BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

KIKWETE NA BAN KI-MOON February, 1, 2008

Filed under: Serikali/Uongozi,Tanzania/Zanzibar — bongocelebrity @ 9:38 AM

 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete,Mwenyekiti mpya wa Umoja wa Afrika(AU) akiwa mazungumzoni na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,Ban Ki-Moon(kushoto) jijini Addis Ababa nchini Ethiopia muda mfupi baada ya kuchaguliwa kwake kuwa mwenyekiti mpya.Ban Ki Moon alimpongeza Rais Kikwete kwa kuchaguliwa kwake.

Picha na Freddy Maro

Advertisements
 

3 Responses to “KIKWETE NA BAN KI-MOON”

 1. Upendo Furaha Amani Says:

  Big up JK, Wewe ni Rais wa Afrika. (au Nyerere the II)

 2. Mama wa Kichagga Says:

  JK

  Hongera sana kwa uteuzi wako huu. Hakika jina la Tanzania linazidi kuwepo katika ramani ya Dunia kwani nje ya Africa watu wengi hawaifahamu Tanzania.

  Nina imani kubwa utafanya kazi nzuri katika Bara letu la Africa ili wote tuwe na amani.

  Pia naamini kuwa unaowatendaji shupavu ndani na nje ya serikali ya kutenda kazi zako. Yaani ni kama vile “TMK”, “KIKISHUKA KITU, KINAPANDA KITU”.

  Nathubutu kusema najivunia nafasi hii tuliopewa Taifa letu la Tanzania na Mungu atatujalia tutende yale yanayompendeza.

  Wito wangu kwako, “ONGEZA SAFARI ZA NDANI NA NJE YA NCHI ILI KUJIFUNZA UZOEFU NA KUPATA EXPOSURE YA WENZETU WANATENDAJE MAMBO ILI TUJE KUSONGA MBELE”. Ila ukubwa wa msafara na muda please!

 3. Matty Says:

  qWIIIIIINKOQ sijui hapa JK na huyu ndugu wanaelewana??oppssss sorry nilisahau kumbe hata kidhungu/kiswanglish huyu mdhee kinapanda.
  Sawa sawa Taifa la Tz litazidi kujulikana kiaina maana wenye nazo watataka waje wapaone anapotokea new chairman wa AU, KARIBUNI WAWEKEZAJI MKIJA MJUE KABISA MISHAHARA YA WAFANYAKAZI INAANZIA 150,000/-KUENDELEA HAKUNA VYA CHINI YA LAKI TUMECHOKA!!!!!!


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s