BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

NI NANI HUYU? December, 11, 2007

Filed under: Burudani,Muziki — bongocelebrity @ 12:05 AM

 

Leo tunaomba msaada kidogo wa wasomaji,watembeleaji na wachangiaji wetu katika kumtambua celebrity aliyepo pichani.Tunasikia aliwahi kutamba na bado anatamba katika anga za muziki Tanzania.Kama ni bongo flava au muziki wa dansi sisi hatujui.Tunaomba msaada wako.Ni nani huyu?Aliwahi kutamba na bendi zipi na sasa yupo na bendi gani?

Advertisements
 

14 Responses to “NI NANI HUYU?”

 1. Mr Tom Says:

  Huyu bila shaka yoyote ni Robert Hegah.Ni mwanamuziki mwimbaji aliyewahi kutamba na bendi za Mchinga sound na na zaidi sana ndani ya ukumbi wa Mango Garden pale Kinondoni akiwa na kundi zima la African Stars almaarufu Twanga Pepeta. Kwa kuwa sipo nyumbani Bongo kwa muda sasa,sina uhakika sana kwa sasa yuko bendi gani ingawa nina uhakika wa asilimia zaidi ya 100 kwamba hayupo Twanga kwa muda sasa.Unajua wanamuziki wetu wanahamahama sana.Kwa hiyo wakati mwingine ni vigumu kufuatilia waliko hususani mtu ukiwa nje ya nchi.Sijui kwa sasa yupo TOT??? Kwa kweli sina uhakika sana na hilo.Labda wadau mliopo nyumbani mnisaidie.

 2. mohamed Says:

  Ni Rogert Hega a.k.a CATAPILER

 3. paulina Says:

  ni Rogert Hega ‘cateppillar’,mwanzoni mwa 2000 alikuwa mchinga ilee ya kina muumini mwinjuma,halafu twanga pepeta,mchinga tena ile ya jamaa mrefu anaitwa nani sijui,then mchinga G8 under ali choki,sasa yuko TOT pamoja na watu wachache waliotoka G8,katuliaa sana jamaa hadi raha yani kwa ufupi akili inafanya kazi

 4. amina Says:

  Robert Hega na sasa alikua mching ajeneration na sijui kamam haijafa hiyo bendi

 5. Eustella Ndenje Says:

  Huyo ni Rogert Hegga “Catapila” Zamani alikuwa Mchinga Sound, harafu Twangapepeta then Mchinga tena, alipotoka hapo sina uhakika alienda wapi. Kwa ufupi namfagilia sana mwimbaji huyu wa muziki wa dansi ni mwanamuziki mtaratibu sana. Hongera kaka

 6. mum Says:

  Huyu anaitwa Rogert Hega katapila sijui kwa alisha kuwa mchinga sound, twanga pepeta sifahamu kwa sasa yuko wapi.

  Mum

 7. Angelina Says:

  for sure it is ROGART HEGGA aka catapila.

 8. Angelina Says:

  namkumbuka sana kwa wimbo ake matata wa ‘wazazi’ alipokua Mchinga sound.

 9. salama lema Says:

  HUYO BWANA ANA ITWA NANI NISAHIDIENI MNAJUA MIMI NIKO MBALI NA TANZANIA KWA HIYO SIJUI WATU WOTE WA DAR

 10. Edwin Ndaki Says:

  Kuuliza si ujinga.

  hivi ni Rogati,Rorget,Rogert,Rogaty….maana nahofia wengine wengine watasema YHOGARTI sasa hapo itakuwa balaaa..

  siku njema

 11. Mkerewe Says:

  we Salama nani amekuuliza wapi ulipo? Soma tena swali hapo juu. Au ndo kujidai upo Ughaibuni…

 12. JJ Says:

  Rogart Hega (Caterpillar)

  Fadhila za wazazi

 13. Pope Says:

  Rogert Hega Caterpillar AKA Mbayuwayu.
  Jamaa yupo na TOT kwa sasa pamoja na Rashid Mwezingo na Muumin tena, jamaa huwa anapendeza sana akiimba na Mwezingo “Kwaya Master” na Bad Bakule.
  Hii Machine bwana

  BC kama unaccho kibao cha FAdhila kwa wazazi wawekee wadau kama vipi sema nikupatie, kina ujumbe si mchezo.

 14. moody to the x Says:

  huyu rogat egar katapila kwajina la kisanii hiki kiumbe hatari sana kwa utunzi uliokwenda shule huyu mtu nikifaa kikali sana kilikua ndani twanga pepeta na nimingoni mwa wa wakali walioinua bendi ya twanga pepeta kwa tunzo hatari sana kisha aliamia mchinga sound hapo ndipo alipopungua kalali yake na kuanza kuzunguka miongoni mwa tunzo zake tamu ni kifa cha fathila kwa wazazi


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s