BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

AHMED AMASHA December, 13, 2007

Filed under: Michezo,Soka,Taifa Stars,Wachezaji — bongocelebrity @ 1:24 PM

Mojawapo ya majina yaliyovuma sana katika ulimwengu wa soka nchini Tanzania,hususani miaka ya themanini, ni lile la Ahmed Abdulthabit Amasha(pichani).Ahmed Amasha alikuwa ni beki wa kutumainiwa wa timu ya Yanga ya jijini Dar-es-salaam. Mwaka 1984 Amasha alichaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwaka.Hivi sasa anafundisha soka huko Oman akiwa kocha wa timu ya Seeb SC.

Picha kwa hisani ya Mroki.

Advertisements
 
16 Responses to “AHMED AMASHA”

 1. Kimori Says:

  yes, kumbe siku zimekwenda sana…mwaka 1980 kwenye mashindano ya UMISETA nakumbuka tulicheza na timu yao ya mkoa wa Tabora mie nikiwa kwenye timu ya Shinyanga tukiwa bado secondary school…Mwina Kagudguda uko wapi? mwenzetu naye kazeeka tayari lakini naona nguvu bado ipo…he was a good defender!

 2. any Says:

  kwani ni mtanzania, ana sura ya kigabacholi wale baba mwarabu mama mzaramo wa kariakoo.

 3. Edwin Ndaki Says:

  BC bado sijawaelewa.Mgesema hiyo timu ipo daraja la ngapi.

  Unaweza kukuta anafundisha timu ya daraja la 20(utani)

  samahani naomba mwenye kufahamu hiyo timu ipo daraja gai anistue.

  Huyo kocha ni kielelezo cha wataalam wetu waliokimbia nchi kutokana na urasimu mbalimbali na kuamua kwenda kuendeleza nci za wenzetu.

  Mfano madaktari kibao wapo zimbabwe wanapiga kazi baada ya kuona Bongo URASIMU kibao.

  wakati mwingine bora tufanye kazi zisizo na taalum viwanja kuliko kuwa CEO kwenye baadhi ya ofisi ze bongo.

  BC NASUBIRIA KWA HAMU DUDE LA KUANZIA WEEK END.ngoja niende job najua nikirudi kitu kitakuwa hewani.

  Ijumaaa najua ipo paleeeeeeeeeeeee paleeeeeeeeeeeeee

 4. Matty Says:

  Any hata mimi nadhani anaundugu na nanihii pale KariakooOOO langu jicho!

 5. any Says:

  Richa kenda kutuwakilisha miss tz tunabweka, huyu alikuwa sijui beka/defender mhh, wakamkubali, huyu si kakake richa tu jamani

 6. drwho Says:

  samahani naenda nje ya topic lakini pia ni vema kumjua MWANAKIJIJI AMBAYE AMEKUWA CELEBRITY WA BONGO-USA

  THE TRUE COLOURS OF MWANAKIJIJI (MKJJ)

  MKJJ Kwa nini mada ya waitwao ‘waliofanya mzaha’ ndo iwe na umuhimu katika masahili baina yako naye? Wewe Mwanakijiji na Mwakyembe mlijuaje kuwa maafisa wa Serikali ndio wamefanya mzaha au wameongopa na isiwe wengineo waliowasilisha taarifa mapema?
  HATIMAYE UZALENDO UMEKUSHINDA UMEANZA KUONYESHA RANGI ZAKO KAMILI KWA KUWAPIGA MKWARA WATUMISHI WA UMMA.

  Leo nakuondolea uvivu ewe ujiitaye MKJJ maana suala la KUJITAHIDI KUWACHANGANYA NA KUDANGANYA UMMA KUWA WEWE NI MWANAHARAKATI WA HAKI NA MAENDELEO KUTOKA KAMBI YA UPINZANI WAKATI SIYO NI UNAFIKI WA HALI YA JUU. Unatakiwa kufanya kazi ambayo kwayo umeajiriwa kwa kufuata maadili ya kazi yako kama walivyo wenzako wengi na si vinginevyo.

