BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

WANAUME HALISI NA MWAKA MMOJA February, 2, 2008

Filed under: Bongo Flava,Muziki,Watu na Matukio — bongocelebrity @ 10:53 AM

 

Juma Nature,msanii kutoka kundi la Wanaume Halisi lenye maskani yake wilayani Temeke jijini Dar-es-salaam akikata keki wakati kundi hilo liliposheherekea kutimiza mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake.Picha zaidi za tukio hili zinapatikana kwa kubonyeza hapa.Kila la kheri.

Advertisements
 

7 Responses to “WANAUME HALISI NA MWAKA MMOJA”

 1. SHABIKI WAKO Says:

  JN na kundi lako hongereni kwa kutimiza mwaka.
  Hata hivyo siachi kuwashauri yaliyo mema kuwa muachane na kujidhuru waziwazi kwa kuvuta moshi wenye sumu kali ya Bhangi au injaga au jani au ganja call it whatever! (si suala la kusimuliwa nilisha wakatalia wakati mneniomba niwanunulie kabla la onesho lenu).

  Injaga haiwaongezee umaarufu wowote wala usanifu wowote katika kazi yenu ya sanaa. Angalia hata kiwango chako kinashuka kwa kuanza kuona aibu kusimama mbele ya kadamnasi ugonjwa wa awali uitwao Lalophobia uliosababishwa na hilo jani. Kitakachofuata ni kuanza kutetemeka na kulia jukwaani badala ya kushusha mistari yenye vina.

 2. Dar-Hotwired Says:

  We gave this guy a very very big chance and he blew it. TID was ready and he took it.

  Some of these young artists have no idea of how big they can make it in the music business.

  Wakati mwingine, chance hua inakuja mara moja tu. Nway, @ least mmetimiza mwaka moja. Lets wait for the 2nd birthday.

  Bongo UK.

 3. Pope Says:

  We Juma wewe huna hata siku moja ukavaa formal?
  haya bwana kila la heri na kundi lako twawatakieni heri.

 4. asaki Says:

  HAWA NAO WACHAFUUUUUUUUUUUUUUU ONA KAKEKI KAMECHOKAAAA EBU KUWENI SMART BWANA KUVAA HAMJUI, YAANI

 5. Edwin Ndaki Says:

  Necha huo utamaduni wa keki kwetu Tmk mbona unatuleta mambo ya watoto wa kotazi..sisi watoto wa uswazi hayo hatuyajui.

  Hapo bweche na fupa ilikuwa inatosha sana na gambe kwa pembeni.Pini linawekwa juu.

  Sa inakuwaje mbona shem Pili hatumuoni au yeye hana mchango kwenye mafanikio yako na kundi?

  Ene wei..tupo pamoja watu wangu…kuku kuku jogoo jina tu.

  Kamueni kwa kwenda mbele.Mavazi yenu yapo njema huku kwetu uswazi yanatosha sana.Hao wanatoka kuona mavazi wanafikiri hiyo ni show na mitindo ya mavazi.

  Kuna show ya pili pili Moven pick..itapendeza kwenda kuangalia mavazi.

 6. Cindy Says:

  Huyu ANANIBOA HAYUPO SMART KABISAAA HEBU ONA AAAAAH JAMANI AMEZIDISHA BANA !!!ANAONEKANA 24/7 day amechokaa

 7. wakunyumba Says:

  duuuuuuu, inatosha wandugu, mmewachamba mno ndio wako hivyo hawawezi kubadilika tena leo uzeeni, cha muhimu kazi zao wanafanya vizuri na zinaelimisha,


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s