaga mwaka wa 2007 BC itakuwa inakupa kumbukumbu za hapa na pale za matukio yaliyojiri mwaka huu wa 2007.

Advertisements
 

27 Responses to “BANANA NA RAY C”

 1. any Says:

  hawa ndugu nini? naona wana macho ya kudondoka.
  ray c ana mikono ya kizungum, mkorogooooooooooooooooooooooo

 2. PAMPULA Says:

  Mmmmm Ray C acha unga unakuharibu mwana, unaanza kuharibika sura wangu mpaka mwili! Mwanzo ulikuwa so natural na hukuwa unatumia mkorogo, sasa tangu ujue mkorogo umeharibika uzuri wako wa awali. Pia acha kutumia unga sauti yako siku hizi inasikika vibaya ile mbaya, mimi ni mpenzi wako ile mbaya ila unaanza kuniboa!

 3. Ray C mmm si mchezo ila umeanza kuzeeka!!

 4. mabig Says:

  RayC hee, mwaka huu tumekuona Jersey City ulikuwa mzuri sasa naona unakongoroka kwa kasi! umetoa mimba au unakula unga kweli, mweee mdada eeh nilipoona picha apo nilidhani ni yule BI CHAU wa CHEKA NA CTN kumbe wewe. na hiyo miwanja ya nini sasa, umezidisha.

 5. any Says:

  huyu mkaka ana features za ki GAY! ni mtazamo tu. kuanzia macho na mikono anavojiexpress. mh yangu macho.

 6. sibah Says:

  ray endelea na kipaji chako, god bless you

 7. amina Says:

  ray c libaya…nyie mnao sema huyu alikua mzuri lini?hamjui huyu ni madoido tu siyo zuri ila anajua kuvaa ndo kinachomsaidia ila mhhh baya

 8. asaki Says:

  acheni wivu nyie waosha vinywa ray c mzuri bwana she is sooooooooooooooooooooooooo sexy, anajua kuvaa msimsumbue mtoto wa watu. ebu nyie toeni sura zenu apa tuzione kama blog haijalipuka.

 9. Matty Says:

  Amina acha wivu wako, Ray C alikuwa mzuri zamani ni kweli, i can’t mention a year kabla hajaujua (maimartha’s oil) mkorogolakini shepu nzuri ya kike pia anayo, mimi ni msichana sina wivu sifa yake nampa.
  mhhhh.banana na wewe hebu oa utulie.

 10. Manka Says:

  Banana macho ndo nini kaa jamaniiiii!!!!!!!! Yani wanaume cku hizi kwa kurembua!!!!!!!! Tehe tehe!!!! Na wewe Ray C kula vizuri achana na kukeep figure na mkorogo uache he!!!!!!!!!!!!

 11. punani Says:

  possibly maana kuna siku niliona video yake moja karibia nitapike,nilikuwa namsikia zahir ally zorro nipokuja kumwona nikasikitika ingawa rumours kama hizo zingekuwa kweli tangu zamani hizo tungesha sikia. Lakini anarembua macho, analegeza sauti anajishebedua style yake ya nywele na mabangili meengi kwa mtu wa umri wake hutaacha kumdhania ni muanglikana. Waliokuwa naye jeshini watasema vizuri ila mwanaye yuko straight nimesha fanya naye kazi sana unless awe very discreet

 12. tom Says:

  Acheni hizo Ray C ni mzuri na ataendelea kuwa mzuri… na huyo Banana hayo macho mhh pengine alikuwa na usingizi!!!!!

 13. unknown Says:

  mbona mikono ya Ray c na uso ni tofauti?ukimuangalia vizuri utajua ni mkorogo.au labda soko limekuwa kubwa kwa watu weupe – cc weusi tulie tu

 14. maya65 Says:

  Hivi sisi binadamu (especially Waafrika) tuna matatizo gani? mtu anadiriki kusema eti furani ni mbaya!!! kwa upande wangu wangu naona binadamu wote ni sawa mbele ya mungu : masikini, kirema, mgonjwa wa akili, tajiri, wote wana haki sawa mbele ya mungu sasa kwa nini binadamu eti amwambie mwenzake “sura mbaya”? hebu niambieni binadamu ana thamani gani kama akifa? je mwenye sura nzuri akifa haozi?
  it is a shame on you human being!!! you dont love each other why?
  Utakuta binadamu anamuua binadamu mwenzake na kumpora simu ya mkononi na shs 20,000!!!!!
  yaani hata wanyama wanatushinda kwa upendo, simba hawezi kumuua simba mwenzake sana sana atamuuwa chui au nyati kama akiwa na njaa!!!!!
  Huyu binti Ray C nakumbuka alikataa kuwekwa picha yake kwenye internate, nakumbuka alisema haya kule kwa michizi kwa maana alijua kuna watu wasio na dini humu kwenye ma Blogs!!!!!!

