BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

UNAMKUMBUKA HUYU? January, 5, 2008

Filed under: Uncategorized — bongocelebrity @ 12:11 AM

 

Unamkumbuka celebrity huyu? Yuko wapi siku hizi?

Advertisements
 

9 Responses to “UNAMKUMBUKA HUYU?”

 1. WIFE Says:

  Huyo karagwe anachuma kahawa siku hizi

 2. wakunyumba Says:

  Tunamkumbuka sana si saida karoli huyu? kama sio basi shangazi yake, ya kwamba yuko wapi mimi kama mimi sijui ila mara ya mwisho alikua anaishi mikocheni ile ya warioba karibu na kanisa la Rc nasikia amehama, kazi ilikua kuchukua serengeti boys basi, halafu na yeye mbona kajikoboa hivyo wakati alikua mzuri sana wakati anaanza kuimba nyimbo zake,

  au ndio ustaaaaaa umemfanya aharibu rangi yake aliyotoka nayo sijui kanyigo au wapi atajua mwenyewe,

  ila katika waimbaji niliokuwa nawazimia huyu dada alikua namba moja, lakini sasa hivi nooooo. amejiharibu sana, amekua hana MVUTO kama zamani. Namtakia kila kheri katika kazi zake kama anaendelea nazo japo sijackia nyimbo mpya.

 3. Matty Says:

  Huyu dada BC anaitwa Saida Karoli duuu!!!sijui yuko wapi ila mdada anasauti nzuri na anajua (kuchenkula)kucheza hasa ngoma za kihaya.

 4. john mhozya Says:

  She is saida Karoli,I donĀ“t know her whereabout at the the moment but during her time,i enjoyed much her songs.Infact,she also knows well how to play the same

 5. Upendo Furaha Says:

  Anaitwa Saida Karoli.
  Ni Muimbaji mwenye sauti nzuri sana yenye mvuto. Ninamtakia kila la heri huko aliko, na pia Mungu amwezeshe aweze kuendeleza kipaji chake cha kuimba, sio tu kwa lugha ya Kihaya bali pia kwa lugha ya Kiswahili na Kiingereza.
  Mungu mbariki Saida Karoli, Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Afrika, Mungu bariki Ulimwengu wote. Amen.

 6. Edwin Ndaki Says:

  Afande sele aliimba kwenye wimbo wake wa DARUBINI..

  huu ndio wakati wa kumuuliza Saida karoli..ALIPONYOSHA MIGUU WAKATI BLAMKETI NI FUPI..kaumwa na mbu nini?

  Kila la kheri ulipo..karibu tena kwenye game mama

 7. maya65 Says:

  mhh kama ni saida karoli mbona bado yuko katika chat wala hajatoweka katika fani, nakumbuka kuna wimbo wake ndombolo ya solo alioutoa hivi karibuni!!!
  big up ma girl!!!

 8. saliath Shabani Says:

  mhh kama ni saida karoli mbona bado yuko katika chat wala hajatoweka katika fani, na ninamfahamu anatokea kwetu Bukoba namfagilia sana ila kwa sasa sijui yuko wapi. Ninamtakia kila la kheri.

 9. shally Says:

  alikuwa nairobi huyo muda si mrefu anaimba sasa hivi mpaka kiarabu


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s