BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

THE FLAVOUR OF “TUKU” February, 2, 2008

Filed under: African Pride,Burudani,Muziki,Watu na Matukio,Weekend Special — bongocelebrity @ 11:04 AM
Oliver “Tuku” Mtukudzi akifanya vitu vyake jukwani jana ndani ya Hotel ya Movenpik jijini Dar-es-salaam.Ilikuwa patashika nguo kuchanika kwa jinsi ambavyo “Tuku” alizikonga nyoyo za waliohudhuria.
Baadhi ya wapenzi wa muziki waliohudhuria concert ya Oliver”Tuku” Mtukudzi jana usiku ndani ya Movenpik Hotel(zamani Royal Palm) jijini Dar-es-salaam.Picha zote kwa hisani ya MichuziJR.
Advertisements
 

3 Responses to “THE FLAVOUR OF “TUKU””

  1. mo Says:

    BC, huyo dada wa kwanza aliyevaa nguo nyeusi na nywele ndefu hapo kwenye mapaja ameweka nini? je key holder auki paketi cha konyagi a.k.a kiroba au!!!!!!!!!

  2. ugele Says:

    mtandao huuo ndugu, waomuahidi kuwa nae bado hawajakuja

  3. ugele Says:

    zaidi musik mkali sana, ahsante weewew


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s