  Ndg.zangu Watanzania, mwanadamu ajiitaye Mwanakijiji Mtanzania aliyezaliwa 1953 huko Iringa (sitasema jina lake kamili) ni kiumbe mwenye majukumu, mitizamo na nia tofauti kabisa na yale anayoyaandika na kuyatangaza.
  Hakuna cha mgongano wa fikra wala cha kusoma alama za nyakati yeye ndiye damu ya chaka mpikaji wa mazingaombwe kupitia taaluma yake anayoitumia kwa utaalamu unaoonekana kuwa wa hali ya juu lakini sasa anaumbuka baada ya kukutana na ama wanaolingana naye au wanaomzidi.
  1.MKJJ yuko katika payroll (isiyo rasmi) ya Serikali yetu katika kazi ya usalama wa Taifa. Sio rasmi kwani ajira yake na majukumu yake hayafuati muundo wa kawaida(organogram) uliopo kitu ambacho kina utata hasa inapokuja katika uajibikaji wake na pia ulipwaji wa maslahi yake.
  2. MKJJ ni mhitimu wa shahada ya kwanza (BA in Political Science)- Tanzania na pia Shahada ya uzamili (MA in Mass Communication & Media Arts)- USA. Baadaye alifaulu vizuri sana mafunzo ya upelelezi (Intensive course in Nationalism & Espionage) – Cuba chini ya Mwalimu wake gwiji aliyempenda sana kwa jina Mosses Powel . Hii inaeleza sababu ya MKJJ kupewa nafasi ya kuwa muhudumu (Usher) mmojawapo katika mazishi ya Powell 22.01.2005. Alipelekwa pia Trinidad & Tobago kwa ajili ya mafunzo ya ukakamavu na ulinzi wa kujikinga chini ya kitivo cha Powell ambaye ndiye mwanzilishi wa mashambulizi ya Sanuces Ryu Jujutsu lakini bahati mbaya MKJJ hakuwa mzuri sana katika somo hili.
  MKJJ baada ya kushauriwa , alichagua kuendelea zaidi kubobea katika mbinu za kipepelezi za steganografia (steganography), Saitografia (Cytography) na Utafiti (Research) siraha zilizompa nafasi kupata mazoezi kwa njia ya vitendo katika Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Ministry of Defence).
  3. Kwa sasa MNKJJ anafanya kazi ya kunusa na kuwachanganya Watanzania kwa kuandika na kuongea kwa style ya kukandia Serikali kwa sana kupitia majamvi na majukwaa mbalimbali kama vile Jamboforums.com, (http://jamboforums.com/); Gumzo la Kijiji (www.phpbbcity.com/forum/baraza.html); KLH news (http://mwanakijiji.podomatic.com); habari Tanzania (http://www.habaritanzania.com); Blog.co.tz (http://www.blog.co.tz/profiles/Mwanakijiji/); Bongo5 (http://www.bongo5.com); Podomatic (http://www.podomatic.com/people/index/mwanakijiji); Bongo radio (http://www.bongoradio.com); Dar Young African (http://www.youngafrican.com) na magazeti mbalimbali yaliyo katika mtandao.
  Hutumia majina bandia kibao kama hilo la Mwanakijiji, Mkimbizi wa Kiuchumi, Madele wa Madilu, Lydia Ngosha n.k na idadi kubwa ya hayo majamvi anamoandika ya mtandaoni ni yeye anayeyamiliki ambayo mengi yake ni ya bure tu nay eye huonekana kuwa senior member mwenye nyota lukuki !
  Awapo mtatandaoni huungwa mkono mara kwa mara na wanachama wasiomtambua (kama vile akina Steve D ) na wale wanaomtambua kama vile akina Theleza Nesaa, Da- chemi na motto wa Mkulima au pia ajiitaye Katibu Tarafa na wengine wengi.
  4. Kwa kutumia utaalamu wake wa sanaa na fani ya uandishi na utangazaji, MKJJ anajificha ndani ya mbinu ya kijasusi ijulikanayo kama ‘The Italian Strategy of Tension with False Flag’. Ingawa ni mwanachama CCM lakini anapokuwa mtandaoni huvaa ngozi ya mbwa mwitu na kujiita Mkuu wa Taasisi ya Kitanzania ya Demokrasia, Maendeleo na Amani (TAKIDEMA). Kazi zake ni kama ifuatavyo:-
  a. Kuanzisha mada chokozi (provocative topics) zenye kuleta hisia kali akisukuma makombora kwenye Serikali ikiwa ni namna ya kuwachokoza wananchi ili mnapoanza kusema au kuandika basi yeye anachukuwa notisi zake na kuwakabidhi waliomtuma kwa ajili ya kurekebisha panapotakiwa haraka iwezekanavyo. Hadhira yake kusudiwa ni hasa Watanzania walioko nje na hususani wasomi ambao wanaweza kuleta upinzani. Wachache walimshtukia alipopinga kinamna kuruhu suala la Uraia wan chi mbili !! sababu iko wazi nayo ni “you are either with us or against us!’
