BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

MATATIZO YA “UKE WENZA” January, 4, 2008

Filed under: Burudani,Muziki,Weekend Special,Zilipendwa — bongocelebrity @ 12:10 AM

Ijumaa ya kwanza ya mwaka 2008 ndio hii.Mwaka 2008 ndio ushaanza mbio zake.Ni wazi kwamba ushawahi kusikia visa mbalimbali vya “uke wenza”.Wengine wanasema utaratibu huo wa maisha ushapitwa na wakati.Watetezi wanasema utaratibu huo bado una uhalisi kwani siku hizi badala ya kuwa na wake zaidi ya mmoja halali, watu wengi wanazo “nyumba ndogo” badala yake. Ngoma droo!

Lakini kumbe hata huo utaratibu wa “uke wenza” nao una matatizo yake. Wasikie DDC Mlimani Park( Wana Sikinde Ngoma ya Ukae au Nginde kama wanavyowaita mashabiki wao) katika wimbo huu Matatizo ya Uke Wenza. Pata burudani.Ijumaa Njema.

Advertisements
 

4 Responses to “MATATIZO YA “UKE WENZA””

 1. Edwin Ndaki Says:

  Mwendo ule ule BC…

  Ijumaa ipo paleeeeeeeeee paleeeeeeeee

  Ya kale kweli ni dhahabu….

 2. Matty Says:

  Du!!!!!!!kazi sana naamini hivyo sababu nishawahi kushuhudia mtu anammwagia maji ya moto mke mwenzie sasa sikwambii mtu akibaini kuwa mmewe ananyumba ndogo sijui kama patatosha.

 3. Upendo Furaha Says:

  Ama kweli ni Uumbaji wa Mungu.
  Mwanamume kiasili ni mtu wa Mitaala (Polygamy) yaani hawezi akatosheka na mke mmoja.
  Kwetu sisi Waafrika ndio usiseme, Wazungu walituletea utamaduni wao wa kuoa mke mmoja wakasingizia dini.
  Lakini hata wanaoruhusiwa na dini kuoa mke zaidi ya Mmoja bado wana “Nyumba Ndogo”.
  Kuna Mhindi mmoja tajiri (Indian Sex Guru) aliyekuwa anaishi visiwani Siberia, ambaye alijaribu kufanya suala la ngono kuwa huru (yaani hakuna haja ya mtu kuwa na mke au kuwa na mume utakaye kutananae ni saizi yako) lakini hakufanikiwa maana Yeye na Wafuasi wake UKIMWI uliwachukua.
  Hivyo ndugu zangu suala la uke wenza, vimada nakadhalika ni jambo gumu sana kuliondoa katika Jamii ya Ulimwengu huu. Hivyo basi tumwachie Muumba mwenyewe.

 4. DUNDA GALDEN Says:

  OLD IS NAIL ALWYS BIG UP
  LAKINI KWA NINI WENYE MAJINA YA RAMADHANI TUNAZUNGUMZIWA SANA?POLENI WAJINA WENZANGU NINAO MARAFIKI ZANGU WENYE MAJINA YA RAMA MOTO NILIFIKILI NI WA BONGO LAKINI HUYU WA BOSWANA KAZIDI MPAKA SHEMEJI KAMUANDIKA KWENYE GAZETI NA VIKAO TULIKAA WAPI
  Na chafosa chai goda(Darwin)


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s