BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

ASHA BARAKA NA ZUNGU February, 6, 2008

Filed under: Burudani,Mahusiano/Jamii,Siasa,Ujasiriamali — bongocelebrity @ 12:05 AM

 

Asha Baraka (kulia)Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya The African Stars Entertainment (ASET) ambao ndio wamiliki wa bendi mbili za muziki wa dansi zinazotamba nchini; The African Stars Twanga Pepeta International na The African Stars Twanga Chipolopolo akiteta jambo na Mbunge wa Ilala,Mheshimiwa Mussa Azan Zungu. Asha Baraka hujulikana pia kwa jina la “Iron Lady”.

BC ipo mbioni kufanya mahojiano na Asha Baraka ambaye inaaminika ndio mwanamke pekee nchini Tanzania ambaye amekuwa mstari wa mbele katika kuendeleza vipaji vya wasanii mbalimbali sambamba na uwezo wa hali ya juu wa kuziendesha bendi za muziki kitu ambacho sio rahisi.

Advertisements
 

4 Responses to “ASHA BARAKA NA ZUNGU”

 1. KC" Europe Says:

  Mama Ushu Baraka hongera kwani umetoka mbali nakutakia mafanikio zaidi sister usisikilize gossip ya wadau wa ukerewe, endelea kuwalea wasanii na kukuza vipaji hawajui ulipotoka.

  Plz tuletee Twanga UK 2008 na sisi tuzindue mtaa wa kwanza pig up ASET lineup inatisha kuanzia Fullboss, chief accountant,marketing manager na mukubwa wa holland!!!

 2. Revo Says:

  BC, Feb 3, “CCM is 31” kwa mtizamo wangu ndiyo ilikuwa ongeleo. Lakini cha kushangaza wadau wengi walikazania kumsifia mama Salma Kikwete juu ya utanashati, mimi sijui hii ilitokana na nini? [any way, potelea mbali, yawezekana uliwabania walio-coment juu ya miaka 31 ya CCM na pengine hata juu ya Mama Karume].

  Sasa BC, mimi naomba, unapoleta habari kama hii ya leo, [ya Iron Lady], wadau watakaoleta habari za ooh, Zungu kapendeza, mara ooh mbona Zungu ametutosa watu wa Manzese siku hizi, au mara sijui Zungu kafanya nini, wabanie maoni yao kwa vile ongeleo kuu leo ni ya Asha Baraka, tena na isiwe eti ooh, Asha hajapendeza na wigi lake bora angevaa lemba kama la Mama Salma Kikwete!! oooh sijui hili na lile – Hapana.

  Nawasilisha.

 3. amina Says:

  mi namfagilia huyu maza ila ana chuki binafsi kwa bendi nyingine hapendi ziendelee…alishamtukana nyoshi el sadat huyu kwenye redio clouds nakumbuka kwa mambo ya kijinga tu…ila big up

 4. Gman Fremah. Says:

  Mama AB uko juu mama!! i belive your things you have done to your band. Kweli wewe ni mama wa kutwanga na kupepeta.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s