 15. maya65 Says:

  samahani kukosea spell….alisema haya kule kwa MICHUZI BLOG

 16. unknown Says:

  The truth is that Ray C is very cute and i like her songs,lakini kwanini ajichubue kiasi hicho?mbona mrs.Gadna amebaki kuwa natural?na mbona hata hao African Americans hawajiharibu kiasi hicho? sasa yasijekuwa yale ya kina Richa kwamba katoka Mtanzania kwenda ku-perform nje anaonekana mzungu!!mambo gani hayo?kama hao waliotengeneza hiyo mikorogo wangekuwa wajanja,basi wangetengeneza hata ya mtu kuwa mweusi.

 17. tom Says:

  Hahaahaaa tunataka mikorogo ya mtu kuwa mweusi!!!
  huku japan kuna kundi la wasichana wanajipaka masizi waonekane kama watu weusi…watu weusi nao wanajichubua waonekane weupe…haahaahaaa mambo hayo..

 18. Mama wa Kichagga Says:

  Big up Ray C & Banana

  Kama kawaida yangu sipendagi binadamu wasiodhamini kazi na hisia za wenzao! Kazi kuwahukumu wenzenu tuu kila siku. Nyie mmefanya nini? Mbona hamjawahi na pengine hamtowahi kuwekwa hapa? Hivi wewe unayehukumu wenzio unafahamu ni zambi kubwa tena sana kumkatisha mwenzako tamaa kwa ajili ya chuki binafsi ama wivu? SIKU YA KIAMA UTAHUKUMIWA KWA DHAMBI HII.

  1. Kama kaka wa watu ndivyo Mungu alivyomuumba ni makosa? Jicho kapewa hata kama hulitaki
  2. Dada wa watu kaumbika na kakamilika
  3. Issue ya unga mara mkorogo is none sense here! Mwache mtu kama ni kweli afanye anachokitaka akikua ataacha mwenyewe! Pengine maneno yako ya kukatisha tamaa hapa ni mabaya kwa afya zao kulikoni hata na unga.
  4. Issue ya gay nayo is too personal! Hivi siku wakiamua kujitokeza hazarani utayaweka wapi macho yako walivyo wengi?

  Jamani someni vitabu na kuweni tayari kwa mabadiliko makubwa ya kiuchumi na kijamii.

  PLEASE STOP BEING TOO JUDGEMENTAL AND START DISCUSSING BIG CONSTRUCTIVE ISSUES

 19. KABEWA Says:

  Sina mengi zaidi ya hayo asanteni

 20. Matty Says:

  Kabewa my friend nawewe umeniangusha sasa mbona hukusema kitu au ur so tired????????

 21. queen Says:

  ama kweli binaadamu wapo wa aina nyingi.mfano ni hawa wanaokaa na kuacha shughuli zao zinazowahusu wao wanakaa na kushughulikia mambo ya watu wasiowahusu ndewe wala sikio!haya hawa watoto wa watu wamekosa nini hapa kuweka picha zao,haina maana muwakosoe, au muwatukane!hapa ilitakiwa muwapongeze vile wamekuwa washindi katika kazi zao ndio mada kuu.hayo mliyoyaongea,macho,sura mkorogo,blablaa kibao haziwahusu ni uhuru wake kufanya anachokitaka ili mradi havunji sheria.kama kuna hasara atakazozipata ni zake!hutamsaidia chochote.kuweni na nidhamu kwa wenzenu.

 22. Kekue Says:

  Queen pamoja na kuwapongeza inabidi pia wapatiwe ushauri, huwezi ukaona nimepata mafanikio alafu ninafanya hivyo sivyo alafu ukaniacha hapana utakuwa hujanisaidia chochote ma dia!!! Ray C ni mzuri tena sana lakini inabidi aachane na mkorogo na pia ale chakula vizuri mambo ya kujikondesha aachane nayo. atapendeza kuliko maelezo ana shepu nzuri mno lakini the way anavyojikondesha HAPANA!!!!

 23. any Says:

  ANAJIKODNESHA ILI ARUDIANE NA BIG BROTHER.

 24. EasyS Says:

  Nothing in life you’ll ever do that will please people, but the best thing in life is to be happy yourself. Be proud of what you do, and whatever you’ve achieved count it as a blessing, don’t let other people distract your mind. Ray & Banana you Rock!!

 25. Matty Says:

  Any unadhani anampango huo wa kurudiana na the end no no no !!!!!!!the end hana kitu tena na huyu dada du ni mtu wa makuu sasa what do you think kama watarudiana atamchuna kitu gani???????hapa dili ni kuacha mkorogo na kujiachia vilivyo na atakuwa bomba sana.

 26. any Says:

  apo kweli, ivi big bro wa zamani kafilisika? Pole zake

 27. BETY Says:

  Mbona mnakuwa wambeya sana. Ya kwenu yanawashinda kazi kufuatilia ya wenzenu. Huyu dada ni mzuri tu kwa sura pamoja na umbo.Kama nyie akina dada mnakuwa na wivu kwa wasichana wenzenu.Wote wanaosema ray c ni mbaya nyie kwanza hamna shepu wala nini utakuta sana sana nyie ni umbo namba 1au namba 9.Labda huyu mkaka aache kulembua vimacho yeye sio mwanamke atuachie sisi wanawake.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s