BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

NANI AMESAHAU? December, 14, 2007

Filed under: Fashion,In Memory/Kumbukumbu,Sanaa/Maonyesho,Tanzania/Zanzibar,Urembo — bongocelebrity @ 11:19 AM

 

Mwaka ndio unayoyoma hivyo.Kama ulijiwekea malengo mwaka huu ulipoanza,basi wakati wa kutafakari jinsi gani uliyafikia au hukuyafikia ndio ushawadia. Kama hukufikia malengo fulani usikate tama.Jipange upya.Tizama mbele na sio nyuma.

Kama tulivyosema, mwaka unapoelekea ukingoni BC inapenda kukumbusha kumbusha kwa chati matukio muhimu muhimu katika ulimwengu wa celebrities wetu ya mwaka 2007. Nani ambaye hakupata habari za “mrembo asiye na nywele au mwenye kipara”? Flaviana Matata(pichani) alipoiwakilisha Tanzania katika mashindano ya urembo ya Miss Universe huko Mexico City mwezi Mei mwaka huu, aliacha gumzo na kuwa “balozi” mzuri wa Tanzania.

Mahojiano yetu na Flaviana mara baada ya uwakilishi ule unaweza kuyasoma kwa kubonyeza hapa.

Advertisements
 

7 Responses to “NANI AMESAHAU?”

 1. Edwin Ndaki Says:

  nimependa hilo vazi na rangi ya ngozi yake.

 2. manka Says:

  nikweli amependeza sana. hata mi nimependa hilo vazi si mchezo.

 3. Matty Says:

  She is african beauty and she looks cute, nice gown nice.

 4. Kekue Says:

  Aaww!!Nimependa rangi ya ngozi yake na yeye mwenyewe yani yuko natural he bwana!!!

 5. unknown Says:

  she’s pretty with her smile. Sasa Richa alitolewa wapi? Peple should learn how to do thing and who to do it.

 6. vurugu Says:

  Black Beuty

 7. Mia Says:

  Flaviana ni mzuri sana na ni heri amewakilisha nchi yetu kwenye mashindano ya uzuri!Ila Flaviana inabidi aelewe kuwa wakati wazungu wanarangi tofauti za macho na nywele sisi tuna uweusi wa aina nyingi kuanzia rangi yake yeye mpaka rangi ya raisi wetu.Si wote wanajibabua.
  Kila la heri ktk maendeleo ya maisha yako Flavi.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s