BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

CCM IS 31! February, 3, 2008

Filed under: Serikali/Uongozi,Siasa,Sikukuu,Tanzania/Zanzibar,Watu na Matukio — bongocelebrity @ 1:53 PM

 

Pichani ni Mama Salma Kikwete(kushoto) na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Shadya Karume wakati wa sherehe za miaka 31 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi CCM huko uwanja wa michezo Gombani-Pemba leo.Chama Cha Mapinduzi kilizaliwa rasmi tarehe 5 Februari mwaka 1977 kufuatia muungano wa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro Shiraz Party (ASP) chama kilichokuwa kinatawala visiwani enzi hizo.

Picha kwa msaada wa Issa Michuzi.

Advertisements
 

24 Responses to “CCM IS 31!”

 1. Chris Says:

  Huyu Mama Kikwete anaeza pasuka asipoangalia. Hv hana mshauri wa afya hususani kwenye mambo ya misosi? Anashindana na Mkapa? Huo si mwili naona unazidi tuuu..

 2. Askofu Says:

  First ladies Oyeeeee!!!!!!!

 3. Pope Says:

  Msema kweli mpenzi wa Allah, Mama anapendeza sana na Mitindo ya nguo zake!!!!
  Na hizo nguo zinataka mwili huyu si mnene wa kutisha Mdau bwana!

 4. Joyce Says:

  Mie pamba zake tu jaman kila siku zinaniacha hoi na anavyong’ara weeee

 5. Ngaugu Says:

  Mama Kikwete kapendeza kama nini.

 6. Kijana Says:

  ni kweli anajua kuchagua na mashono yake pia yako bomba ,pia rangui yake ni nzuri ,sasa hapo mmeendelee kukodolea macho mpaka udenda uwatoke .ila mama kweli ni fist ladyeeeeeeeeeee au mwasemaje wajameni

  Nawakilisha tu

 7. Nesta tosha Says:

  Namfagilia mama kikwete

 8. Kekue Says:

  Huyu mama sijui atavaa nini asipendeze!!! Du!!! Kila nguo nayo muona nayo kapendeza!! Cheki hicho kilemba alivyofunga very simple lakini du!! aya mama asante!!!

 9. ziko Says:

  mama kikwete ametoka bomba hapo.

 10. zena Says:

  kalagabaho amekosekana hapo atulie kama wenzake hapo.

 11. Herman Ngonyani Says:

  So BC wewe unataka watu waongee kuhusu mavazi tu, wakiongea constructive issues hutaki,tutafika kwa mtaji huu?

  Me nadhani ifike mahali ukweli usemwe tu vile ulivyo ili mradi hakuna matusi. Sasa sijui utaibania na hii maskini? Anyway, you are the owner,decide whatever pleases you.

 12. Matty Says:

  Bc sawa!!!!umebania comment yangu mama kapendeza ni hapo tu, na naomba siku nyingine utuwekee na mama Lucy kibaki hapa!

 13. mdau Says:

  kweli mama anajua kuvaa na kupenda ila tatizo ni kichwa chake, nadhani ni mtu mgumu kujifunza. hajui kusoma hotuba wala kuongea kwa imla ndo kabisaaa, kwa kweli huwa ni ngumu kuandaa makala yoyote inayomuhusu manake utaedit hata mara 100 na bado inatoka mbaya. kweli mungu hakupi vyote! umependeza first lady nakufagilia kwa pamba tu ila kukusikiliza siwezi.

 14. Mr. Upendo Furaha Amani Says:

  Du! Mdau:
  Ki protokali Mama wa kwanza haandai hotuba yeye, ila inaandaliwa na wenye hilo jukumu yeye huwa anasoma tu. Pia kumbuka kuwa Mungu ni Mungu tu, alikupa wewe hiki yeye kampa kile.
  Nawasilisha.

 15. Pope Says:

  hahahaha mdau duh hii kali na mpya!

 16. bobi Says:

  ndo ivyo mgumu kwenye maswala ya speech sasa jk, nae hamsaidii madame, he kweli mungu hakupi vyote na binadamu tutambue hilo.

 17. kaled Says:

  kumbukeni bi mkubwa alikuwa mwl, siasa imeingilia kati tu na siyo lazima hotuba ajiandalie mwenyewe wenye tukio ndio wanaotakiwa wakwambie nini unatakiwa uzungumze unless kama una zaidi basi unaongezea. Vp kuhusu mama Shadya?? znz kutembea kichwa wazi kwa mama wa kiislam siyo staha lkn yeye kujifanya mzungu mpaka anaboooooa….waturudishie majumba yetu ya mji mkongwe siyo kupora kila kitu na kutuacha vinywa wazi

 18. wakunyumba Says:

  bora mdau hapo juu umesema kuwa mama mkubwa alikua mwalimu wa kawe shule ya msingi tena alikua anafundisha kiswahili darasa la 4. ila yuko mbomba, mumsamehe bure, hata kuhug pia hajui, anahug kama ugomvi atajirekebisha taratibu jamani. nawakilisha

 19. kijiwe Says:

  wakuyumba na wengine ma haters acheni kumind vitu vidogo wewe ungekuwa rais mkeo ungemvalisha bikini?mlitaka mama wa watu akae uchi?
  inaelekea anawachapa sana bakora ndiyo nyie nyie mnaomind vitu vidogo mkipewa nafasi mnapimp mpaka mito ya kulalia.
  alikuwa mwalimu wa shule ya msingi mbuyuni na siyo kawe.

 20. amina Says:

  mimi sina la kusema maana sijaelewa kitu naona na watu mnashushuana tu….kumbe nahawa bc wanabana comments ndomana naona zangu nyingine sizioni allaah kumbe

 21. wakunyumba Says:

  ina maana wewe huna update news zake, mpaka anastaafu uwalimu alikua kawe. jamani we bado unahabari za mbuyuni si uulize uambiwe, mie wala simchukii mpaka amvalishe chupi kwani tumeongelea suala la mavazi hapo? si tumeongelea kuhusu kusoma speech hana mkato wala nukta, sasa wewe unakuja na chupi. duu, pole inaonekana ulikua na hasira sana, soma ujumbe vizuri ndio uwashe moto sio unalipuka tu,

 22. ab Says:

  mimi nafikili bora yeye ataondoka ikulu na makontena ya nguo kuliko wenzie mafisadi

 23. wakujipe Says:

  mama salma amependezaaaaaaaaaaaaaaa ile mbaya big up mama unatisha

 24. bitch Says:

  lol mmependeza


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s