  Nawahurumia wale wote ambao wamekuwa wakitoa maoni yao kwake kizembe na kwa uwazi bila kinga na au kupiga simu na pengine kutoa michango eti kwa ajili ya kuimalisha Podomatic yake ambayo aliahidi siku kibao kuwa itakuwa ni live radio live na itaunganishwa na Jump Tv k.m StarTV n.k. Mbinu atumiayo hapo ni ya kukufuatilia mienendo yako ulipo popote (surveillance) na kunasa maongezi au IP yako kupitia headers kama uko kwenye mailing list au unaandikiana naye emails n.k . Hapa hutumia kitu tukiitacho ‘wire tapping’. Katika KLH news hakuna cha eti ana msaidizi aitwaye Ngosha wala fundi mitambo ni yeye mwenyewe tu na vifaa kama one way voice link vitumiavyo FM radio broadcast na komputa yenye vikolombwezo vyake . Aidha yeyote aliyepiga simu kwake alishanaswa isipokuwa kama nawe uko protected! Kumbuka huyu ni mmoja wa wataalamu wachache ambao wanaweza kusoma maandishi yako na au kusikiliza sauti yako na wakakunyambulisha kisawasawa. Najua atajaribu sana kunitafuta lakini hata na mimi nimejiandaa sana kabla ya kupasua hili jipu.
  b. Pamoja na wenzake wanachunguza na kutoa mapendekezo yao juu ya utendaji wa watumishi mbalimbali wa ngazi za juu Serikalini, Mahakama na Jeshi, katika Bunge na pia ndani ya CCM. Kazi hii huifanya kwa kushirikiana na vijana wengine watano ambao wako nje na ndani ya nchi na wote ni makada damu wa CCM. Wawili ni waandishi wa habari hapa jijini Dar. Wengine wote hawana noma maana wanawajibika kama walivyotumwa kwa nia nzuri ya kuimalisha nidhamu kazini na huduma kwa wateja. MKJJ anaonekana yeye sasa kuwa kama ndiye mwamuzi na akiwa hakupendi hata kwa sababu zake binafsi atakusukia ajali. Mbaya zaidi amejisahau na kuanza kujadili pasipo aibu namna ya kujaza kila nafasi wazi za juu majukumu ambayo hakupewa. Alizizungumza sana juu ya Gavana BOT, IGP, Mkuu wa JW&JKT, Balozi Washington DC, Jaji Mkuu, Katibu Mkuu CCM, etc mpaka alipoitwa na kupewa warning ndio kesho yake akaandika katika Jambo forums eti amenyanyua mikono na amekubali sasa kujiunga na CCM. Maana yake ilikuwa anatoa mkwara kuwa hakika sasa anataka kujiunga na upinzani! Kumbuka anaishi chini ya ‘false flag’. Sasa ameanza tena juu ya Costech! Kosa jingine analolifanya ni kuwa eti yeye ni expert wa kila kitu kuanzia uchumi, siasa, sanaa, historia , elimu, utamaduni na hata fisikia ya kinyuklia? .k Ni mtu gani asiyekubali kutojua kitu Fulani au kusahihishwa hata siku moja???
  c. Amekuwa anawaita pia watu mbalimbali zaidi na kuwahoji kupitia KLH News. Kwa wastani mwanzoni aliifanya kazi yake kama alivyotumwa lakini sasa amelewa umaarufu na kuanza kupitiliza! Na mfano mzuri utaona kuwa siku hizi anajisahau sana. Anakula posho yake nzuri na kustarehe na anapogundua kuwa hajaposti chochote cha maana anakurupuka na mahojiano kama haya yaliyo chini ya kiwango chake na cha taaluma yake na tena kwa viashiria vya majibu anayotegemea!! MKJJ maelezo ya watumishi yanapogongana na taarifa walizo nazo tume si tiketi ya kusema kuwa hao Watumishi wa Serikali na Mashirika ya umma walisema uongo chini ya kiapo au eti wanafanya mzaa. Kwa nini pia msifikiri kuwa waliowapa taarifa mlizonazo mwanzoni ndio waongo ? Msianze kupiga watu mikwara baada ya kugundua kuwa wamelipua bomu! Mada yake ya awali iliyomgusa Seif haikuwa imeenda shule akaitwa na kuonywa kuwa watu watamshutukia ndio maana sasa tunaona anawaita akiwa Mrema , Zito n.k . Wapinzani wa kweli walio smart wameshamnasa . Kazi ya kuongea na wapinzani ni ya kutumia akili sana maana mbinu ni kuteka agenda zao na au kuwachanganya ili washughulike na ambayo hapo baadaye watagundua kuwa hayana uzito.

 7. drwho Says:

 8. drwho Says:

 9. drwho HUSSEIN Says:

  MKJJ baada ya kushauriwa , alichagua kuendelea zaidi kubobea katika mbinu za kipepelezi za steganografia (steganography), Saitografia (Cytography) na Utafiti

 10. drwho HUSSEIN Says:

  THE TRUE COLOURS OF MWANAKIJIJI (MKJJ) CONTT….

  (Research) siraha zilizompa nafasi kupata mazoezi kwa njia ya vitendo katika Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Ministry of Defence).

 11. drwho HUSSEIN Says:

 12. drwho HUSSEIN Says:

 13. drwho HUSSEIN Says:

 14. Rafiki Says:

  mbona haikusemwa jamaa ni mlemavu? si anatumia wheelchair au nayo ni cover tu ili tusijua jamaa ni ninja?

 15. ramadhan Says:

  Ahmed Amasha Couch wa SEEB

 16. Lily Victor Says:

  Nimefurahi sana kukuona kaka Amasha ukiwa na nguvu na afya njema!! Yuko wapi mamaa Shamim?? Mpe hi na watoto tumewamiss sana jamani

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s